Search results

  1. Rutorial k

    Kuna halmashauri ni za hovyo mno!

    Hao wanajielewa,huku ni mwendo wa kutafuna tu,nilitegemea makamu wa rais aisimamie wilaya yake ifanye vizuri lakini wapi
  2. Rutorial k

    Kuna halmashauri ni za hovyo mno!

    Kuna halmashauri iko mkoa wa KIGOMA kwa kweli watendaji wake hawafai hata kidogo. Hivi karibuni Mwenge ulipita kuzindua madarasa ya UVIKO 19, sasa kwa kuwa yalijengwa chini ya kiwango ilibidi yakarabatiwe upya ili kiongozi wa Mwenge asije akayakataa. Wakatindua sakafu yote na kuweka nyingine...
  3. Rutorial k

    Ujenzi wa madarasa nchi nzima; Kuna hatari naiona mbele juu ya fedha za IMF

    Ee bwana ee!acha watu wajibusti ili kazi iendelee.hayo makazi ni magumu yanahitaji booster.
  4. Rutorial k

    Walimu kuajiriwa na TSC badala ya Wizara kunaenda kutengeneza rushwa, undugu na kujuana kwenye ajira. Rais litazame hili linaenda kukuharibia

    Mimi nalitazama hill swala kwa pande mbili, upande was chanya ; njia hii ikitumika itasaidia mwajiliwa kuchagua halimashauli anayopenda kufanyia kazi kuliko hivi sasa ambapo wengi hupelekwa halimashauli wasizotaka hivyo kuanza kuomba uhamisho. Pili njia hii itasaidia kutatua tatizo la uhaba wa...
  5. Rutorial k

    Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

    Kwahiyo ambao hatujatajwa atujawasaidia watu au, mbona mimi simo sasa!
  6. Rutorial k

    Kazaliwa mwaka 1990 lakini Mama alifariki 1986 😂

    Hiyo inaitwa flashback Kwenye movie...usanii raha sana yani mtu anaweza akafa kisha akaoa mwisho anazaliwa
  7. Rutorial k

    Nimepata kazi serikalini, je niondoke vipi huku private?

    Aga tu kistarabu uondoke usije ukawakama staff mwenzetu aliepata ajira akaondoka kwa mbwembwe alipofika kule akaambiwa amedanganya masomo yakufundisha so anaona aibu kurudi kazini, ilanasikia anashida mno.
  8. Rutorial k

    TAMISEMI: Zipo Shule ambazo Wanafunzi hawajawahi kuwaona Walimu wa Physics na Hesabu

    Walikuwa busy kuajiri UV CCM ambao hawajasoma science ...hii nchi ilorogwa sio bute
  9. Rutorial k

    Ajira kizungumkuti, watu 120,000 wawania nafasi 9,675 zilizotangazwa na Serikali

    Unaonaje hao walio kwenye tasisi binafsi waajiriwe ili ambao hawana wachukue nafasi katika hizo tasisi?..mana naamini hao walio kwenye tasisi binafsi wanao uzoefu kuliko ambao wamejikalia tu bila kujishughulisha. Halafu unazijua changamoto za shule binafsi au unazisikia! Mshahara kiduchu na...
  10. Rutorial k

    Uchaguzi wa Wanafunzi Kidato cha Tano na vyuo ni kilio kwa Wazazi masikini

    Kwenye selform mwishoni kabisa kuna kipengele kinasema "nitakubali chaguo lolote nitakalopangiwa" sijui hili unalizungumziaje mtoa mad!
  11. Rutorial k

    TAMISEMI ninyi ndio chanzo cha rushwa na utapeli ajira za walimu

    Eti wanaojitolea ndio kipaumbele! Huu ni utapeli wa kiwango cha sgr. wakuu wa shule & wakurugenzi wanafoji majina ya watu wao ili wapate ajira...kuna mtu alikuwa anajitolea shule Fulani kabla hata hajaenda chuo kusomea ualimu eti nae kachomekwa. Tamisemi wanatengeneza mazingira ya rushwa sio siri
  12. Rutorial k

    Kwa upande wako unaweza toa Tsh milioni 2 upate kazi ?

    Hiiii zile elfu sita za uwalimu ndio tumfika hapa! Kazi tunayo....kama ninayo natoa tu as longer as it is a permanent contract.
  13. Rutorial k

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    haaa! haya nayo ni makosa?....amakweli hamjaamini mwendazake keshaenda, labda atatafufuka lakini pia katiba haisemi akifufuka nini kitatokea. tujifunze kukubali tu
  14. Rutorial k

    Tatizo si Rais kama mtu, bali tatizo ni "vetting system" kuwa corrupted & compromised

    Ukienda kwa wakurugenzi sasa ndo utashangaa.kuna mkurugenzi ktk halimashauli flani mkoa wa Mara ni form four kabisaa. bahati nzuri anasaidiwa na afisa utumishi kuendesha mambo yake.alipataje uteuzi,usiniulize!
  15. Rutorial k

    Rais Samia Suluhu: Mkikidhi vigezo, Chato tutaifanya kuwa Mkoa

    Uzuri ni kwamba vigezo havitatimia! Hongera mama samia kwa kufata utaratibu.tulichoshwa na matamko!
  16. Rutorial k

    Kwanini sisikii kesi za Wagombea Ubunge upinzani kudai kuibiwa ushindi?

    Kura zote zilizopigwa zikikuwa halali,maana hata amabae hakwenda kupiga kura ALIPIGA KURA tena alimpigia magufuli ba genge lake.hapo mahakama itaamuaje!!
  17. Rutorial k

    Uhusiano wa CHADEMA, Tundu Lissu na Ubelgiji: Kwanini Tundu Lissu alikimbia ubalozi wa Ujerumani?

    Uchaguzi umekwisha! Uchaguzi umekwishaaaa! Nasema, uchaguzi umekwishaaaa! Nadhani mmenielewa!
Back
Top Bottom