Search results

  1. Nukta5

    Smart TV yenye DVB T2/S2 Ina Faida gani Kwa Soko la Tanzania ikiwa Channels zimezuiliwa kuonekana kwa kutumia builtin Decorder? Wizara Husika?

    Hili lilikua dili la serikali kupata pesa huko japan hata ukiwa unaendesha gar unaweza ukaswitch tv ukaangalia taarifa ya habari sasa huku hadi mabasi yanafungwa madishi ya azam sasa huu si zama za mawe
  2. Nukta5

    Router (MiFi) ipi inafaa kwa matumizi binafsi?

    Natumia tigo router postpaid 100k napewa 140GB sijawahi ijutia kuanzia 2021
  3. Nukta5

    Ndugu zangu Waislamu mmeshindwa vipi kuwa na hospitali kubwa Kama KCMC na Bugando?

    Ume Hiyo ruzuku umeisikia wapi kwamba inapewa mmezoea tende za bure unafikiri kila taasisi inapewa vya bure nenda na mgonjwa wako pale kama mlivyozoea vya bure ukajielezee vizuri kama huna uwezo uone kama hautatibiwa bure
  4. Nukta5

    Ndugu zangu Waislamu mmeshindwa vipi kuwa na hospitali kubwa Kama KCMC na Bugando?

    Kupewa tende bure ndio usikose hata akili za kufikiria, hospital inawafanyakazi 1500 then serikali ndio ilipe mishahara ya wafanyakazi wote utakuwa unakichaa cha madrasa wewe taasisi inajitegemea yenyewe serikali imesomesha watu imekosa kwa kuwapeleka ndio maana inasambaza madaktari wenye hizo...
  5. Nukta5

    Ndugu zangu Waislamu mmeshindwa vipi kuwa na hospitali kubwa Kama KCMC na Bugando?

    Kumbe akili hauna nani amekwambia wanachukua hela ya Serikali uliza uambiwe usikurupuke we unadhani KCMC kupewa mitungi hiyo ni kwamba ilikua haina mitungi yake au? Unajua kwa ukanda wa Kaskazin yenyewe ndio moja ya hospital inayozalisha oxygen yake na kusambazia hospital zingine kwa hiyo...
  6. Nukta5

    Toa list ya nyimbo zako kali za zamani "best of all times"

    Hahahhaahha Zig D eno mic
  7. Nukta5

    Nini faida na hasara za gari aina ya Toyota Premio kwa engine za D4?

    2020 nilifanya maamuzi ya kuchukua premio 1980cc ya mwaka 2009 ulaji wake upo vizuri sana japo ni engine kubwa na sijajutia hadi sasa
  8. Nukta5

    Tujikumbushe Walimu wa sekondari waliokuwa wakali sana kiasi cha kuwa maarufu hadi shule zingine

    Kuna jamaa akamwambia dogo wa form one aende kwa Mabagala akamwambie mwalimu naomba bagala moja dogo alikua hajui jina la mwalimu, Nampanda anakuambia nakupiga uende nyumbani kwenu ukamwabie dadako/mamako kwamba me ndo Nampanda hahaha yule mzaramo alikuwa na maneno sana ijumaa ikifika analeta TV...
  9. Nukta5

    Interior and Exterior Car Decoration

    Habari wakuu, Swala la kupenda gari na kutunza ni kipaji ambacho watu wachache wamejaaliwa hii unaikuta kwamba magari ya aina moja yalioagaizwa mwaka mmoja limoja linakua linamuonekano mzuri kuliko lingine na hii inatokana na utunzaji tulivyotofautiana. Siku ya leo tujadili vitu ambavyo unaweza...
  10. Nukta5

    Serikali iunganishe Dar na Pwani uwe mkoa mmoja uitwe Dar ili watu wazidi kusogea nje ya mji

    Namuunga mkono mtoa mada ila nadhan kabla ya kuunganisha tungeanza kwanza kwa kuplan kujenga miundombinu na miradi mikubwa nje ya mji mfano Arena, Uwanja wa Mpira bandari kavu, pia kuliko watu wote tuende kariakoo tuache kariakoo iwe soko la nguo na electronics na ijengwe kariakoo nyingine iwe...
  11. Nukta5

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Sure 2.0L Valvematic engine
  12. Nukta5

    Wale wapenda Movies za kuchekesha hasa(elewa neno hasa) mje hapa

    Wacha nizibookmark nitazicheki ahsante sana
  13. Nukta5

    Wale wapenda Movies za kuchekesha hasa(elewa neno hasa) mje hapa

    Why him? Kwangu ni among the best comedy movie
  14. Nukta5

    Mind Bending| Blowing Movies| Series| Special Thread.

    Kuna ile NeXt series ya 2020 na What Happened to Monday
  15. Nukta5

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Safar ikiwa inaanza kutafuta Dar
  16. Nukta5

    Barua ya wazi kwa Inspector General wa Polisi Tanzania

    Hilo swala ni kweli kabisa na huwa wanapiga picha hapo maeneo ya uchira sijui then unakamatiwa njia panda hata leo walikuwepo na ukicheki zile picha vizuri huwa wanapiga ukiwa umeshavuka kibao cha kuruhusu 50 na hapo unaanza kugain momentum ya speed ndo wanakupiga picha tulishatokewa hivyo mara...
  17. Nukta5

    Ni nyimbo zipi zinakukumbusha machungu ya mapenzi na hata kuzichukia kabisa?

    Huwa ikipita miaka lazima nisome hii thread mwanzo mwisho
Back
Top Bottom