Jamani tusifike huko hivi kuna kilema ni ukabila??? kwamba kilema hiki ni kabila fulani basi hata maalbino wangekuwa wanatokea kwenye kabila fulani tuuu :disapointed:
wa vijijini adhabu kama hizo hutolewa sana siku ya vikao vya wanakijiji, unakuta makosa kama ya uvivu, wizi mdogomdogo, ugomvi n.k mwenyekiti wa kijiji kupitia kwa maamuzi ya wanakijiji kiboko kinatolewa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.