Search results

  1. M

    Elections 2010 Makamba atinga jimboni Bumbuli leo na ufanya vikao vya siri.....

    Januari hawezi kujitenga na mzee wake na mpaka sasa tumeona ni jinsi gania anavyopata msaada wa ndani wa chama....
  2. M

    Msajili ajipanga kuanza uhakiki wa CCJ wiki hii

    ni jambo la busara kama msajili ameamua kufanya hiyvo, si kwa CCj tu bali kwa waTZ wote wapenda demokrasia. kwa muda uliobaki mpaka uchaguzimkuu, CCJ haiwezi kuleta upinzani mkubwa wakiruhusiwa kushiriki, bali wakinyiw haki ya kushiriki ndio uchaguzi utavurugka...
  3. M

    Elections 2010 January Makamba atumia ofisi ya rais kujitangaza jimboni Bumbuli kwa ubunge 2010

    katika harakati za viongozi wa CCM wilaya Lushoto kumnadi Bwana Januari Makamba na kuwashawishi wananchi kumchagua, kampeni za kabla ya wakati zinaendelea ikiwa ni pamoja na vipepelushi vyenye jina la ofisi ya raisi kutumika. namba iliyokuwepo kwenye kipepelushi ni ya Mwenyekiti wa UVCCM bwana...
  4. M

    Katibu kata ccm kata mgwashi afariki dunia...pigo kwa mh.shelukindo...

    Napenda kutoa taarifa za kusikitisha za kuondokewa na mwanachama,kada na kiongozi wa CCM kata ya mgwashi jimbo la bumbuli,Mama Krista Sheshe, aliyekuwa katibu wa CCM kata ya mghwashi, wilaya lushoto jimbo la bumbuli. Marehemu Krista amefia hospitali ya wilaya Lushoto baada ya kuugua kwa muda wa...
  5. M

    Elections 2010 Kimya cha CHADEMA kikubwa

    u cant be serious....
  6. M

    Elections 2010 UVCCM kwafukuta

    Ni aibu tupu...
  7. M

    Elections 2010 WanaJF: Natangaza nia kugombea jimbo la Lushoto Mjini

    hongera mkuu, nakutakia kila la kheri. Nataka nikujulishe tu kuwa kwa sasa jimbo la Lushoto mjini linashikiliwa na Mh Mshangama, ni kipindi chake cha kwanza yule Mh umri umesogea sana lkini bado anataka kuendelea, wakati Mshangama anachukua jimbo alifanya mambo mengi sana kabla ya kuingia ikiwa...
  8. M

    Islamic Banking ‘invades’ Tanzania

    msanii, wewe ndio unayeleta udini hapa, hebu tazama hayo mabank yote yalioanznisha Islamic banking original yake....sio waislam, ila niwafanyabiashara wameona busines opportunity hao wanataka kutumia, na sio lazima, ni option kama vile unavyochagua aina ya account unayotaka kufungua na...
  9. M

    Kikwete: A Failure in Leadership - National Vision and Dream Defaulted

    By. M. M. Mwanakijiji this is our main problem, these "leader" do not come into power by miracles we elect them whether knowingly or unknowingly... Its may be difficult to plan to remove the whole system or the political party deeply rooted to the people, but we can aim at changing the people...
  10. M

    Kikwete: A Failure in Leadership - National Vision and Dream Defaulted

    this is the problem...i bet they wouldnt..
  11. M

    Mwitikio wa Wananchi juu ya Hotuba kali ya JK dhidi ya TUCTA

    Hivi ndivyo inatakiwa iwe, we must dare not onl to talk but also to take actions and necessary actions, watu wakipata tukio hukimbilia kujaza threads tu hapa kwenye jf na kuleta wakati wingine hata majungu na umbea lakini hamna hatasiku moja mtu akatoa wazo la kuchukua hatua, tujifunze kwa mama...
  12. M

    Mwitikio wa Wananchi juu ya Hotuba kali ya JK dhidi ya TUCTA

    Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi kidogo kuhusu raisi wangu mh.jk kuhusu hotuba yake kupitia kwa wazee wa dsm. 1. Je ilikuwa ni sehemu muafaka kutuma ujumbe kupitia kwa wazee? 2. Je lugha ya vitisho na kebehi aliyotumia mbele ya wazee wake ilikuwa sahii? Lengo la hotuba yake ilikuwa...
  13. M

    Hili ni taifa la wajinga

    Tatizo kubwa ni hili OMBWE LA UONGOZI....tunahitaji viongozi wazalendo na wenye ujasiri wa kusimamia rasilimali zetu kwa maendeleo ya taifa letu na vizazi vyetu vijavyo....hata mabadiliko ndani ya CCM yanawezekana, sio wote ni mafisadi au hawana uzalendo,ila wachache wenye nguvu ndio...
  14. M

    Kwanini sisi tukuite wewe mtanzania?

    Mzee huyu mtu atakuwa amekukera sana, lakini hizo ndio tabia za viongozi wetu wengi tulionao hapa nchini, Tutumie nafasi zetu kuleta mabadiliko ikiwa ni pamoja na kubadilisha viongozi waliokuwepo....
  15. M

    Kwanini sisi tukuite wewe mtanzania?

    hii sio dawa mkuu, piga kura za hapana kwa viongozi wasio Bora na shawishi wengine kuwapigia kura viongozi bora...
  16. M

    Matukio Tisa yaliyomdhalilisha Rais Kikwete 2006-2010

    mimi nadhani tuhuma nyingi zinatokana na ushauri mbaya wa wasaidizi au washauri wake au labda Mh.huwa hashauriki, raisi mara nyingi hatakiwi afanye vitu kwa utashi wake, japo anaouwezo ksheria wa kufanya hivyo lakini kwa usalama wa taifa lazima asikilize washauri wake...
  17. M

    Spika sitta jiandae na hili wakikuchoka!!!!

    ndugu mbona hujampa ujumbe wowote Spika wetu....u know this can never happen in our parliament....
  18. M

    Zitto aenda kutibiwa Ujerumani

    nazani Zito anatakiwa ajue kwamba pamoja na kuumwa kwake na kujisikia vibaya kitendo cha kutangazia wananchi unaenda Germany kwa check up ya afya lakini akisisitiza ni fatigue inaleta maswali mengi na anajenga taswira mbaya kwenye jamii, hata Mheshimiwa raisi alipoanguka hakupelekwa...
  19. M

    VODACOM waja na 1\4 shilingi kwa sekunde

    hizi zote ni faida za soko huria, thanks to TCRA, mawasiliano yameendelea kuwa na nafuu sana nchini...na bado tutaona makubwa zaidi...
Back
Top Bottom