Search results

  1. spade4spade

    JamiiForums Usiku wa manane

    Jana na Leo
  2. spade4spade

    JamiiForums Usiku wa manane

    tHAd
  3. spade4spade

    JamiiForums Usiku wa manane

    Tulihoo
  4. spade4spade

    JamiiForums Usiku wa manane

    Saa ngapi now kichwa
  5. spade4spade

    Mke wangu ana CPA hana kazi, msaada Ndugu zangu

    Weka picha yake hapa. Weka vyeti vyake hapa.
  6. spade4spade

    TCRA na Waziri Ndugulile, wanyonge mliotuumiza jana tunahitaji tu kupata majibu ya haya maswali yetu

    Ndugulile anaumwa nini. Mimi ninachojua ni mwanaume mwanaharakati asiyejua anachopigania. Kule kwao Kigamboni kuna mipango ya hovyo sana ya mji huo. Mara wanataka kutengeneza eneo la gereji, mara mji wa Kisasa, mara kila kitu gani sijui.... Lakini hakuna kinachokamilika. Leo kapewa TEHAMA kila...
  7. spade4spade

    Tulirukia gari kutahamaki tupo kambi ya jeshi

    Acheni ugomvi. Kule Rwanda usingerudi hai
  8. spade4spade

    Ombi kwa Rais Mwinyi: Wakumbuke Masheikh wa Uamsho ambao wanateseka huku familia zao zikiishi kwa shida

    Kwani Jiwe ndo aliwapeleka Jela? Au aliyewapeleka alikuwa Mkristo? Mbona unazusha???
  9. spade4spade

    #COVID19 Ushuhuda wa Mchungaji Godwin Chilewa kuhusu COVID-19: Je, tunamficha nani, kwanini na kwa Faida gani?

    Endelea tu kukaa huko huko usije tena Tz. Sisi hatutakia lockdown. Tutajenga immunity zetu hivi hivi.
  10. spade4spade

    Kwa mara ya kwanza nimekuwa na mahusiano na wanaume wawili

    Kwa hiyo kati yetu nani huwa anakupa ya kwenda beach? Na ni yupi anayekugea ya kusuka? Je, nani anakumega zaidi kuliko wengine? Na nani anayemwaga nyingi sana? Nani unayempa ndogo? Na nani ambaye ukimlilia anatema wazungu?
  11. spade4spade

    Kwa mara ya kwanza nimekuwa na mahusiano na wanaume wawili

    Cariha! Cariha! Cariha! Kumbe ndo maana siku hizi hunijali. Kumbe mi wa saba jamani! Uuuuuuwiiiii!
  12. spade4spade

    Part 5: TISS Bado safari ngumu

    Coming soon
  13. spade4spade

    Mwizi anataka kunigombanisha na Boss kipindi hiki cha uchumi wa kati

    Hata hizo walikomba! Cha ajabu yule demu wangu ninayeruka naye njia juzi kaja ghetto. Alipovua tu duuh, ndo ileeee naionaga imeanikwa paleee.... Nikasema sijui nimshushue ila nikaogopa atanibania kidude chake, nikaamua niufyate!
  14. spade4spade

    Hawa mbwa hawana urafiki na mtu wasiyemfahamu. Ulinzi Shirikishi niliwakatalia baada ya kuwa naibiwa home then wanataka niwachangie mwisho wa mwezi

    Endelea tu kushangilia hapa lakini kuna siku jambo moja kati ya mawili yatatokea. Siku ambayo watakuwa wameshiba na mnaowalea mkawa hampo wataua karibu watu wote wa karibu na hasa watoto. Siku hawakushiba wataanza na nyie walezi kuwafanya kitoweo kisha kisanga kitahamia kitaa. Nawajua sana...
Back
Top Bottom