Search results

  1. S

    Rished Bade ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu Mpya TRA

    Una akili za magurudumu, lazima unakanyagwa. Unahubiri ukabila karne hii!!!
  2. S

    Tumwapa dhamana mmeshindwa.....

    Huyu Bw. bado yupo PPF pamoja na ubadhirifu alioufanya. Mkataba wake uliisha mwaka jana, kakauka kimya akipeta ndani ya mkataba wa tatu bila ridhaa ya Rais
  3. S

    Je unayakumbuka haya majina??

    Aliyesema hivi na Ahmed Jongo. Jacob Tesha na mprira hawakuwa karibu, ila akisoma taarifa ya habari, ilikuwa saaaafi saana!!!! Nilikuwa namfurahia Ben Kiko hasa wakati wa vita na Uganda ya Idi Amini
  4. S

    jamani ugomvi wa joka na paka unaendela ndani ya nyumba yangu

    Kama wote tungekuwa na tabia yako na hasa kuwa mkweli , JF ingezidi kuwa bonge ya uwanja wa kujifunza kwa uadilifu.
  5. S

    PPF: Lipeni mafao ya wastaafu mapema!

    Tulipowaambia kuwa PPF pesa imeliwa na wakurugenzi mliona ni utani mkakaa kimya. Sasa ni mmoja mmoja kukiona cha moto kusubiri 2 years. Wakurugenzi wa PPF akiwemo na Mkurugenzi Mkuu wa sasa (2005 to date) walilipwa ndani ya masaa 8 Tshs 220,000,000 kwa kila mkurugenzi na Tshs 540,000,000...
  6. S

    jamani ugomvi wa joka na paka unaendela ndani ya nyumba yangu

    Angalia ITV sasa hivi wanaonyesha hao nyoka
  7. S

    jamani ugomvi wa joka na paka unaendela ndani ya nyumba yangu

    Acha uongo wewe, mita sita au futi sita? Labda kama ni chatu. Na kama chatu basi huyo nyau lazima aingie kwenye kitabu cha Guiness akisindikizwa na mafuta ya taa
  8. S

    Halima Mdee: Sauti ya Yakobo, Mikono ya Esau

    Mzee 6 kama anataka kula De..n..da vile!
  9. S

    Jk na wewe chukua upige hata 3

    Nisaidie namna ya kuidaka na kuipost humu kutoka kwenye TV. Nimekuambia nimeona JK akicheza mpira na Obama kupitia TBC wewe unasema niweke picha.
  10. S

    Jk na wewe chukua upige hata 3

    Jakaya Mrisho Kikwete naye ni binadamu kama ulivyo wewe na mimi, hivyo anastahili kuheshimiwa. Pamoja na dhihaka tufanyavyo dhidi yake tuwe na mipaka. Pale Ubungo yeye na Obama wamecheza mpira ule kwa kupigiana pasi nzuri tu. JK alionyesha kuujua mpira. Aliyeweka picha aweke pia picha za JK...
  11. S

    Du, Kiinglish cha Viongozi wetu: Inatia aibu!

    Deaths from malaria have..has declined by over 50%, infant mortality rates have declined, HIV infections have declined. Through PMTCT (Prevention of Mother to Child Transmission) more children born by HIV infected mothers...
  12. S

    Ccm kushinda kwa kishindo kata zote nne arusha

    Kweli umaskini na kukosa ajira ni hatari kuliko hata bomu la Hiloshima. Hivi ni wewe kweli? Uliyekuwa unawatukana CCM kuwa ni majambazi lakini leo uko nao kama kupe kwenye ng'ombe!! CCM uliwaita MAJAMBAZI, leo uko kwao, tukikuita na na wewe kama Dada JAMBAZI tutakuwa tunakuonea? Maana uka na...
  13. S

    Nimechoka kunyongwa usiku wa manane, tafadhali msaada wa haraka

    Pole sana naona umeishiwa ITIKADI unaweka rehani maisha yako kwa mifupa ya nguruwe!
  14. S

    Alinikimbia kwa sababu ya shule, sasa anataka turudiane

    Ahhh! Kumbe upo Mbeya, dada zangu akina pafwene papapo mbona wengi huko, chukua moja mpya.
  15. S

    Alinikimbia kwa sababu ya shule, sasa anataka turudiane

    Unataka kuoa MFU! Kiapo cha ndoa ni hadi kifo kiwatenganishe. sasa huyu katenganishwa na mmewe, hii ina maanisha either yeye au huyo mumewe au wote wamekufa. Angalia huyo ni either mfu au mjane. Mwombe Mungu akupe MKE sio mjane au mfu. Je shetani anayemsingizia kesha kufa? muulizie may be...
  16. S

    Kibanda apelekwa kutibiwa Afrika Kusini

    Mbeya! Mbeya! Mmekosa nini? 1. Mwakyembe 2. Mwangosi, 3. Ulimboka, 4. Kibanda, 5. ........... 6. .......... to mention few, Mungu nusuru watu wako toka mbeya maana hatujui baada ya Kibanda nani atafuata. Mungu wapige upofu wote wanaofanya mabaya haya. na kama kuna anayejiandaa, Mungu...
  17. S

    Kibanda apelekwa kutibiwa Afrika Kusini

    Mungu si Mungu wa wadhalimu. Inatosha, inatosha! Mungu ingilia kati wauaji wote uwaangamize maana bila hatia wanamwaga damu za watu wako
  18. S

    Madam Speaker kapendeza!!

    Huyo aliyekaribu kama anatupa maneno ya kikubwa vile! Ninani huyo?
  19. S

    Mulugo: Nilifaulu peke yangu kwenda secondary

    Hivi haogopi kuendelea kujitetea? Angalia sehemu ya CV yake inavyojichanganya: Kazaliwa January 1972, darasa la kwanza 1982 yaani miaka 10!!! Dalili ya kwanza ya uongo. Kwanini hakuanza na 7 au 8? Darasa la kwanza 1982 na kumaliza la saba 1989 ni miaka 8, kama si uongo basi alirudishwa...
  20. S

    Hivi, nani anatakiwa kuchinja nyama?

    Jibu la KIROHO. Ubarikiwe sana. waacheni wanaotaka kupakaa damu wapakae sie tule nyama. Ila kabla ya kuila, itakase kwa DAMU YA YESU
Back
Top Bottom