Search results

  1. GLOBAL CITIZEN

    Tunaambiwa tule nyama na maziwa tupate protein; Je, ng’ombe hutoa wapi hizo protein na hali nyama wala kunywa maziwa?

    maharage yana protein. nimeweka wali + maharage kwasababu watu wengi wanaweza kupata hiki chakula
  2. GLOBAL CITIZEN

    Tunaambiwa tule nyama na maziwa tupate protein; Je, ng’ombe hutoa wapi hizo protein na hali nyama wala kunywa maziwa?

    Mkuu, Mimi ni plant based kwa miaka takribani 7 sasa. Mimi situmii aina yoyote ya nyama au product yoyote inayotokana na mnyama. Maana yake situmii maziwa, situmii butter, situmii mayai. Nakula vyakula vinatoka ardhini pekee. Kwa maana hiyo mimi ni vegan [emoji271] Kujibu swali lako...
  3. GLOBAL CITIZEN

    Kweli kuna wanawake wanaroho mbaya

    Wewe mlevi na mbinafsi kaa kimya. Hakuna kitu unaweza sema kupindisha ukweli huu... Mwanamke wa kiafrika ndiyo NGUZO ya jamii ambayo wewe jinga unaishi ndani yake.
  4. GLOBAL CITIZEN

    Kweli kuna wanawake wanaroho mbaya

    Wacha uongo. Mwanamke wa kiafrika ni mkarimu, mvumilivu na mcheshi. Tena ni mama anayefahamu kutunza familia. Wanaume wengi wa kiafrika ni walevi na wabinafsi. Inasikitisha sana.
  5. GLOBAL CITIZEN

    Kweli kuna wanawake wanaroho mbaya

    Umeandika mambo mengi lakini ujinga mtupu. Wanawake wetu ni wazuri wala hawana roho mbaya. Wanawake wakiafrika ni wavumilivu sana. Wewe jinga mbinafsi jifunze kuheshimu wanawake wetu weusi wazuri.
  6. GLOBAL CITIZEN

    The Future of Freelance is BRIGHT and demand is increasing globally. Many talented professionals and businesses turn to this mode of work

    Na wewe ukija lazima nikutoze pesa. Mimi sina muda na vitu vya bure. Kila kitu nachofanya lazima kiwe na faida kwangu. Unafahamu kwanini lazima unilipe kama unahitaji usaidizi wangu? Kwasababu natoa VALUE. Ukiona haikufai au hautafaidika unapita mbali. Rahisi namna hiyo Una swali lingine?
  7. GLOBAL CITIZEN

    The Future of Freelance is BRIGHT and demand is increasing globally. Many talented professionals and businesses turn to this mode of work

    Wewe bado ni “boy” Ukiwa unaongea na kaka zako uwe na HESHIMA na HEKIMA Ungekuwa karibu ningekupatia kibao cha uso halafu ningekupatia $40 upate hata pesa ya holidays maana najua umefulia. Shenzi kabisa
  8. GLOBAL CITIZEN

    The Future of Freelance is BRIGHT and demand is increasing globally. Many talented professionals and businesses turn to this mode of work

    Mkuu Internet ni gold mine. Kuna opportunity nyingi kama unafahamu unachofanya. Jifunze na si kuishia kusema “wabongo ni waongo” Je, itakuwa rahisi? Nop, utashindwa mara nyingi zaidi ya utakavyofanikiwa. Kumbuka hilo. Lakini mwisho wa siku kutengeneza hizi $500 - $1,000 utafahamu ni...
  9. GLOBAL CITIZEN

    The Future of Freelance is BRIGHT and demand is increasing globally. Many talented professionals and businesses turn to this mode of work

    Uelewa wako kwenye haya mambo upo chini sana mkuu. I am sorry. Hata huelewi jinsi referral program zinavyofanya kazi. Ushauri wangu. Usikate tamaa. Unahitaji kujinoa zaidi. Ili ufanikiwe sehemu yoyote ile lazima uwe mweledi.
  10. GLOBAL CITIZEN

    The Future of Freelance is BRIGHT and demand is increasing globally. Many talented professionals and businesses turn to this mode of work

    Mkuu ukiona wewe mbinu zako hazifanyi kazi usidhani wote wapo kama wewe. Kama wewe huna personality nzuri + uwezo wa kushawishi utapata tabu sana kupata kazi kwenye platform hizi za freelance. Mimi kazi zangu ni zakuwango cha juu na clients wanasema hivyo kwenye reviews. Mimi nilisajili...
  11. GLOBAL CITIZEN

    The Future of Freelance is BRIGHT and demand is increasing globally. Many talented professionals and businesses turn to this mode of work

    Haelewi sana huyo. Binafsi baadhi ya miezi natengeneza hadi kufika $1,000. Lazima uwe wa viwango vya juu ili uwe unapata gigs nyingi. Kingine....kufanya kazi kama freelancer haimaanishi unategemea kazi katika hizi platform kama UpWork, Fiverr au Freelancer.com pekee. Kuna mbinu nyingi...
  12. GLOBAL CITIZEN

    Skills 5 rahisi za kuwa nazo 2021

    Nitafafanua nipo Safari. Nikipata muda nitaandika hapa kwa urefu zaidi.
  13. GLOBAL CITIZEN

    Unaona shida gani kujifunza skill mpya ya kukupatia pesa right now kama upo mtaani unapigika?

    Sina vitabu vyovyote navyofahamu kuhusu kujifunza translation. Hii ni skill unayoweza kujifunza kwa mtu au mwenyewe tu. Unaweza nitumie ujumbe nitakupatia darasa.
  14. GLOBAL CITIZEN

    Unaona shida gani kujifunza skill mpya ya kukupatia pesa right now kama upo mtaani unapigika?

    Sorry mkuu wakati mwingine nakuwa busy hasahasa nikiwa nimetoka home. Unaweza nipigia leo usiku au kesho saa3 asubuhi nitakuwa home free.
  15. GLOBAL CITIZEN

    Unaona shida gani kujifunza skill mpya ya kukupatia pesa right now kama upo mtaani unapigika?

    Hapana. Wasiliana na customer support. Ukikwama kabisa niandikie email.
  16. GLOBAL CITIZEN

    Step by Step : Jinsi yakutoa Pesa UpWork, kisha Payoneer halafu CRDB au Bank yoyote hapa Tz. With pictures

    Mkuu ukikwama kwenye mambo kama haya unahitaji kuwasiliana na customer support. Kamwe usitumie njia za shortcut. Kuwa professional kwa kila jambo unalofanya.
Back
Top Bottom