Ni jambo la busara kushukuru kwa Mh. Rais kwa kulifufua shirika la ndege la Tanzania, waliopita walijaribu lakini hawakufanikiwa, tumpe moyo na sisi watanzania tuthamini vya kwetu hata kama ni kidogo ni cha kwetu.
Hii ni fursa..anza kujifunza kuhusu biashara za nguo zinazotengenezwa na viwanda vyetu...kama batiki...vitenge, na kanga....juwa jinsi ya kutengeneza faida kupitia bidhaa izo...kwa uzoefu wako wa biashara ya nguo....hautokwama...
Nashangaazwa kuona makada wa vyama mnabisha na kushabikia kuhusu ujazaji watu katika mikutano. Swala la msingi watu kujaa kunatusaidia nini na matatzo yanayotukabili nchi yetu. Mtanzania# tafakari na chukua hatua.
Mtoa mada ameweka kichwa habari kwa mtazamo wa Neema, na amesahua kama ni haki yao, sasa tokeo lini stahiki yako ukilipwa inakuwa neema, mie ningeshauri wangedai na fidia ya ucheleweshwaji wa stahiki zao.
Sasa TANESCO hamna long term plan? Mnamawazo mgando. Mlizani kwa mitambo yenu iliyozeeka itaweza kuhudumia mahitaji yanapoongezeka kila siku? Uyo mkuu wa kitengo cha PLANNING anafanya kazi yake kweli? Ama UKATA na attitude ya kutegemea RUZUKU ya serikali imeathiri shirika? Ya TANESCO yanamengi...
Gari hii INA 4wd hivyo kwa sehemu zote zenye barabara mbovu gari hii inafaaa sana. Bei ni 7m tu! Toyota townace 4wd turbo diesel engine + 4 installed Yana kazi tyre.
Danny Fanya 7m nikupe townace old model! Ipo kwenye hali nzuri sana
Details zake: 1990cc automatic diesel engine. 2CT 4WD 4 Yana kazi tyre. Metallic silver. Duty and road licence paid. Manufacture year: 1993
Danny kunajamaa yangu anauza premio 2004 CCG ila yeye anataka 13m ipo poa! Magari yaliyokuwa katka excellent condition bei yake ipo juu! Si unajua ushuru wetu upo juu sana. Usahuri wangu jichangechange gari zuri ni gharama na halitokushindisha gereji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.