Search results

  1. Rakims

    Kuna mtu humu amewahi kusaidiwa na bwana Rakims?

    Kwako kila kitu ni maskhara? Rakims
  2. Rakims

    Kuna mtu humu amewahi kusaidiwa na bwana Rakims?

    Kuna Usemi maarufu pale mtu anapokosea jambo au kwenda kinyume wazee wa zamani walikuwa wanamwambia kusoma hujui hata picha huoni.. Well kwa kuwa ni ngumu kwako kuelewa kwa maandishi yangu basi nitakutumia baadhi ya picha na uthibitisho na hii itakuwa ni ya mwisho katika kuwaaminisha kuwa mambo...
  3. Rakims

    Jicho la tatu na Jinsi ya kulifungua (The third Eye)

    Habari nakukaribisha katika Group ya Rakims Spiritual ambayo itakuwa inahusika na maswali na majibu. Nidhani ni jambo kuu la kwanza katika group hiyo na muhimu zaidi ni kujitahidi kuuliza maswali ambayo yamejaa hekima na msaada kwa wengine na kujaribu kuwaelewesha wengine vile ulivyoelewa...
  4. Rakims

    Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

  5. Rakims

    Jicho la tatu na Jinsi ya kulifungua (The third Eye)

    You really are a poor brain Rakims
  6. Rakims

    Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

    Ukiona hivyo jua una nyota ya simba yenye rising sign ya mashuke ni kawaida na sio sababu ya mtu kutumia nyota zote.. Hivyo kuwa na tabia za nyota ya mashuke si maana kwamba wewe ni mashuke Rakims
  7. Rakims

    Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

    Ndio kwa maana nyota zote hizi ni katika makundi nyota ya sun signs hivyo nyota ya kwanza iliyo pamoja na Jua ni Simba. Na hii kuifanya yenyewe kuwa ni nyota tawala kwa vile tu ipo chini ya sayari (Nyota) tawala Rakims
  8. Rakims

    Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

    Kwa kuwa tu umesema ni kwa uelewa wako sina la kuongeza mkuu.. Rakims
  9. Rakims

    Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

    Kila moja ina nguvu zaidi kuliko zingine hiyo ni kutegemea na nguvu ya namna gani unayozungumzia... Mfano utawala ni Simba Pesa ni Ng'ombe Vita ni Punda N.k Rakims
  10. Rakims

    Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

    Hakuna vito vya silver, shaba na gold.. Kuna madini ya silver, shaba na gold
  11. Rakims

    Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

    Asante tupo pamoja
  12. Rakims

    Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

    Habari mkuu, Kama kuna moja ya watu huwa nawaona kwa kiasi fulani wana uelewa mpana humu jamii forum. Wewe pia ulikuwa mmoja wapo lakini kwa hii Quote nilipoweka mstari Mwekundu unaanza kunitia shaka mkuu. Wewe sio mtu ambaye unaweza kuQuote kitu easily until upate uelewa wake zaidi sasa hapa...
  13. Rakims

    Ifahamu Cosmic energy ni nini

    Karibu
  14. Rakims

    Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Pole mwenyezi Mungu atakuponya utakuwa salama... Barikiwa mkuu Rakims
  15. Rakims

    Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Ni kweli atatupikia wali na kuleta kwenye sahani na kututengea kisha tukala na kushiba... Ifikie sehemu Mwenyezi Mungu Aombwe funguo za akili zilizolala na kufungwa na mashetani walaghai wenye kujaza ujinga.. Pole na Mungu akunusuru Rakims
Back
Top Bottom