Search results

  1. Amon Mtekateka

    Why some subject compulsory while other optional?

    Wanandugu n kwanin baadh ya masomo ni ya lazima shulen lakn mengine ya kuchagua? Mchango wenu n muhimu wa haraka haraka!
  2. Amon Mtekateka

    Naomba join instruction ya Same school of Nursing- Kilimanjaro

    Kuna mdogo wang amechaguliwa katika iko chuo mapema tu tena katika batch ya kwanza lakni cha kushangaza mpaka leo hakuna dalili ya kupatikana izo form. Kama kuna mtu alisoma katika iko chuo au anayo ata kuifaham fomu ya kujiunga kwenye iko chuo naomba tafadhali. Nitashukuru kama nitasaidiwa kwa...
  3. Amon Mtekateka

    Haya apa majina ya waliochaguliwa University of Iringa (first and second round)

    Majina ya wanafunz waliofanikiwa kuchaguliwa university of Iringa yametolewa. Kuona majina, bonyeza hapa Nawasilisha Vile vile wanafunz mnaweza kujadili mambo mbali mbali kuhusu chuo hapa hapa. Kama maswala ya hostel, Ada, accommodation nk......
  4. Amon Mtekateka

    Sijamuelewa Simbachawene kuhusu ajira za walimu

    Sijamuelewa Simbachawene kuhusu ajira za walimu Sijamuelewa Simbachawene kuhusu ajira za walimu
  5. Amon Mtekateka

    Kuna kipengele sikumalizia kujaza katika form ya mikopo halafu nmeshaituma, hii inakuaje wadau?

    Wana jf, Naomba msaada wenu kuna vipengele ambavyo mwenyekit wa mtaa hakuvikata hata katibu wake lakn wote wamesain. Ukizingatia form nmeshaituma baada ya kuangalia copy yake ndio nmeligundua hilo. Msaada wenu please apo inakuaje ?
  6. Amon Mtekateka

    Happy birthday to me

    Leo ndio ile siku aliyozalwa Gadafi ajaye, ndio mimi na si mwingine. Adolph Hilter wa TZ ndani ya mwaka 2040
  7. Amon Mtekateka

    Unaweza kupiga hgk alafu ukaenda kusomea sheria university

    Wadau katika jukwaa la sheria naomba instruction juu ya hili maana naona sielewi Mwenye ufahamu anifahamishe...
  8. Amon Mtekateka

    Kama unahitaji kuijua MOYOVOZI SECONDARY SCHOOL. Ingia humuuuu!!!

    Shule ipo maeneo ya Kasulu, Kigoma~Tanzania S.L.P 463 Ni bonge la shule yaani kama St.Marry maelezo zaidi uliza.......
  9. Amon Mtekateka

    Kipi bora kati ya madarasa na walimu

    Nashangazwa sana na serikali ya Tanzania kuanzisha shule bila walimu wala vitabu KAZI DOMOKRASIA TU!
  10. Amon Mtekateka

    Mwenye kuifahamu join instruction ya Muyovozi high school naomba anisaidie!

    Siku zinazidi kuyoyoma alafu ninatakiwa niripoti shule lakn mpaka leo sijapata join instruction
  11. Amon Mtekateka

    Tuliochaguliwa Myovozi Hope High School

    Wana jf, kama kuna anaejua hii shule inapatikana mkoa gani tufamishane na details nyengine maana kila mtu haijui hii shule, tepeane details
  12. Amon Mtekateka

    Form za vifaa vinavyoitajika shule walizochaguliwa wanafunzi kidato cha tano

    Nilikua nataka kujua hvi zile form za vifaa vinavyoitajika kujiunga form 5 zinapatkana wap shule aliyotoka au anakoenda
  13. Amon Mtekateka

    Post za kidato cha tano kwa mwaka wa masomo 2014/2015

    Mpaka leo sielewi hii wizara inatutafuta nini au hii wizara haipo kwa ajili ya elimu mpaka leo post hamna autuandanamane
  14. Amon Mtekateka

    Ni vigezo vipi vinaangaliwa kusoma certificate ya sheria

    Wana JF naomba msaada kuhusu vigezo vinavyotakiwa mtu kusomea sheria ngazi ya Certificate. Naombeni msaada wenu please.
Back
Top Bottom