Ingia kwenye website ya wizara ya elimu!
www.moe.go.tz
Then nenda moja kwa moja kwenye kipengele cha machapisho
Utazikuta pale join instruction !
Kama itakusumbua n PM
Kuna mdogo wang amechaguliwa katika iko chuo mapema tu tena katika batch ya kwanza lakni cha kushangaza mpaka leo hakuna dalili ya kupatikana izo form.
Kama kuna mtu alisoma katika iko chuo au anayo ata kuifaham fomu ya kujiunga kwenye iko chuo naomba tafadhali.
Nitashukuru kama nitasaidiwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.