Search results

  1. G

    Kitabu cha Kina cha Haki

    Jamani nimeandika kitabu cha simulizi ya riwaya kiitwacho KINA CHA HAKI "Shinikizo" lakini nimeshindwa kupata namna ya kukifikisha kwa hadhira husika. Nikiwa na maana kuwa bado hakijachapwa lakini uandishi wake umekamilika kwa asilimia 100. Kinachonikwamisha hapa ni mtaji kwa maana ya gharama za...
  2. G

    Taratibu za kuingiza gari nchini

    Hello wanajamii! Naombeni kufahamishwa kuhusiana na taratibu na kanuni za kisheria za kuagiza gari nje ya nchi. Hii ni pamoja na jinsi ya kulitoa bandarini lini na ushuru unaotakikana kisha TRA hadi ninapo kuwa mmiliki halali.
  3. G

    hodiiii !!!!!??

    Ni nafisi ya kujivunia kwa wasaa huu wa kubadilishana hulka na kujenga mshikamano thabiti. awali ya yote heshima kwenu nyinyi wana jamii. panapomajariwa tutalisongesha gurudumu hili kwa umoja. asanteni kwa kunialika . good time!
Back
Top Bottom