Search results

  1. Ngigana

    Masikini Lowassa, nilihisi haya yatamkuta, yamemkuta

    Pumzika kwa amani. Ulisingiziwa mengi sana ili usipate uraisi. Nyumba zote zilizokuwa zinajengwa zilikuwa za fisadi Lowasa. Hata kama umeondoka, Mungu akulipie kisasi😢
  2. Ngigana

    Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

    Liquid au UKWASI kwa kiswahili. Unawaza pombe?
  3. Ngigana

    Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

    Mkuu hata ukitaka kwenda kutoa zote ni ruksa. uamuzi ni wako. Ila itakuwa sawa na kupanda mbegu leo kisha kesho unaenda kuzifukua :cool:
  4. Ngigana

    Najuta kuingalia video ya Joshua

    https://t.me/beholdisraelchannel/24765 https://t.me/beholdisraelchannel/24766
  5. Ngigana

    Vifo vya watanzania wenzetu vyaacha maswali Mengi

    Mpumzike kwa amani wana wema wa tumbo la mama Tanganyika. Uhai wenu umefupishwa bila sababu na bila huruma. Mungu pekee awafariji wazazi wenu
  6. Ngigana

    Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono

    https://t.me/beholdisraelchannel/24765 https://t.me/beholdisraelchannel/24766
  7. Ngigana

    Maeneo ya kutembelea ukiwa Mbeya

    Ajitahidi na kwenda mkoa wa Songwe ( sehemu ya mkoa wa Mbeya ya zamani) ukaangalie na kimondo😎
  8. Ngigana

    Bibi harusi mtarajiwa, mama yake wafa ajalini wakielekea Kilimanjaro kwenye maandilizi ya harusi yake

    Poleni wafiwa na wote mlioguswa na msiba huu. Lakin nadhani haikuwa busara kwa kumwachà bibi harusi mtarajiwa kuendesha gari safari ndefu namna hiyo; kwanza alikuwa hyper excited kwa ajili ya arusi na mchecheto wa arusi. Haikuwa busara kabisa kumpa usukani. Apumzike kwa amani. Pole bwana arusi...
  9. Ngigana

    TANZIA MwanaJF mwenzetu, Rubawa amefariki dunia

    Kuna ubaya gani kuweka picha? wengine tulikuwa hatumfahamu. RIP Rubawa😭
  10. Ngigana

    CRDB account haisomi

    hata mimi yamenikuta hayo. kuna vipesa kidogo kwenye akaunti lakin naambiwa kiasi kilichopo ni Zero! Nimeenda leo tawini wamesema nisubiri majibu kesho. Hii benki nadhani iliondoka na Hon Kimei. Ubabaishaji mwingi sana! Kwanza ni kinyume kabisa na taratibu kunisababisha nisiweze kutumia akaunti...
  11. Ngigana

    Hawa ndio Watanzania waliotekwa na magaidi wa Hamas

    Tuilaani Israel wakati wapalestina wameshikilia watoto wetu? Ni damu yetu hao wawarudishe salama! Mungu awalinde na kuwarudisha salama watoto wa tumbo la mama Tanganyika 😢
  12. Ngigana

    Msaada: Nilipata ajali mkono wa kulia haufanyi kazi japo nafeel

    Pole sana mnyakyusa wa IPinda. Tafuta kiungo fulani kinaitwa Star Anise, kinapatikana kwenye maduka ya dawa asilia au sokoni kwenye eneo wanakouza viungo vya chakula. Saga kwenye blender ya vitu vikavu, tumia kijiko kimoja cha chai level kwenye chai ya rangi au uji au juisi. Ukiwa na asali ni...
  13. Ngigana

    Dkt. John Pima aliyekuwa DED Arusha na wenzake wahukumiwa kifungo cha miaka 20 jela

    Mshana huwa anajinasibu kwa utaalamu wa ndumba, akamtoe dada😢
  14. Ngigana

    Nionavyo: RC Mbeya hakutakiwa kuchukua uamuzi Sasa wakati ripoti ya uchunguzi kuhusu ufisadi wa Mbeya haijatoka

    Asingeweza ona madudu hayo kwa kuwa alikuwa bize na kuwakabidhi akina Mwabukusi kwa machifu
  15. Ngigana

    Wanasheria tusaidieni kufungua kesi mahakamani ili mikataba yote ya rasilimali zetu ambayo Rais Samia kasaini na wageni ipelekwe bungeni

    Mheshimiwa, kwa bunge lipi hili la akina ndiyo? The difference is the same!😎
Back
Top Bottom