Search results

  1. Fab

    Jifunze kuacha kistaarabu

    mnh......
  2. Fab

    Jifunze kuacha kistaarabu

    labda awe mzungu,mwafrica thubutuuuuuu! ukimtumia email kama uliyotuma ataona unajipendekeza! atahakikisha anakuvua nguo kwa mara nyengine kisha akudump!:pound:
  3. Fab

    Kuosha Vyombo

    hovyoooooooooooooo!
  4. Fab

    Hoja ya Shossi juu ya sh. 500/- ya babu

    hahaa usijihangaishe sina roho yoyote inayonitesa,FAB is just FAB.....sina ishu na bikira yako hata ukiamua ukae bikira for the rest of your life,ila unatuchosha unavyotaka attention with it.........for heaven sake,kila mtu alikuwa nayo!........malesbian na waliwa tigo sidhani kama kuna mtu humu...
  5. Fab

    Hoja ya Shossi juu ya sh. 500/- ya babu

    hakuna tofauti na unavyofanya na bikira yako,yote ni kutafuta ATTENTION na sie nyie attention seekers mnatuchosha!!!!...barikiwa na wewe pia unapoendelea kujitambua!! ...sipendi kabisa mtu anayetafuta attention kinguvu iwe kwa mazuri au mabaya....nimekwambia waaaaazi kuwa bikira ni kitu cha...
  6. Fab

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    mie hayo ma US na UK...huwa yananiboa kweli kuingilia affairs za nchi nyengine na maguvu yao,mpk leo Iraq inajikongoja kwa sababu ya upuuzi wao na ukiangalia kulikuwa hamna sababu....:hatari:
  7. Fab

    Confirmed:> New love birds - Diamond and wWema Septu

    huyu wema anahitaji muongozo,wanaume wote hao? and she just turned 20????bibie utaichakaza hio nahino yakoooo halafu ukose wa kukuoa-anyway,uko kny foolish age hatukushangai sana naamini utatulia tu within next few years....angalia usije ukajutia kipindi hiki....:smash:
  8. Fab

    Hoja ya Shossi juu ya sh. 500/- ya babu

    aliyefilisika nani?? mie au wewe unayevuvuzela na bikira yako kuanzia signature mpk kny posting? bibie tulia kila mtu aliwahi kuwa nayo!!!,once itakapotoka ndio utajua ilivyo insgnificant na sio kitu cha kutunyimia usingizi humu!!!
  9. Fab

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    hii dawa sidhani inatibu,watu wako desperate,they want to believe somewhere outhere kuna cure ya matatizoyao,this sense of desperation is really bad wakija kutoka kny hio denial na kuface bitter truth....hapo ndio itakapokuwa painful experience.....serikali nayo inaonekana kubariki huu upuuzi...
  10. Fab

    Hoja ya Shossi juu ya sh. 500/- ya babu

    Mi ni msichana mrembo sana mwenye umri wa miaka 26, figure namba 8, maji ya kunde na ni bikira. Sijawahi kuingiliwa na mwanaume awaye yote maungoni mwangu. Nimeyashinda majarinbu yote haya ya maisha ya leo kwa sababu ya nguvu zitokazo katika neno la msalaba. Signature yangu inasema kuwa mwili...
  11. Fab

    Michelle wetu kunani jaman!

    mumewe ndio aseme hayo,sio wewe eboh:twitch::twitch:
  12. Fab

    Nawapenda wasichana warembo ila sina pamba za kuwadatisha

    endelea hivyo hivyo kunawa,kula huli!!!!!!!!:twitch::twitch:
  13. Fab

    January makamba aanzisha SMS na wananchi wa Bumbuli

    yeah,i was right wewe ndio waleeeeee.....mliocheza ligi za mchangani hata humu mtandaoni mnaona sifa saana kuanzisha ligi zisizo na kichwa wala miguu CHUKUA TIME HUKO,kati yangu mie na wewe limbukeni anajulikana wazi ni nani......and this is my last post kukujibu,andika unalojisikia kuandika ila...
  14. Fab

    January makamba aanzisha SMS na wananchi wa Bumbuli

    :twitch::coffee: inaelekea wewe ndio wale mnaopenda ligi za kitoto,hata wewe hujakatazwa...kaanzishe!
  15. Fab

    January makamba aanzisha SMS na wananchi wa Bumbuli

    ukirejea makamba na website yake,utajua ni nani anasaka huo u cheap popularity...:twitch:
  16. Fab

    Nimepata jamani!!!!!

    wajemeni mie nimempata ila kaniponyoka,mkimuona mwambieni namtafuta!:A S-confused1::disapointed::embarrassed1::becky::glasses-nerdy::embarrassed::rant::rant::rant:
  17. Fab

    Don't fear for bullets b'cause they kill people not ideas behind them!

    mnh i dont like siasa,but this post is well put...kudos.
  18. Fab

    World Famous Dictators

    hayo makosa zaidi ya 300 yalikuwa yanahusu mauaji au???
  19. Fab

    World Famous Dictators

    Damu ya watu wasio na hatia itakulilia kikwete mpaka kaburini kwako,na wala sio tu walipoteza maisha kny vurugu za arusha bali pia wale wanaopoteza maisha hospitalini kila siku kwa huduma mbovu kutokana na uzembe wako na kukumbatia mafisadi.
  20. Fab

    Usimnyime mwanao haki ya kumjua babaye

    mnh ina maana mama alimwambia mwanaye kuhusu baba???mtoto alijuaje pa kuanzia ni lugalo?? kama ni mazingira hata huko shule pia yangeweza kutrigger huo mtindio... mind ni kitu complex,huwezi ukasema for definite kuwa ishu ya babayake ndio actually iliyocause huo mtindio..... na ishu za...
Back
Top Bottom