Search results

  1. ndanda masasi

    Rais mstaafu, Jakaya Kikwete ahudhuria msiba wa Gabriel Ndugulile, Baba wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni

    Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete alipowasili eneo la msiba nyumbani kwa marehemu mzee Gabriel Ndugulile Ferry Kigamboni Jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia kwa msiba huo. Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete alipowasili...
  2. ndanda masasi

    Serikali imetoa Tsh. Bil. 20 kulipa madeni ya wakulima, Wasafirishaji, wapuliziaji dawa na waendesha maghala ya korosho

    Waziri Mkuu Majaliwa amesema Serikali imetoa Tsh. Bil 20 kulipa madeni ya wakulima, Wasafirishaji, wapuliziaji dawa na waendesha maghala ya korosho“JPM ametoa hizi fedha kwa ajili ya Tandahimba, Masasi, Mtwara & Kibiti kwa waliolipwa nusu, kiasi na wasiolipwa, zitaanza kulipwa kesho” -----...
  3. ndanda masasi

    Waziri wa Elimu, Profesa Ndalichako ataka busara itumike suala la ulipaji ada

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Joyce Ndalichako ametaka busara itumike kati ya wazazi na bodi za shule kuhusu suala la ulipaji wa ada na malimbikizo ya ada za muhula uliopita kwani janga la Corona limeathiri watu wengi
  4. ndanda masasi

    Suleiman Bungara (BWEGE) Mbunge wa Kilwa Kusini: "Kwaheri CUF, hodi ACT Wazalendo"

    Mbunge wa Jimbo la Kilwa Kusini Mhe.Selemani Bungara (Bwege) ametangaza kukihama chama Cha Wananchi Cuf na kuhamia chama cha ACT Wazalendo azalendo mara baada ya bunge kuvunjwa hapo kesho. --- Ifahamike kuwa, nimeitumikia nafasi ya uwakilishi wa wananchi kwa maana ya ubunge wa Kilwa Kusini...
  5. ndanda masasi

    Aliyekuwa Mwenyekiti ACT Wazalendo abwaga manyanga

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Yeremia Kulwa Maganja, ametangaza kujivua uanachama wa chama hicho, kwa kile alichodai haungi mkono baadhi ya mambo ndani ya chama.
  6. ndanda masasi

    Wananchi kata ya Ndato wilayani Rungwe walima mashamba ya diwani wao aliye gerezani tokea mwaka jana

    Diwani kwa kata ya Ndato wilaya ya Rungwe kupitia CHADEMA yupo ndani toka mwaka jana Novemba kwa sababu za kisiasa na amenyimwa dhamana miezi 4 sasa, wananchi wameamua kwenda kwenye mashamba yake na kumpandia viazi (Mviringo) na kupiga dawa kwa kulitunza wamedai watayatunza mashamba yake yote...
  7. ndanda masasi

    Madaktari wa Cuba wawasili Italia kusaidia

    #COVID-19 Madaktari toka nchini Cuba wakiwasili Italia kusaidia harakati za kupambana na COVID-19. Maelfu ya watu wamepoteza maisha nchini Italia na mfumo wa afya nchini humo tayari umeelemewa na idadi ya wagonjwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. ndanda masasi

    Simbachawene jiuzulu kulinda heshima yako

    Kazi ya Polisi ni kulinda mali na usalama wa raia. Raia zaidi ya 20+ wamepoteza uhai. Wapo watu tunaowalipa kwa ajili ya kazi hiyo kiongozi bado upo tu. Polisi mumekaza zaidi kwenye uhujumu na kamatakama bodaboda + kila gari linalopita kusimamisha. Na kuzuia mikutano ya siasa ila haya hakuna...
  9. ndanda masasi

    Tuungane watanzania kumpinga Ndungai

    Wanayofanya Ndungai na watu wake, tuliowengi hatufurahishwi. Kila bunge Ndungai na visa visa tu tena vya kukomoa ifikie tuseme basi inatosha kwa sauti mmoja. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. ndanda masasi

    Tunataka ndege yetu

    Azabu tunayopata wafanyabiashara ndogondogo Leo hakuna Lori linakubali kupakia pasel eti kuna tra wana dai mashine Samaki zinaoza Mazao yanadoda Vifaa dukani tunauza hakuna.. Kisa ...........,..,
  11. ndanda masasi

    Tumeporwa korosho sio kwa bahati mbaya

    Mimi mwanakijiji wa kata ya Chihangu Mpakani kabsa na Kijiji cha chilangalanga. Serekali kutumia Jeshi la wananchi wanachukua korosho zetu . Hakika kama wangetumia magari ya umma sasa kingewaka , Mpaka sasa hatujatibua mashamba Mpaka sasa hatuna mukari wakupanda mikorosho mipya Mpaka sasa...
  12. ndanda masasi

    Mimi mwanakijiji wa Nanjinji kata ya Likonyowele Liwale mjini

    Na watu wa Mautanga kata ya Likonyowele Liwale mjini kwa nke wangu, Tunaiomba tume ya Uchaguzi pesa zetu za Uchaguzi zipelekwe Ukerewe kama Ubani wetu wa boreshe kivuko chao. Itumike garama kidgo kumuapisha Mbunge atakaye wapendeza nyie tume.Sisi iiii atuna kinyongo Bora uhai
  13. ndanda masasi

    Tupeane uzoefu wa zao la Korosho wakati wa kupiga madawa

    Mimi nimeanza na Kiuadudu 'Suba Chlo 55EC+' yenye viambajo Aminifu 1. Chlorpyifios 50% 2. Cypemethrin 5.0% 3. Inert ingredients 52.0% Nilichanganya na 'MULTI-TRIACARB 500SC' yenye Viambajo Aminifu 1. Triadimenol 25% 2. Carbendalzim 25% 3. Inert ingredients 100% Baada siku tatu nikapuliza...
  14. ndanda masasi

    Wazazi tukutane hapa kuhusu maandalizi ya vijana wanaonza kidato cha kwanza mwakani

    Shule zipi bora kwa Mzazi wa kipato cha chini nawa kipato cha kati kwa mandalizi ya mwakani au wewe umempeleka wapi kijana wako. Kwasababu zipi tupeane uzeefu.
  15. ndanda masasi

    Picha ya Leo

    Karibu
  16. ndanda masasi

    Waandishi wa Habari nyie wasaliti

    Kwahili la Kimara hamtendei haki watu wa Kimara. Ombi limulikieni macho watanzani wajue tabu tunayopata sauti yenu ni tiba Wakina Lisu, Mbowe, Zito, Nape na kina Makamba wote hawa wamefungwa mdomo . Sasa nyie ndio risasi ya mwisho kwa kilio hichi. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. ndanda masasi

    Wamenitapeli miaka 2 iliyopita sasa tena

    SIMU KUTOKA TIGO ngrrriiiiiii!!!!!!!!! NGriiiiIIIIII! TIGO; mimi ni -----naongea kutoka Tigo tunaongea na? MIMI; nakusikiliza TIGO;umewahi kutumiwa ujumbe wowote juu ya TIGO BIMA? MIMI; ndio lakini sikushughulika nao TIGO; nataka nikufahamishe kuhusu TIGOBIMA MIMI; nam eleza...
  18. ndanda masasi

    Tujikumbushe kueleke 2020

    Ukawa Tunapanda kwa Kasi Walianza na 72% kwa 22% ikaja 69% kwa 31% zikaongezeka 59% kwa 39 Matokeo ya sasa yanasema ni 56% kwa 41% kuna mmoja anapanda, mmoja anashuka. Tofauti ya kura Tazama Picha
  19. ndanda masasi

    Dose

    Is the amount of a medicine, drug, or vitamin that is taken at one time Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom