Search results

  1. mickey.T

    INAUZWA Nina Paypal account Inayoweza kupokea na kutoa M-Pesa

    Kwa anayehitaji paypal account inapokea na kutoa pesa kupitia Mpesa (safaricom) unapata na line ya safaricom iliyounganishwa nayo. Tuwasiliane: 0758593165
  2. mickey.T

    SSD Drive ipo sokoni

    256GB, sata SSD 4GB SDRAM DDR 3 Nicheki 0678656684
  3. mickey.T

    Private Jet for sale

    [emoji125] [emoji125] [emoji125]
  4. mickey.T

    TCRA - online content watatubanaje ili tulipe?

    Sioni ulazima blog ipatikane tz. Bora kuifungia Watembeleaji wa tz wasiipate.
  5. mickey.T

    TCRA - online content watatubanaje ili tulipe?

    Tuseme domain. Umesajili nje, ukaweka na privacy protection, hosting umechukua nje nayo.. Hapa wanakupata VP kwamfano
  6. mickey.T

    TCRA - online content watatubanaje ili tulipe?

    So hapa kwa kifupi wamechemka ama ni vp
  7. mickey.T

    TCRA - online content watatubanaje ili tulipe?

    Hivi hawa jamaa watatumia njia gani kutubana ili kila blogger alipe Tukipata mbinu watakazo tumia ndio tuje na solution Nawasilisha
  8. mickey.T

    Jipatie blog za wordpress kwa gharama ya Tzs 50,000

    Jipatie blog kwa za wordpress kwa gharama ya Tzs 50,000 Gharama hii ni kwa ajili ya 1. hosting mwaka mzima 2. domain name ya .com 3. blog design Kazi yetu mpya: arusha24.com 0764178822 Mawasiliano
  9. mickey.T

    Makubwa juu Ya Yesu

    Hii inapendeza
  10. mickey.T

    Email Marketing

    Ndio
  11. mickey.T

    Email Marketing

    IPO database ya email za makampuni mbali mbali hapa Tanzania. Iyo email list ni up-to-date na zipo nyingi sana Uwezekano wa kuzi filter upo ukapata email list kwa ajili ya category ya wateja wako Kwa mahitaji tuwasiliane: 0764178822
  12. mickey.T

    Fursa ya biashara kwa wana teknolojia

    Bado nafasi zipo Unapata unlimited disk space Unlimited bandwidth Host unlimited domain Whm /cpanel Cloudlinux installed
  13. mickey.T

    Msaada: Natafuta Host iliyo na Unlimited Storage & Brandwith kwa shilingi 10k-15k

    Wewe in reseller Mimi na manage server zangu mwenyewe so stop the donkey sh***t
  14. mickey.T

    Msaada: Natafuta Host iliyo na Unlimited Storage & Brandwith kwa shilingi 10k-15k

    I have played around with them kwa mda I know what I mean
  15. mickey.T

    Msaada: Natafuta Host iliyo na Unlimited Storage & Brandwith kwa shilingi 10k-15k

    Pengine sijasoma but I know for sure that machine yako haina unlimited storage same applies to this servers, in computer tu nazo
  16. mickey.T

    Msaada: Natafuta Host iliyo na Unlimited Storage & Brandwith kwa shilingi 10k-15k

    Chukua mfano wa computer yako. Wewe una unlimited storage? Naamaanisha hard disk yako..
  17. mickey.T

    Msaada: Natafuta Host iliyo na Unlimited Storage & Brandwith kwa shilingi 10k-15k

    No one said anything about cloud servers, kwenye traditional shared hosting hakuna unlimited usidanganye watu
  18. mickey.T

    Msaada: Natafuta Host iliyo na Unlimited Storage & Brandwith kwa shilingi 10k-15k

    Jibu ni hapana.. So hakuna unlimited ila no limit ndio neno mwafaka, ikikaribia kujaa unaongeza nyengine ...
  19. mickey.T

    Msaada: Natafuta Host iliyo na Unlimited Storage & Brandwith kwa shilingi 10k-15k

    Computer yako harddisk yake INA unlimited storage?
Back
Top Bottom