Search results

  1. Kkimondoa

    Hii tabia ya Waziri kutetea askari wanaokiuka haki za binadamu kwa makusudi kunawatesa wananchi

    imekuwa kawaida kwa askari kufanya mauaji na unyanyasaji wa kwa raia kisha kutetewa na wakuu wa polisi pamoja na waziri wa mambo ya ndani hali ambayo ni tofauti na yale wafanyiwayo watumishi wengine hali hii haiboreshi jeshi bali inalitia doa jeshi na na kulifanya lizidi kuchukiwa na kuto...
  2. Kkimondoa

    Hili la watumish kulipishwa hela ya Mwenge pamoja na makato yote haya imekaaje hii?

    Kuna baadhi ya halmashauri zina waamuru wakuu wa idara kusimamia watumishi walio chini yao kulipa pesa ya Mwenge Tsh 1000 - 5000 tena kwa vitisho vikali wakati huo watumish hao wanakatwa kodi lukuki kwenye mishahara yao. Je wizara ya ajira na kazi pamoja na utumishi mmelibariki hili...
  3. Kkimondoa

    Mfumo wa utumishi wa umma umevurugwa na umevurugika hakuna sheria tena bali ni utashi wa mwenye mamlaka juu yako

    Kama kichwa kisemavyo hapo juu utumishi wa uma kwa sasa haueleweki Maamuzi mengi yanategemea kauli ya aliye juu yako na si sheria tena inayo zingatiwa Utumishi umekuwa wa mashaka kila siku maana huyu anapandishwa leo kesho kashushwa bila sababu , atapandishwa huyu yule ataondolewa bila sababu...
  4. Kkimondoa

    Bunge la Tanzania linawajibika kwa Rais

    Ninasema hivyo kwa uhakika kabisa kuwa bunge linawajibika kwa rais Mf. sheria yeyote ambayo Rais akiitaka ibadilishwe huwa haina kipingamizi ikifika bungeni wabunge hasa wa CCM watapitisha kwa nguvu zote hata kama ni sheria ya kipumbavu na Italitia hasara taifa itapita tu. Na hawana jeuri ya...
  5. Kkimondoa

    Ndio mtajua kwamba serikali hii ni rafiki kwa Jeshi la Polisi...

    Afya na madaktari waliomba waongezewe nguvu kimya na pia hata nyumba za watumish wa afya hawana lakini kimya pamoja na kuomba. Walimu pia waliomba waongezewe nguvu matokeo yake ndio kuwatoa sekondari kuwapeleka msingi na wanaomba nyumba kila siku na kuna nyumba za walimu zilibebwa na mvua hadi...
  6. Kkimondoa

    Ni nani wa kumlinda mtumishi wa umma?

    MKURUGENZI anaweza kumuamlia vyovyote mtumishi wa umma hata kutoa amri awekwe ndani kienyeji MKUU WA MKOA anaeeza kumuamlia vyovyote mtumishi wa umma hata kutoa amri awekwe ndani kienyeji MKUU WA WILAYA anaweza kumuamlia vyovyote mtumishi wa umma hata kutoa amri awekwe ndani MWENYE KITI WA...
  7. Kkimondoa

    Nini kifanyike ili viongozi na wapiga kura tuheshimiane?

    Kuna tabia naona inaota mizizi sasa viongozi wa serikali wanajiona kama wao ndio wasemaji na waamuzi wa matakwa ya watanzania wote Kama ambavyo tumesika matamko 'mbali mbali mara leo tena nasikia kuna mwehu na mwendawazimu mmoja eti anashauri msajili wa vyama afute vyama vya upinzani utadhani...
  8. Kkimondoa

    Bunge la Tanzania umekuwa muhimili mbovu na usio na tija wala faida kwa Taifa

    Bunge ni chombo ambacho kama kingekuwa kinafanya kazi yake ipasavyo hakika Tanzania ingekuwa mbali sana kwa sasa. Lakin Bunge la Tanzania ni miongoni mwa mabunge ya hovyo na hasara kwa Taifa, halina msaada wala mchango wowote ule kwa taifa hili. Bunge linatia hasara Serikali kila mwaka. Bunge...
  9. Kkimondoa

    Mkurugenzi ni mshtakiwa namba moja, polisi namba mbili, chadema namba tatu bila unafiki

    MKURUGENZI ndiye.chanzo cha yote atoe sababu za kwa nini hakutekeleza matakwa ya sheria kwa kutoa barua za mawakala kwa wakati? Ni kipi kilimsibu hadi ashindwe kiheshimu sheria za uchaguzi hali iliyo pelekea hofu dhidi yake? POLISI huyu NI mtuhumiwa namba mbili lakin anaweza kushika nafasi ya...
  10. Kkimondoa

    CHADEMA, wananchi wamewachoka mtashindwa zaidi 2020. Hamna sera shawishi

    Hatimae kipigo kimeendelezwa konondoni naamini kinafuatia kingine siha kuna haja CHADEMA mjitathimin aina ya siasa zenu yawezekana kuna kitu wapiga Kura hawa bado hawawaelewi au bado mna siasa za mwaka 47 CHADEMA ya SLAA sio ya sasa hii ya sasa nadhani NI mpya inayo elekea shimoni CCM...
  11. Kkimondoa

    Naiona hatari kubwa sana hatua ya Serikali kupeleka walimu wa Sekondari kufundisha shule za msingi

    Walimu wazidiwa na vipindi sekondari kwani halmashauri zingine zimelitekeleza zoezi la uhamisho bila utaalamu kabisa na sijui ni hujuma za makusudi ama laa. Hata timu ya mpira huwa ina hakiba ya wachezaji kwa ajili ya dharura lakini kwa hiki kinachofanywa sasa kwenye elimu sehemu nyingi...
  12. Kkimondoa

    Tangu Serikali hii iingie madarakani mtumishi wa umma hajawahi kufanya kazi kwa uhuru

    Tangu serikali hii imeingia madarakani haijawahi tokea watumishi wa umma wakafanya Kazi kwa uhuru hata siku moja tangu mh. huyu aunde serikali yake utadhan aliapa kupambana na watumishi wa umma maana kumekuwa na usumbufu usio koma kwa watumishi kitu ambacho kinarudisha nyuma hari ya utendaji na...
  13. Kkimondoa

    Tuitarajie TTCL mpya heko mheshimiwa Rais imetosha sasa kuibiwa kijinga

    Nampongeza sana rais hasa kwa kuliona hili la hujuma dhidi ya TTCL. Kwakweli mimi ni miongoni mwa wale wachache wapenda haki na usawa huwa nakusifia sana pale unapofanya vyema na huwa sisiti kuku kosoa pale mambo yanavyoenda hovyo kwa hili hongera sana mh Rais. Nina uhakika majibu utakayo pata...
  14. Kkimondoa

    Naona Mashinji yupo tena leo azam two akijibu hoja,

    Ngoja tuone leo anaongea nini
  15. Kkimondoa

    Serikali yangu kama kweli ina nia ya dhati toka rohoni, zuia ufujaji pesa za umma usio na ulazima fanya hivi:-

    Ili mbunge au diwani au kiongozi yeyote wa kuchaguliwa na wananchi aweze kujiudhuru basi kujiudhuru kwake lazima kupitishwe na kamati maalum ya jimbo husika ambayo nashauri ingeundwa kutoka kwa wawakilishi wa kila kata yaan madiwani na wenye viti wa vijiji hasa baada ya kuridhishwa na sababu...
  16. Kkimondoa

    Kumbe ndio maana CHADEMA haikui na haitakua kamwe miaka yote itakuwa sawa na KUPWA na KUJAA

    Nashawishika kusema CHADEMA si chama cha siasa bali ni kikundi cha watumia fursa , ni kikundi kilicho beba watu wenye kutafuta fursa , wasio na maono ya mbali , wenye dhiki kuu iliyo tukuka , CHADEMA imebeba watu wenye fikra ndogo walio wengi kuliko wenye mawazo mapana ambao ni wachache sana...
  17. Kkimondoa

    MASHINJI ukatibu umekushinda, kutetea hoja kumekushinda. Hujui kujibu hoja kwa ufasaha

    Nimemuangalia hapa anavyo jibu maswali ya charlz hilary hakika CHADEMA mnapote kabisaaaa naona msemaji wenu mwenye kujibu hoja alikuwa lissu pekee huyu katibu wenu naye ni mzigo kwenu , Anajibu maswali huku anatoka nje swali alilo ulizwa , maelezo hayajitoshelezi , maswali magumu majibu mepesi...
  18. Kkimondoa

    Hii mbinu mpya hakika itaitoa CCM kimasomaso siasa ni mkakati sio porojo na malalamiko

    Hahahaaaaaa, uchaguzi unaitishwa mgombea anashinda halafu anatenguliwa kwa taarifa kuwa katumia rushwa halafu takukuru wanamkamata anafunguliwa mashtaka ambayo soon yanapotelea hewan wakati huo tuna aminishwa kuwa 1.Tunapambana na rushwa kikamilifu ndani ya chama 2.CCM sasa ni safi...
  19. Kkimondoa

    CCM mtakuja kushtuka mkiwa mmesha chelewa,endeleeni kuwa wapiga makofi na washangiliaji wakuu

    Ni hayo tu hii ni tahadhari .wenye uelewa mpana sana na tafakari ya kutosha watanielewa ila wale wenye matatizo ya uelewa lazima wataanza kuuliza uliza maswali.
  20. Kkimondoa

    Walichokiongea vijana wa CCM Arusha jana nimestaajabu

    Taifa haliwezi kupata maendeleo hata siku moja likiwa linanuka damu za wasio na hatia na tutaendelea kuhangaika miaka yote na kubadili marais miaka yote,tuta hukumu watu miaka yote kwa sababu taifa limejaa waongo, waonezi na wenye tabia za kikatili kabisa tena bila utu, nimesikitika sana jana...
Back
Top Bottom