Search results

  1. G

    Video: Si kuibiwa ni kuzidiwa!

    WAKUU, Inasikitisha, nani katika dunia hii hazini au hajawahi kuzini. jambo hili linatakiwa lifungwe, haifai kuedelezwa, kwa sababu hakuna jipya. Kinachopaswa kupangaliwa na kupewa umuhimu ni nani yuko makini na uhai na uedelevu wa nchi yetu, badala ya nani anazini au la. This is immaterial...
  2. G

    ipi ni sahihi zaidi?

    :smile-big: SMU Ni sahihi kabisa, thank you.
  3. G

    Phd za Mzumbe University!

    Ninachoelewa mimi ni kwamba having a PhD kutoka kwenye chuo ambacho ni accredited, ni utambulisho tosha kuwa umebobea katika fani uliyosomea, it doesn't matter from which university. Performance is a relative variable.
  4. G

    Man 'survives without food' for 70 years

    Kama kweli imewezekana, ni vema researchers wataalamu wa fani hiyo wakaanza, it is never too early.
  5. G

    Nilichokoza, sasa sijui nifanyeje....!

    Zawadi itakayomfaa ni kumpatia haki yake kisawasawa
  6. G

    mpeni ushauri......ungekua wewe ungefanyaje?

    Mambo haya ni very complicated. Ilianzanzeeje mchezo ukafikia hapo bila vk kushtuka na kukataa uhusiano wa namna hiyo. Usimguse dude kwani hana kosa, waambie shoga zako wazi mambo yanayofanyika, unless huyo bwana ana sifa za ziada kwako. Kunyamza kimya ni kumlinda.
  7. G

    ha ha ha weekend njema

    Justice is always questionable unless it is proved beyond reasonable doubt. A lady can spend a shilling where a man would be two. Women are always clever than men, whether you like it or not.
  8. G

    Mwanasiasa aliyedanganyika

    Mwanzo na mwisho wa yote ni wewe mwenyewe. The world and life end the time you die, ....
  9. G

    Aunt Ezekiel na Kanumba katika love scene

    Gwantwa maana yake ni " Wa Bwana", kwa maana ya Yesu Kristo. It is in a Nyakyusa venacular.
  10. G

    Utambulisho

    Nabisha hodi humu ndani nikiomba ukaribisho.
  11. G

    etv Ndani ya TBC

    Hii imekaa sawa, kweli Dstv watapata mshindani
  12. G

    Kuhusu Vita ya Siku Sita!

    Zaidi ya yote ni kwamba hapakuwepo na mshindi, wote walipigana juu ya ardhi na ardhi ikabaki vilevile, ni suala la kutoelewa.
Back
Top Bottom