Search results

  1. M

    TANZIA Mwana-JamiiForums, Thadei Ole Mushi afariki dunia

    Kunaweza kukawa na sababu nyingi lakini sababu moja kubwa ni hii , Mithali 10:27 SRUV Kumcha BWANA kwaongeza siku za mtu; Bali miaka yao wasio haki itapunguzwa . Kutokana na kupungua au kutoweka hofu ya Mungu , siku hizi dhambi za kila namna zimekuwa ndio mtindo wa maisha. Watu...
  2. M

    Shule za English medium zisizo na remedial za lazima

    Nimegundua kuwa Feza primary iliyoko Kawe na Feza Shamsiye kule Mbweni zote hazina mambo ya remedial wala kulazimisha wazazi standard 4 & 7 kukaa boarding na shuleni wanatoka saa nane kasorobo mchana lakini wao ndio wanafaulu kwa viwango vya juu kuliko hizi shule za remedial zinazokaririsha...
  3. M

    Shule za English medium zisizo na remedial za lazima

    Wadau, Moja kati ya kero yangu kubwa kwenye hizi english medium ni huu mfumo wa kulazimisha watoto wa Standard 4 na 7 kufanya remedial kwa lazima , hata pale ambapo hakuna ulazima huo. Najua shule zinafanya biashara lakini si kwa kuwapa watoto stress zisizo na lazima . Watoto mwaka mzima...
  4. M

    Msaada: Maeneo ya Maktaba (Libraries) ninayoweza kwenda kujisomea hapa Dar ukiondoa Maktaba Kuu ya Taifa

    Wadau, Ukiondoa Maktaba Kuu ya Taifa, naomba kujuzwa kama kuna maktaba yeyote nyingine ambayo mtu yeyote anaweza akaenda kujisomea. Naomba kama unajua jina, location, utaratibu, gharama ya maktaba na uwepo wa huduma za ziada kama umeme, internet, nk, katika maktaba hiyo au hizo pia...
  5. M

    Wapi naweza kubadilisha pesa za kigeni(coins)

    Wadau, Naomba kama kuna mtu yeyote anayejua jibu la swali atusaidie maelezo, nami nina coin za pound ambazo nataka kubadilisha. Asante sana
  6. M

    Chapati ya Kichina, mmea unaoishi kwenye maji, Kombucha/tea mushroom

    Wadau , Nami nautafuta sana mmea huu (scoby) , naomba kwa mwenye uhakika wa kuwa nao / mahali unapopatikana atupatie taarifa. asante sana
  7. M

    Natafuta screen replacement ya ULEFONE NOTE 11P

    Wasalaam wadau, Natafuta, screen replacement ya ULEFONE Note 11p ( Ulefone Note 11P - Full phone specifications) , hii ni baada ya kioo kilicopo kuacha kufanya kazi baada ya simu kuanguka. Naomba msaada kama kuna mtu mwye hiki kioo au anafahamu kwa uhakika mahali ambapo naweza kupata kwa...
  8. M

    Msaada juu ya tatizo la liver shrinking (cirrhosis)

    Mkuu hii inatibika kwa mabadiliko ya lishe , angalia hii video hapa kwa maelezo zaidi. FATTY LIVER Cure ( Reverse NAFLD/MAFLD ) 2022
  9. M

    Ni zipi njia za kudumu za kuondokana na tatizo la mbu?

    Wasalaam, Moja kati ya changamoto ambayo imekuwa ikinisumbua sana ni changamoto ya mbu nyumbani kwangu, ingawa kwa sehemu kubwa hili ni tatizo la maeneo mengi ya hapa Dar. Nimekuwa nikijaribu kutafiti njia mbalimbali za kuondokana na mbu lakini mpaka sasa sijapata ufumbuzi wa kudumu...
  10. M

    Je, kuna shule yoyote ya Msingi au Sekondari inayofundisha kwa mfumo wa "Project Based Learning" nchini Tanzania?

    Wadau, Bado naendelea kutafuta shule za namna hii, kama kuna mtu yeyoye anaweza akawa anajua shule za namna hii tafadhali , naomba nijulishe. Asante sana
  11. M

    Kukaa na line ya simu nje ya nchi kwa zaidi ya mwaka bila kufungiwa

    Wadau, Kwa wenye ufahamu naomba kujua ikiwa nataka kusafiri na line ya simu (sim card), nifanyeje ili niweze kukaa nayo nje ya nchi kwa muda mrefu bila kufungiwa. Natanguliza shukrani
  12. M

    Mgahawa wenye chakula kizuri na michezo ya watoto

    Wakuu, Naomba kujuzwa mgahawa/ sehemu ya kula wenye chakula kizuri na michezo ya watoto kuanzia eneo la. Kawe , mbezi beach na Goba. Asante sana
  13. M

    Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

    Ndugu Amalrik TZ , Pole kwa hali hiyo , ili uweze kuishinda hali hii unahitaji kweli kuwa serious, kama uko serious nakushauri soma hivyo vipeperushi viwili , kimoja kina maelezo ya watu kama wewe waliokuwa na changamoto hii na wakapata msaada ambao uliwawezesha kutoka jumla katika utumwa...
  14. M

    Maeneo yenye Internet za Bure ( free wifi hotspots locations)

    Wadau, Kutokana na hali halisi ya vifurushi kwa sasa kuwa haieleweki , naomba tufahamishane kwa wale wanaojua njia mbalimbali mbadala za kuendelea kuwa mtandaoni bila gharama , kwa mfano wifi hotspots ambazo mtu anaweza kwenda kukaa na kutumia internet bure , hii inaweza ikawa katika public...
  15. M

    Ni upi mtandao bora kati ya Zantel na Halotel?

    Otterhound , naomba kujuzwa line za TS na WTS ni line za mtandao gani na kirefu chake tafadhali.
  16. M

    Naomba kufahamishwa Shule ya Msingi ya Kikristo iliyopo Goba, Mbezi, Madale, Kunduchi au Mbezi Beach

    Asante wadau , kama kuna yeyote anayeifahamu nyingine zaidi ya Liebermann , naomba utushirikishe pia.
  17. M

    Naomba kufahamishwa Shule ya Msingi ya Kikristo iliyopo Goba, Mbezi, Madale, Kunduchi au Mbezi Beach

    Wadau, Kwa unyenyekevu naomba kufahamishwa kwa mtu yeyote anayejua shule yoyote ya msingi ya Kikristo iliyoko katika maeneo ya Goba, Mbezi au Madale, Kunduchi, au Mbezi Beach. Kama unafahamu shule ya namna hii iliyoko eneo lolote jingine Dar es Salaam. Naomba pia kufahamishwa ingawa kipaumbele...
Back
Top Bottom