Search results

  1. MIUNDOMBINU

    Yule Professor Aliyetuita watanzania washamba yuko wapi ?

    Mhe. Profesa Muhongo amewahi kusema kwamba Watanzania ni wavivu wa kufikiri, wavivu wa kusoma na washamba sana katika masuala ya uwekezaji na kwamba uwezo walionao Watanzania ni kuuza juisi au soda. Mheshimiwa popote pale ulipo, Mungu anakuona na atakuhukumu kwa matusi yako kwa wa Tanzania!. .
  2. MIUNDOMBINU

    Kwenye Life "Kabla ya kutoboa Lazima Ugongwe Sana"

    Hebu fikiria khs msumari , Msumari hugongwa sna kabla ya kutoboa na kuzama ndani ya kitu, ndio Jinsi maisha ya Kijasiriamali jinsi yalivyokuwa. So kbla ya kutoboa jiandae kugongwa sana !. Ila Kuwa imara tu km Msumari hatimae utatoboa!.
  3. MIUNDOMBINU

    "Kabla ya Kutoboa Lazima Ugongwe sana!"

    Fikiria khs Msumari (Hayo ndio Maisha namna yalivyokuwa). Kabla ya kutoboa lazima ugongwe sana !.
  4. MIUNDOMBINU

    Dawa ya Bump (Vijipele Baada ya kunyoa ndevu)

    Hii Dawa , nimeiaminia sana . Iko poa sana
  5. MIUNDOMBINU

    Fundi wa printer.

    Salaam, wakuu. Ninahitaji fundi wa printer (copier machine), aina ya konica minolta bizhub,na xerox work force nipo dar es salaam, nicheki kwa 0762 490 080. Asanteni.
  6. MIUNDOMBINU

    Fundi wa printer.

    Salaam, wakuu. Ninahitaji fundi wa printer (copier machine), aina ya konica minolta bizhub,na xerox work force nipo dar es salaam, nicheki kwa 0762 490 080. Asanteni.
  7. MIUNDOMBINU

    Mengi atunukiwa tuzo za kimataifa za kusaidia jamii

    MWENYEKITI Mtendaji wa IPP, Dk. Reginald Mengi, ametunukiwa tuzo ya dunia ya uongozi kutokana na mchango wake kwa jamii katika jitihada za kuondoa umaskini na kusaidia makundi mbalimbali ya wasiojiweza. source: Mengi atunukiwa tuzo za kimataifa za kusaidia jamii
  8. MIUNDOMBINU

    SAVE 95% ON INK COSTS Continuous Ink System! (CISS)

    WHAT IS A CONTINUOUS INK SUPPLY SYSTEM?. A continuous ink system (CIS), also known as a continuous ink supply system (CISS), a continuous flow system (CFS), an automatic ink refill system (AIRS), a bulk feed ink system, or an off-axis ink delivery system is a method for delivering a large and...
  9. MIUNDOMBINU

    Msaada please

    Naomba kusaidiwa jinsi ya kufanya setting ya tigo/voda internet kwenye simu ya sumsung. Asante.
  10. MIUNDOMBINU

    Fundi wa machine ya kuhesabu pesa

    Kwa mwenye utaalamu wa kurekebisha machine ya kuhesabu pesa naomba tuwasiliane kwa 0762490080 nina machine inanisumbua. Asante.
  11. MIUNDOMBINU

    Ninahitaji fundi wa machine ya kuhesabia pesa

    Kwa mwenye utaalamu wa kurekebisha machine ya kuhesabu pesa naomba tuwasiliane kwa 0762490080 nina machine inanisumbua. Asante.
  12. MIUNDOMBINU

    Nahitaji radio call

    Wadau wana jf wenzangu. Ninahitaji radio call za kununua .please kwa mwenye kufahamu mahala zinapouzwa hapa dar anijulishe kwa kupitia hapa jamvini au kwa simu no . 0712 926 823 asante.
  13. MIUNDOMBINU

    Msaada wenu wana jf

    Wakuu salaam. Nina wazo la kuanzisha kampuni ya tours hapa dar, lakini sijui utaratibu mzima wa jinsi ya kuanzisha kampuni ya aina hiyo. Wala sina mtu wa karibu mwenye uzoefu wa kutosha katika sekta hiyo. Ombi langu: Ninaomba kufahamisha utaratibu wa jinsi ya kusaji, uendeshaji, masoka na...
  14. MIUNDOMBINU

    Nahitaji accounting software

    Ninahitaji Accounting Drivers, kwa ajiri ya kunisaidia katika kuuza bidhaa, kuhifadhi kumbukumbu za bidhaa zilizoko stoo, na kuchanganua mtiririko wa mahesabu ya biashara kwa ujumla. Napenda software hii iwe na vitu vitatu vifuatavyo: FRONT OFFICE ( FOR SALES MANAGING) BACK OFFICE (FOR STOCK...
  15. MIUNDOMBINU

    Vijana wawili wanahitajika haraka

    Ninahitaji vijana wawili kwa ajiri ya kazi zifuatazo; Kufanya usafiri katika eneo la kazi. Kusimamia utoaji na uingizaji wa bidhaa katika ghara. Kufunga mizigo ya wateja. Kupanga bidhaa katika ghara. Sifa za muombaji. Awe mwaminifu. Awe mchapa kazi. Awe na elimu ya darasa la saba au kidato cha...
  16. MIUNDOMBINU

    Je marekani itafilisika? (wataalamu wa uchumi tupeni ufafanuzi)

    Kuna suala la deni la ndani la marekeni, hivi karibuni limekuwa likiongerewa sana ktk vyombo vya habari hasa vya inje ya inchi. Eti marekani inakabiriwa na deni kubwa sana eti km hatua muhimu hazitachukuliwa ndani ya muda mufupi itatangaza kufilisika kabisa!. Sasa ndg zangu wana jf hebu tupeni...
  17. MIUNDOMBINU

    Wafanyabiashara wasaidiwe

    Wafanyabiashara wasaidiwe Friday, 06 May 2011 20:36 Happy Lazaro, Arusha SERIKALI imeshauriwa kuweka utaratibu maalumu ili kuwasaidia wadau mbalimbali wa biashara wanaotaka kuanzisha biashara zao kuwa na mahali maalumu pa kupata muongozo wa jinsi ya kuanzisha biashara. Kukosekana kwa...
Back
Top Bottom