Bora Siku hizi kuna hata hizo Duplicator za milango 5, na printer za epson zilizo na original CISS. Mkuu zamani tukikuwa tunatumia desktop computer ku Burn CD CD moja moja, na HP kuprint CD moja moja . Nero ndio ilikuwa kiunganishi mhimu hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wote mnaoshabikia Vita , hakika hamjui madhara halisi ya Vita.Usiombee Vita!. Ikitokea vita ya Irani na Marekani kila mtu Dunia itamuathiri, mfano tarajia lita moja ya Petroleum kuwa Tsh 3000. Tarajia mabadiriko ya Kitabia nchi, tarajia inflation ya bidhaa kutoka usa,china,uae, nk. Ndg...
Mhe. Profesa Muhongo amewahi kusema kwamba Watanzania ni wavivu wa kufikiri, wavivu wa kusoma na washamba sana katika masuala ya uwekezaji na kwamba uwezo walionao Watanzania ni kuuza juisi au soda.
Mheshimiwa popote pale ulipo, Mungu anakuona na atakuhukumu kwa matusi yako kwa wa Tanzania!. .
Heshima YAKO mkuu !.
Naomba maelezo zaidi je huwaunakunywa dawa hizo pamoja na maziwa kwa mpangirio gani na manisha kutwa Mara ngapi?.
Je maziwa una changanya na hizo dawa ama kila dawa unakunywa kivyake?.
Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.