Search results

  1. M

    Nafasi za kujitolea JKT kwa vijana

    Tangazo limetangazwa wapi, wekeni link
  2. M

    Tatizo la Ajira (zenye tija) nchini: Ripoti ya Benki ya Dunia na Mikakati ya Serikali ya Tanzania

    Izo ni propaganda za serikali, kile kidogo ulicho nacho serikali inakunyang'anya, tulimaliza chuo tukaamua kuwekeza katika kilimo, matokeo yake tulifukuzwa kwa viboko na mazao yetu ambayo yalikua bado yako shambani yaliharibiwa na serikali kisa eti tumelima katika hifadhi za wanyama. kama...
  3. M

    Natafuta kazi

    Sehemu ya kujitolea zipo sana2 lakini hupewi chochote hata posho hamna
  4. M

    Sijui nina mkosi

    We umeitwa mara3 bt wengne ha2jawah itwa hata mara1
  5. M

    Nafasi kujiunga na jeshi

    Nchi hii ukifuata haka utasugua benchi hadi ziku za mwisho
  6. M

    Biashara ya salon za kiume na kike

    Habari wana JF, nahitaji kuanzisha biashara ya saluni ya kunyoa nywele ila sijui nianze na mtaji wa kiasi gani? tafadhali kwa yeyote mwenye ideal karibu
Back
Top Bottom