Search results

  1. P

    Kweli uchawi upo Duniani Baleke sio wakumuweka Bench Mosses Phiri

    Sawa kabisa. Huu na mimi ndio mtazamo wangu. Robertino ni kocha wa hovyo sana. Kwanza anakariri ndio maana kufanya sub kwake ni mzito sana. We mechi ya bonanza unasubiri hadi dk 70 kweli? Robertino ni mbaguzi na sio mlezi wa wachezaji na vipaji vyao hasa vijana. Kwa nini husiwe unawaingiza walau...
  2. P

    Spika Tulia Ackson: Mdee na wenzake 18 wako bungeni kihalali, aeleza kuhusu kurejea kwa Bunge LIVE!

    Wewe ndio hamnazo kabisa. Kisheria si kila rufaa hufanya maamuzi ya awali yabaki. Nikupe mfano: mtu akikushtaki umechukua shamba lake, akashinda, halafu wewe ukakata rufaa, Je anaweza kuja kulima kwenye shamba kwa sababu tu alishinda kesi ya awali? Kijana, husiwe mbumbumbu wa sheria
  3. P

    Simba SC 1-0 Mbeya Kwanza | Benjamin Mkapa |NBC PL

    Umesema ukweli mtupu. Simba BACK PASS zimezidi sana. Hakuna mchezaji anayeangalia kupeleka mpira mbele. Simba inapoteza moves na muda kwa ma backpass yasiyo na maana kabisa. Hili Kocha ni wa kulaumu. Hivi haoni hili tatizo hili kulirekebisha kwenye uwanja wa mazoezi? Nasema tena kocha HAFAI...
  4. P

    Kocha Pablo arudi darasani

    PABLO hafai hafai kabisa. Mfumo wake wa lushambulia haueleweki. Anashindwa kupanga kikosi kulingana na mpinzani na aina ya uanja. Annanza je na wakabaji watatu bila kuweka kiongo mshambuliaji asilia? Sacko ni mzuri katika kkutambuka walinzi na kulisha washambuliaji wa mwisho na angefaa acheze...
  5. P

    Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

    Mkuu unakosea sana. Chambua mpira kitaalam sio kishabiki. Tatizo la simba sio kuwa na striker mpya. Hata ukileta striker mwingine tatizo litabaki palepale kama hakuna mfumo unaoeleweka kwa kuwalisha mastriker mipira ili wafunge. Simba tatizo benchi la ufundi. Huyo Mugalu leo amepenyezewa mipira...
  6. P

    Zanzibar wanapunguza gharama za kuunganisha umeme, Tanzania bara tunaongeza

    Huu ndio uzwazwa na ujinga wa baadhi ya watanzania. Hizo gharama za nguzo na miwaya kubwa hivi ni inakuwa mali ya nani mwisho wa siku? Si ni Tanesco? Tangu lini mteja akalipie pango la duka la Mangi? Jukumu la kuweka miundo mbinu ni la mtoa huduma sio mteja. Lakini watanzania tunashangilia...
  7. P

    Rais Dkt. Mwinyi anafaa kuwa Rais wa Tanzania

    Namkubali sana Mwinyi. Apewe Uraisi wa JMT 2025, Mama aende Zanzibar (wabadilishane)
  8. P

    Hiki ndicho kilichomg'oa Lukuvi pale Ardhi

    Husishikiwe akili wewe. Nani amekwambia kuwaza 2025 ni kosa? Kila mtu ana ambition zake katika maisha. Nani alianza kuwaza na kuwa na homa ya 2025 kama siiyo huyo mama?
  9. P

    Ukimkosea Mwanamke usimwombe msamaha, piga kimya. Ukiomba msamaha ndio umeanzisha vita

    Unasemea kweli mkuu. Hoja yako ina mashiko. Hata nyumbani mkeo akikuona unawayawaya kuomba samahani basi anachukulia hiiyo ni weakness. Piga kimya tu, mwishowe yanaisha na bado atakuheshimu na kukuogopa
  10. P

    Ubaya au uzuri wa kiongozi hauzifanyi hoja zake nazo kuwa mbaya au nzuri

    Hongera sana mtoa hoja. Umetoa hoja ya akili sana ambayo watu wengi, hasa wanaCHADEMA na wasio na akili hawawezi kukuelewa. Kufurahia Ndugai kuondolewa kwa kuwa tu hapendwi, bila kuangalia hoja na mustakabali wa uhuru wa kujieleza wa watu, ikiwemo uhuru wa mihimili mingine ni very myopic. Haya...
  11. P

    Haki ya Mungu Watanzania tumerogwa

    Huna akili wewe! Kwani kusimama na kupinga Ndugai kuondolewa kwa kutoa maoni yake ni kuunga mkono matendo yake mabaya ya zamani? Sasa nchi utairekebishaje kwa vizazi vijavyo kama hutakemea kuminywa kwa uhuru wa watu bila kujali anayenyimwa huo uhuru ni mwema au mbaya? Sasa jiulize ni nini...
  12. P

    Haki ya Mungu Watanzania tumerogwa

    Wewe ni boya wa maboya yote. Yaani huwezi kujua ni nini maslahi ya kudumu na ya muda mrefu ya Tanzania? Kipi bora: kusimamia principle ya kuwa mtu yeyote anayemhoji Rais awe na uhuru wa kufanya hivyo Tanzania, au kulipa kisasi cha muda mfupi kwa Ndugai kwa sababu tu ni mtu mwovu? Hakika wewe ni...
  13. P

    Mipango ya kumng'oa Ndugai kwenye Uspika yakamilika. Musa Azan na Elibariki Kingu Waongoza Mashambulizi

    Wewe boya tu. Rais ni binadamu kama wengine, sio kwamba yeye hakosei (1) Kuna shida gani mtu kuonyesha nia ya kutaka madaraka 2025? Hapo jirani Kenya, Makamu wa Rais Ruto tayari alishaonyesha nia ya uraisi Kenya wakati bado Uhuru yuko madarakani. (2) Kuhusu homa ya 2025, NANI AIANZA KUWA NA...
  14. P

    CHADEMA, when will you master the Political Game?

    Mkuu Denoo umechambua vizuri sana sana. Hilo ndio tatizo kubwa la CDM: kutokuwa strategic katika kufanya siasa zao. Wao badala ya kuangalia issues and the BIG STRATEGIC PICTURE, wanarukia petty issues na personalities, na visasi. Mfano suala hili la Ndugai, hoja aliyoiibua Ndugai ni hoja muhimu...
  15. P

    Nani ataisimamia tena Serikali? Spika Ndugai ameonesha udhaifu

    DAWA YA HAYA YOTE NI KUPATA KATIBA MPYA. KATIBA PENDEKEZWA INATENGANISHA UONGOZI WA BUNGE KUTOKA KATIKA UCHAMA, SPIKA NA NAIBU SPIKA NI WAAJILIWA AMBAO HAWAWAJIBIKI KWA CHAMA CHOCHOTE. TUNATAKA KATIBA MPYA IREKEBISHE UCHAFU WOTE HUU
  16. P

    Nina nia ya kuwashitaki Wabunge 19 wanaolipwa mishahara na posho kinyume na Katiba

    Huu ni wivu tu wakike. Kwani hao wabunge 19 wakiondolewa wewe unapata faida gani? Kwani wabunge wengine zaidi ya 100 wa ccm wa vitu maalum wao unaona wanafaida gani bungeni hadi wawepo. Point ya maana ungesema tupunguze idadi ya wabunge Tanzania kama ilivyopendezwa na Warioba ili wawe wachache...
  17. P

    Kitakachommaliza Mama ni Uzanzibari tu na sio kingine. Hizi kelele zote ni geresha tu, tatizo ni Uzanzibari

    KATIKA HELA ZA MKOPO WA COVID-19 MAMA AMEIPA ZANZIBAR 400B; SASA WAKATI WA MAREJESHO YA MKOPO HUO ZANZIBAR WATACHANGIA? MAANA MKOPO UKO KWA JINA LA SERIKALI YA JMT AMBAPO KODI ZAKE NI ZA TANGANYIKA TU!
  18. P

    Waziri Mulamula: Tanzania kuanza kununua magari Rwanda

    NCHI HII IMELAANIWA..! Wakati Rwanda wako busy wanatengeneza magari, sisi Tanzania viongozi wanawaza jinsi ya kudhibiti Chadema, kukamata na kubambikia wapinzani kesi, na kuvamia vikao vya ndani ya vyama. Aibu kubwa sana
  19. P

    CCM mlindeni Mwenyekiti wenu na aibu ya Ndugai

    Mama Samia anajua yote yaliyotokea maana alikua na JPM. Suala la viti maalumu ni suala la watu kuzidiana kete ndani ya chama ya list ya wabunge wa vitu maalum. Kuna watu walishapeleka majina fake NEC tofauti na majina yaliyokuwa yametayarishwa na Bawacha Mdee akiwa mwenyekiti. Bawacha...
  20. P

    Spika Ndugai: Mnaogopa nini kuleta viambatanishi ili tuwavue Ubunge kwa Haki?

    Mburura wewe Kwa nini Ndugai ajibu suala linalohusu NEC? NEC ndio walisema walipokea barua kutoka chadema kuhusu hao wabunge na ndio wakamwandikia Ndugai barua wakiorodhesha hayo majina. Sasa Ndugai hapo unamhusishaje? Tumia akili walu kidogo kijana
Back
Top Bottom