Search results

  1. sajosojo

    Kauli ya Makonda imerejea kauli ya "Kila mbuzi hula urefu wa kamba yake"

    kauli ya Makonda ina impact gani kwa jamii mpaka uilete hapa tuijadili?
  2. sajosojo

    Msaada: Nyumba ya contemporary inavuja

    wanaojenga contemporary solution ya kudumu ya kuvuja kupitia pembeni ya ukuta ni kubandika bati isiyo na mkunjo kuazia kwenye beam ya juu mpaka kwenye slop ya bati... hapo utasahau mambo ya kuvuja
  3. sajosojo

    Lile fupa lililowashinda marais wanaume 4, rais mwanamke 1 aligegeda kama mlenda!. Miswada 3 ya ukombozi mpya wa taifa letu yatua bungeni asubuhi hii

    Kuwa na Tume huru ya uchaguzi kwa CCM ni kukata mti walioukalia hivyo kupelekwa mswaada bungeni lenye CCM tu huko ni kujidanganya ...
  4. sajosojo

    Serikali isikubali mtafaruku wa Bandari kuchukua mkondo wa kidini, ni ngumu kuidhibiti

    je hivyo vifungu vikirekebishwa DP World watakubali kuendelea kuwekeza?
  5. sajosojo

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Huyo Iryn unasema alikuwa inamaana now sio mzuri or alisha R.I.P?
  6. sajosojo

    Nyimbo za Burna Boy hazina Mvuto lakini eti ndio anafunika Afrika nzima

    common person ndio nyimbo yangu pendwa...
  7. sajosojo

    Serikali yataja vipengele 8 muhimu mkataba wa Bandari

    Haya anayoyasema yamewekwa kwenye Memorandum?
  8. sajosojo

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hii sio habari ya kuishabikia kabisa, kama wanathubutu, next time wanaweza kufanikiwa
  9. sajosojo

    Hivi kuna maeneo ya ovyo kama Mbagala? Hakuna ustaarab kabisa

    Mtoa maada utakuwa na matatizo ya ukichaa yafaa upelekwe milembe...Mbagala hapafai so what?
  10. sajosojo

    True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

    Uko brain washed mpaka inasikitisha
  11. sajosojo

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mpaka Mda huu hii vita Russia ameshaloose now anatafuta mna ya kuficha aibu yake
  12. sajosojo

    Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

    Kwenye story ya mwanzo uliishia form four Hadi kipindi cha magu uko songea unalima...story hii umeendelea form six then chuo...umemaliza uko ktaa unapambana ni almost miaka 5 mbona time frame ya matukio haiconnect mkuu
  13. sajosojo

    Tanzania kuleta faru kutoka Afrika Kusini baada ya kutokomea kwa ujangili

    Wao wakiwachukua twiga wetu tunapiga kelele lakini sisi tunaona ni haki yetu kuchukua faru wao.
  14. sajosojo

    NHIF Waongeza gharama za Bima ya Afya kwa Watoto, sasa kulipa Tsh. 120,000/= badala ya Tsh. 50,400/=

    Toa hiyo amount ambayo analipa mzazi pamoja na mtoto mmoja kwa amount ambayo analipa mzazi peke yake
Back
Top Bottom