Search results

  1. enock yusto

    Umegundua nini apo?

    African leaders Sent using Jamii Forums mobile app
  2. enock yusto

    Ebwanae Mi nilikua Man-U damu damu ila ushabiki nilionao kwa Liverpool umepitiliza

    Asee sijui kwanini mi nilikuaga sijui kama mtu unaweza hama timu uliyoishabikia tangu utotoni na kuiacha ukubwani,Mi shabiki wa manu wayback sana ila tangu mwaka juzi nimejikuta nahamia Liverpool najikuta naishabikia kuanzia jezi,wachezaji wote ,kocha mpaka uwanja wao . Naamini siko peke yangu...
  3. enock yusto

    Kwa tuliosoma kayumba: Leo tukumbushane vitu tulivyokuwa tunatumwa na walimu wetu enzi tukiwa shule za msingi

    Mi nakumbuka shuleni kwetu kubeba jembe, kotama, mbolea, maua, chupa, mayai, mifagio, fito, mifutio, maji ilikuwa kawaida. Kupewa adhabu za kung'oa visiki ilikuwa kawaida au kushinda umeshika maskio au kupigwa konzi au kufinywa darasa zima. Adhabu kama kulima ilikuwa kawaida. Kitu kingine...
  4. enock yusto

    Msaada: Fingerprint zinagoma, nifanyeje kuepuka kufungiwa line?

    Wakati najisajiri NIDA mwaka Jana fingerprints ziligoma kabisa, waliniambia watajua cha kufanya ili nipate kitambulisho na kweli kitambulisho kimetoka ila nilipoenda kusajili kwa alama ya kidole voda na tigo kote zimegoma. Nifanyeje nisifungiwe line zangu ndugu zangu? Sent using Jamii Forums...
  5. enock yusto

    Nina shida na notes za computer electronics

    Habari wadau naomba kama kuna mwanachuo,lecturer au graduate yoyote kasoma IT,computer science au engineering, telecom anisaidie notes za computer electronic nina shida nazo wapendwa tuinuane jamani.
  6. enock yusto

    Anayejua namna ya kufanya printer moja itumike kwa computer zaid ya moja

    Naitaji kujua namna ya kufanya printer au kuicconnect na LAn
  7. enock yusto

    Kumbe wema bado upo duniani na watu wema bado wanaishi na wanazidi kuzaliwa

    Juzi nilileta thread ya kutangaza kuhusu kuibiwa bag langu ambamo kulikua na nyaraka zangu muhimu ilkiwa ni vyeti pamoja na vitambulisho . https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1580120/ Namshukuru Mungu uyo mwizi alitoa izo nyaraka akaziweka sehemu zimeokotwa na wasamalia wema Hadi...
  8. enock yusto

    Nimeibiwa vyeti vyangu naomba Msaada kwa atakayeviona na kushare ujumbe

    *NAOMBENI MNISAIDIE KUSHARE HUU UJUMBE WADAU* Kwa majina naitwa Enock Yusto mkazi wa Dar es salaam. Leo tarehe 3/05/2019 majira ya saa Tisa alasiri nimeibiwa bag langu maeneo ya Msimbazi Centre Ilala. Ndani ya ilo bag kulikua na nyaraka zangu muhimu ambazo ni; 1 *Cheti cha kuzaliwa* 2 *cheti...
  9. enock yusto

    Hii taarifa ya ndalichako ni kwa wanaosoma degree au diploma au inawahusu wore?

    *SERIKALI YAFUTA MAFUNZO KWA VITENDO `FIELD` KWA WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA* ```Taarifa hiyo imetolewa leo tarehe 14 katika kipindi cha habari za saa kinachopeperushwa na Channel Ten. Sababu za kutokuwaruhusu wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwenda field ni kile kinachosemwa kuwa ni kutokuwa na...
  10. enock yusto

    Naombeni kujuzwa hii taarifa ya ndalichako inawahusu degree holders au diploma au wote?

    *SERIKALI YAFUTA MAFUNZO KWA VITENDO `FIELD` KWA WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA* ```Taarifa hiyo imetolewa leo tarehe 14 katika kipindi cha habari za saa kinachopeperushwa na Channel Ten. Sababu za kutokuwaruhusu wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwenda field ni kile kinachosemwa kuwa ni kutokuwa na...
  11. enock yusto

    Msaada wa kubadili RAM kwenye raptop.

    Habari zenu wadau poleni na mihangaiko. Nina laptop yangu ya Dell core 2,ram 2gb, hdd 320 iko slow sana na bado sijaiwekea vitu vingi space ambayo Tyr nimetumia mpka Sasa hivi haijafika gb50.nimeshauriwa na wataalamu inchangé ram niweke at least four gb vp ndugu itaweza kunisaidia kweli au kuna...
  12. enock yusto

    Msaada. Naitaji kuroot simu yangu tecno W5

    Habari zenu wadau naombeni Msaada kulingana na kichwa apo juu pia nakaribisha ushauri
  13. enock yusto

    Tanganyika na Zanzibar wapi raia wanaishi maisha bora?

    Habari zenu ndugu, naleta swali langu kwenu kuna ubishi hapa ambao unalenga moja kwa moja kichwa cha habari hapo juu. Binafsi sijawahi fika Zanzibar ila nimefahamu mambo mengi kuihusu Zanzibar kupitia masimulizi na makala mbalimbali. Kuna jamaa yangu hapa tunabishana hata yeye hajawahi fika...
  14. enock yusto

    Mbona hamjatupa mrejesho shoo ya jana dodoma team WCB

    Mliohudhulia hiyo Shoo ya akina Rayvany, Mavoko na Queen wao tupeni kilichojiri au bado mnaedit picha ila natumaini kila kitu kilienda kama kilivyotarajiwa
  15. enock yusto

    Wataalamu wa development study Masada tafadhali

    Discuss the strategies that can be taken by the government of Tanzania to ensure that individual or companies in the country are not involved, whether directly or indirectly, in bribery, deception or fraud?
  16. enock yusto

    Mechanical engineering Vs information technology artist

    Et wadau Kati ya hizo fani Mbili ipo ni rahisi kutoka kimaisha Kwa mazingira ya tanzania
  17. enock yusto

    Msaada nataka kuswitch 4g kwenye simu yangu

    Habari zenu ndugu Nina simu yangu tecno w5 lite nataka niswitch 4g ya voda vipi itasupport na mitandao mingine Kama tigo au kila mtandao kivyake
  18. enock yusto

    Picha: Faru nani huyo?

  19. enock yusto

    Natamani kujua kinachoendelea Jangwani Sea Breeze

    Nipo uku mkoani mlioko jangwani tupieni hata vipicha
  20. enock yusto

    Wataalamu wa kingereza pitieni hapa mnisaidie.

    Eti ukitaka kumuuliza baba yako kwa kingereza kwamba "baba mimi ni mtoto wako wa ngapi kuzaliwa?" utasemaje kwa lugha ya malkia
Back
Top Bottom