Search results

  1. instagram

    Chalamila: Wakubwa wa madawa ya kulevya tumewakamata, hatuwataji

    Akiongea asubuhi hii kupitia television ya ITV mkuu wa mkoa wa dar es salaam ndugu Albert chalamila amesema kuwa wamewakamata wakuu kabisa wa madawa ya kulevya aina ya heroin baada ya kukamata tani tatu za madawa hayo yenye thamani ya zaidi ya billion 100 ila hawatawataja kwa sasa kwakuwa...
  2. instagram

    Haya madirisha ya chuma kwenye nyumba ya kaburi la Hayati yana kazi gani?

    Hiki chumba tu cha kaburi ni kikubwa mara mbili ya wastani wa darasa la kawaida la shule za kata. Gharama zisizo na ulazima, ukiongeza hayo madirisha ya grilli na aluminum katika eneo ambalo lina ulinzi wa kutosha labda vioo pekeyake vingetosha lakini wabongo kama jadi yetu sikuhizi kwa...
  3. instagram

    Hii tabia mtu unasimamisha gari kumsalimia mtu yeye anaingia kwenye gari siipendi

    Hivi mtu uko kwenye safari zako sijui umetokea wapi mi nakuona kama jirani/rafiki au ndugu napaki gari pembeni mimi ndo naelekea upande wa mjini wewe ndo unarudi unavuka barabara unakuja upande wa abiria unafungua mlango wa gari langu unaingia unavuta mkanda wa abiria unajifunga yani sikuelewi...
  4. instagram

    Israel ipo pale kulinda interests za Wakristo

    Watu wengi wanajiuliza kwanini nchi za kikristo zinatetea Israel wakati Israel ni wayahudi na Wayahudi ni wapinga Kristo. Kabla ya vita ya dunia ya pili wayahudi walikuwa wametapakaa duniani na Hitler aligundua hawa jamaa wana ukwasi wa kutisha na wanatumia ukwasi wao kufadhili upinzani dhidi...
  5. instagram

    Barabara za mitaa ya Kimara ni nyembamba mno, Serikali imelala

    Mitaa ya Mbezi Kimara, Kibamba hadi Goba inajengwa kwa kasi kubwa sana na serikali iko usingizini wakati watu wanajenga bila utaratibu. Barabara hazipitiki gari zinapishana kwa kuviziana. Kila anayejenga badala ya kurudi nyuma hatua moja ya mpaka wake anaenda mbele hatua moja ya mpaka wake...
  6. instagram

    Wapalestina kila kitu kina expiration date, move on sahauni kuhusu Israel

    Kila siku hashtags #free Palestine ni upuuzi tangu 1947 hadi leo mnasubiria nchi ya Israel irudishe ardhi yenu hilo haliwezekani jamani. Marekani ilikuwa ni nchi ya red indians, Australia ilikuwa nchi ya aboriginals, South Africa 80%ya ardhi inamilikiwa na wazungu, Tanzania tumepata uhuru 1961...
  7. instagram

    Hadi wazungu wanatushangaa shule yao bado inaitwa Tanganyika ila sisi tumelisusa jina

    Kati ya vitu sielewi ni kwanini hakuna utambulisho rasmi wa Tanganyika kwenye muungano wetu. Wakati Zanzibar bado iko vilevile Tanganyika ndo imekuwa Tanzania. Kwanini Tanganyika haitambulishwi rasmi kama sehemu ya pili ya muungano badala yake tunaskia tu Tanzania bara na Zanzibar, sijui...
  8. instagram

    Kwani huyu mama waziri wa kilimo UAE ni mzungu au?

    Nimemuona huyu mama waziri leo jncc anapiga ngeli kama mmarekani alafu kapiga suit kama kamala alafu hata hajavaa hijabu kama samia najiuliza hivi huyu waziri ni muarabu au mzungu? Au kuna wabantu wanaiga uarabu kuliko waarabu wenyewe
  9. instagram

    Yani tunajipanga kuiba kura. Afrika hii ni laana

    Mapinduzi ya kijeshi yanayotokea Africa yataendelea hadi pale viongozi wetu watakapo heshimu chaguzi huru, katiba, utawala bora. Inashangaza sana kuona kiongozi anabadili safu ya uongozi kwa ajili ya kujipanga kuiba matokea ya uchaguzi ujao kwa kumteua mkwewe kuwa mwenye dhamana na wizara...
  10. instagram

    Makampuni ya simu ni wezi sana

    Haiwezekani eti mtu umenunua salio kwa tigopesa ukakosea badala ya 2500 ukaweka 250000 alafu wakakukata salio la laki mbili na nusu. Alafu eti unawapigia wanakuambia eti haiwezekani kurudisha hela yako kwa tigopesa huu ni mpango kabisa wa kuwaibia wateja watakaokosea kununua salio kwa tigopesa...
  11. instagram

    Dar iwe na “Red Light Street” kama Ulaya

    Dar iwe na Tolerance zones bila police interference kama hizo bars zikusanye kodi kwa niaba ya dada poa itapiga hela sana. Mfano kuanzia Bamaga hadi Shekilango pawe tu red light district na TRA ichukue kodi itapiga hela nyingi sana locals na watalii.
  12. instagram

    Hawa jamaa vietee wanaziona kama uchafu

    Ukijua kuna levels kwenye ufisadi hawa jamaa kwenye kujitofautisha na wale mafisadi wetu wao wamekuja na hizi chuma, viete wanaona kama uchafu. Tuendelee kulima matembele.
  13. instagram

    Kuwa na msemaji asiyehusika uwanjani ni upuuzi

    Kumekuwa na tabia ya ajabu sijui ilianzishwa na nani ya vilabu kuajiri wasemaji ambao hawahusiki na mchezo uwanjani. Vilabu vya wenzetu waliondelea huwezi kukuta mtu ambaye hausiki na mechi uwanjani akiongelea swala la club zaidi ya kocha na kapteni wa club au mchezaji ndo watu ambao huwa...
  14. instagram

    Huu udini sasa hadi kwenye biashara?

    Ni kweli kwamba kila mwenye biashara yake ana imani zake za kidini ila sasa wateja mbona ni wa dini zote. Iweje biashara zako zinahudumia dini zote alafu leo umeamua kisa una mfungo ndo ufunge hadi biashara? Mteja anataka akakae zake ndani ale ice cream na laptop yake unatoa maagizo hakuna...
  15. instagram

    Wasanii wa Bongo na ulimbukeni wa ishara za mikono kwenye video

    Hakuna vitu sipendi kama kuona video ya mziki msanii wa bongo ana rusha rusha mikono kwa ishara za kuiga kwa wasananii wa hip-hop wamarekani bila kujua kama zina maana au laa mwenyewe akijua ni fasheni. Huu ushamba hata wasanii wa Nigeria kina davido wanao utakuta video ya afrobeat mtu anatupia...
  16. instagram

    Hizi protocols Waafrika zitatuchelewesha sana

    Nimeangalia Afrika kusini Rais kapigiwa mizinga, gwaride pamoja na kukagua. Haya mambo tumeyarithi kwa wazungu ambao wenyewe walishaachana nayo haya. Sijui kwa nini waafrika tunapenda kukumbatia mambo ya kikoloni ambayo yanawapa watawala wetu uungu mtu. Ukiona ziara za wazungu European union...
  17. instagram

    Usiache pombe kwa shinikizo la ndugu jamaa wa karibu

    Ukute unalewa kwa mawazo yako alafu ndugu jamaa wa karibu wanakushinikiza uache pombe japo wao wenyewe wanakunywa ila wanajidai wanakunywa kwa kiasi ila ukifatilia unakuta wanakunywa tu achana nao piga pombe. Siku utakapofata ushauri wao ndo utaishia kuwa taahira au msukule wao. Kuna watu wako...
  18. instagram

    Shahada ya PhD ilianza kuharibiwa na wakuu wa nchi

    Nakumbuka kuna wakuu wa nchi waliwahi patiwa hizi PhD ila hawakuwahi kujiita ma Dr. Tatizo lilianza kwa wakuu wa hivi karibuni miaka 20 hivi kutaka kuitwa na tittle ya PhD ndio ikafungua njia kila mwenye ki cheo atajipa PhD na kuitanguliza kwenye title ya jina lake. Leo tuna wenye vyeo la saba...
  19. instagram

    Daraja la Ubungo lirudishiwe jina lake la Ubungo Interchange

    Ni dharau kubwa sana kwa wana Ubungo kuona landmark kubwa kama interchange iliyoasisiwa kwa jina la Ubungo Interchange imebadilishwa jina na kuitwa Kijazi interchange, hii ni dharau kubwa kwa wana Ubungo. Yani interchange inapewa jina la mtu ambaye tu ni rafiki tu na mdau wa karibu wa mkuu, mtu...
  20. instagram

    Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

    Mtu kazaliwa kijijini, kakulia chumba kimoja na mbuzi leo ana madaraka anataka atembelee gari ya million 600, ambayo hajaitolea jasho, ni kodi za maskini wenzake.
Back
Top Bottom