Search results

  1. F

    Mtuhumiwa ma mauaji ya Mwangosi afikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali

    Huyu dogo ametolewa kafara tu. Kwa kuangalia kwa haraka haraka, ni bwana mdogo tu wa miaka 23 ambaye hana uzoefu. Alikuwa anatekeleza amri za wakubwa wake tu za kumshughulikia Mwangosi and maybe he was just too overzealous or the gun openned fire by mistake kwani huenda alisahau kutoa kidole...
  2. F

    Elections 2015 Kuelekea 2015: Kama CCM Itamsimamisha Edward Lowassa...

    Kwanza, Edward Lowassa si Waziri Mkuu mstaafu. Ni Waziri Mkuu wa zamani aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi wa Richmond. Mawaziri wakuu wastaafu walio hai ni kina Cleopa David Msuya, Salim Ahmed Salim, John Malecela, Joseph Warioba na Frederick Sumaye. Kuna tofauti kubwa sana kati ya kuwa...
  3. F

    Rais Kikwete akubaliana na kauli ya Lowassa kuhusu tatizo la ajira kwa vijana!

    Huu ni upumbavu mtupu, tatizo la ajira kwa vijana kuwa ni time bomb ni jambo linalojulikana na kila mtu. Hata enzi za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa anazungumzia hili. Na CHADEMA wamekuwa mstari wa mbele kuzungumzia hili na wamekuwa wakiungwa mkono na vijana wengi. It doesnt take a...
  4. F

    Ushauri wangu kwa Lowassa

    Vyombo vya habari gani vya kumhoji Lowassa? Waandishi wa habari gani wa kufanya mdahalo na Lowassa wakati wahariri wengi tayari wako mfukoni mwa Lowassa? Hii itakuwa danganya toto tu! Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Absalom Kibanda, ambaye pia ni mhariri wa Tanzania Daima ni...
  5. F

    Sababu hamsini za Lowassa kuwa mgombea wa CCM 2015

    Ndio Lowassa ni hard working kwenye kufanya ufisadi, kwani haiwezekani kiongozi wa umma akajilimbikizia mali nyingi kiasi hiki kama yeye. Huyu Lowassa ni mwizi tu, na Tanzania ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere haihitaji viongozi fisadi. Mamluki wote mnaotumiwa kumsafisha Lowassa humu JF kamwe...
  6. F

    Sitta aanza safari ya kuingia CHADEMA?

    Hizi porojo zinaenezwa na kundi la mafisadi ndani ya CCM likiongozwa na Lowassa na Chenge, na wafuasi wao kama mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Shinyanga, Mgeja. Habari za kupikwa za Sitta kuhamia CHADEMA pia zilichapishwa na MwanaHALISI wiki hii kwa kichwa cha habari "Waziri wa JK kumkimbia...
  7. F

    Magazeti yanayomsafisha Lowassa haya hapa!

    PRIVATE PROSECUTION OF FORMER PM EDWARD LOWASSA Umetoa wazo la maana sana mkuu. Kwa kuwa TAKUKURU hawawezi kumpeleka Lowassa mahakamani licha ya kuwa na ushahidi tosha dhidi yake for a water-tight criminal case (abuse of public office by hijacking tender process from TANESCO and awarding deal...
  8. F

    Magazeti yanayomsafisha Lowassa haya hapa!

    Mkuu hapo umemaliza, tungekuwa na TAKUKURU huru na jasiri ingewapeleka Lowassa na Chenge mahakamani leo. Watu kama hawa wala huwashitaki kwa corruption au bribery kwani ngumu kuthibitisha ingawa sote tunajua ni mafisadi. Wakipelekwa kwa criminal offences za abuse of public office na unexplained...
  9. F

    Ukosefu wa ajira kwa Vijana: Lowassa atabiri vita Tanzania...

    Lowassa mnafiki tu. Hizo bilioni 70/- za ufisadi wa Richmond/Dowans ambao Lowassa kaliingiza taifa mbona zingetengeneza ajira nyingi sana za vijana.
  10. F

    Ukosefu wa ajira kwa Vijana: Lowassa atabiri vita Tanzania...

    Lowassa ni mnafiki tu. Alipokuwa Waziri Mkuu alitengeneza ajira ngapi za vijana? Na alipokuwa waziri kwenye serikali ya Mkapa nini ulikuwa mchango wake kwa tatizo la ajira za vijana? Kwanza yeye ameliingiza taifa kwenye mkenge wa Richmond/Dowans na sasa taifa linatakiwa kulipa bilioni 70/- kwa...
  11. F

    Absalom Kibanda: Kilichobaki ni Kuandika kitabu cha Maovu yako Samwel Sitta!

    ....As for this Absalom Kibanda character, he is just a pawn. He has long been compromised by the forces of evil who have unleashed him along with other unethical journalists such as Saeed Kubenea of MwanaHalisi as their attack dogs against the courageous and highly respected Samuel Sitta. God...
  12. F

    Absalom Kibanda: Kilichobaki ni Kuandika kitabu cha Maovu yako Samwel Sitta!

    Well said. Most of the so-called "Great Thinkers" in JF are so lame and so lazy that they just can't see the crystal clear difference between crap and BS and the truth. Samuel Sitta has repeatedly shown by his words and deeds that he is a very principled man, who will not take any crap from...
  13. F

    Nape atua studio za V.O.A, Afunguka kuhusu Rostam, Lowassa na Chenge

    Nape anafanya kazi yake kama Katibu Mwenezi kwa ufasaha mkubwa. Amekuwa katibu mwenezi effective kuliko wote kwenye historia ya CCM kwa kipindi kifupi ambacho yupo pale. Anafanya kazi nzuri sana kupambana na mafisadi ndani ya CCM. Ni vita ngumu ambayo wenzake ndani ya CCM akiwemo Kikwete wote...
  14. F

    MwanaHalisi yamshambulia Sitta

    Kubenea kanunuliwa siku nyingi na mafisadi, ndio mabwana zake wapya. Hapo anamsalimia fisadi Lowassa kwa unyenyekevu kama mke amsalimiapo mume wake. Habari yenyewe ya wiki hii yenye kuhusu Richmond kumwandama Lowassa ni ya kinafiki. Ni danganya toto eti kutaka watu wadhani kuwa bado anaendelea...
  15. F

    Captain Edward Lowassa.....Tido Mhando Rudisha Kipande Cha Interview Yangu Kuhusu Richmond na Dowans

    Lowassa fisadi tu, PCCB wangekuwa mashujaa wangempeleka mahakamani kwa tuhuma za rushwa za kuwa na utajiri usioweza kujieleza. Hii kesi kama kumsukuma mlevi tu mamvi Lowassa angetupwa jela kutokana na ufisadi wake uliokubuhu. Mafisadi wote kama kina Andrew Chenge, Rostam Aziz, Nazir Karamagi, nk...
  16. F

    MwanaHalisi yamshambulia Sitta

    Kubenea ni kweli kashanunuliwa na mafisadi siku nyingi sana. Hilo jambo linaeleweka, na MwanaHalisi limekuwa likiyumba sana. Watu wengi hatulisomi tena, ni aibu kwa Kubenea kuwa mtumwa wa kina Rostam Aziz na Edward Lowassa kwa ajili ya vipesa vidogo to. Atabaki kuwa masikini wa akili na mali...
  17. F

    Samwel Sitta ashangiliwa sana UDSM

    Hivi neno mnafiki maana yake nini hasa? Kwa bahati mbaya sana, maadui wa Samuel Sitta, ambao ni mafisadi wa Richmonduli, rada, Kagoda, TICTS na wengineo, ndio . wamekuwa wakitumia neno hili ndani ya CCM na nje kujaribu kumpiga vita na kumchafua kiongozi huyu. Kwa nyie msiojua, Samuel Sitta ni...
  18. F

    Republic of Tanzania purchases East Side building for $24.5M

    Nakubaliana na wewe kabisa, ununuzi huu wa ghorofa hii ya kupangisha ofisi unaweza kuwa ni uamuzi wa busara kama taratibu zote zilifuatwa na bei ya manunuzi ni ya haki kulingana na soko. Ile nyumba ya kuishi kwa kweli hata mimi imenishtua kwani ni hekaru utadhani la celebrity kama 50 Cent au...
  19. F

    Republic of Tanzania purchases East Side building for $24.5M

    The mere fact that serikali imenunua jengo hilo sidhani kama ni scandal au ni ufujaji wa pesa. Kukodi ofisi na nyumba za kuishi Marekani, ulaya na nchi nyingine zilizoendelea ni gharama kubwa mno. Nchi nyingi za Afrika zimekuwa zikinunua au kujenga majengo yake yenyewe ili kupata ofisi na...
Back
Top Bottom