Search results

  1. Muzii

    Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

    Mmhhh wewe sema unataka uwajue au ndiyo muhitaji
  2. Muzii

    Mgeni

    Karibu muungwana
  3. Muzii

    Hivi viongozi kutoka US, UK nk. wakitembelea Arusha watapokewa na RC Makonda?

    Subiri wanakuja nao vumbi kwa mbali
  4. Muzii

    Wakamatwa Zanzibar wakipika chakula kwa ajili ya kuliwa mchana

    Hivi Pasaka hapapikwi wala kuliwa mchana poleni sana ndugu zetu huko
  5. Muzii

    Kila nikiliangalia bwawa la Mwl. Nyerere natamani kuwachapa makofi wafuatao

    Ni bora mradi umeanza kufanya kazi hela zetu tunaziona tutarejesha kidogo kidogo tukifaidika wote. Je fedha hizi kama zingeenda mifuko ya wajanja mgao ungetuua na uchumi ungeshuka zaidi
  6. Muzii

    Nini faida za water dispenser?

    Watu wengine hawaĥitaji maji baridi wakati wote kwa mfano watoto na jagi la maji unalosema kutunzia maji ya moto inakuwa kama unataka kunawisha mtu mikono
  7. Muzii

    The best Marines Movie

    Man of honour
  8. Muzii

    Je, Makonda ni asset au liability kwa CCM?

    Hadhi ya wateule wa Rais anaipoka hadi wanafikilia je wanawajibishwa kiutendaji kwa Rais au mwenezi
  9. Muzii

    Roho inauma kuona Yanga inashinda dhidi ya hawa waarabu

    Mbona poa tu kwa ushindi huu. Taifa kwanza mambo yetu tuyaweke pembeni Watani wamefanya kazi nzuri.
  10. Muzii

    Maoni: TANESCO isimamiwe na jeshi

    Naunga mkono hoja, kiti namba moja nimepata
  11. Muzii

    Vibarua wenzangu tuliopita JKT tuliporudi nyumbani tukaambiwa tujiajiri tukutane hapa

    Wapi huko, kiti namba mbili siyo mbali kumuona daktari
  12. Muzii

    Update: Muuguzi mlevi aliyetuhumiwa kumbaka mjamzito wodini aachiwa huru

    Sawa omba wazo lako lipate kibali mbakaji tushapata
  13. Muzii

    Serikali inadhibiti uingizwaji wa Magari mabovu na machakavu wakati huo inachukua ushuru mkubwa kwa Magari mapya

    Naunga mkono hoja magari ya zamani tu ndiyo yanaonekana kuwa tatizo katika vitu vinavyoleta uchafuzi wa mazingira wakati kuna vitu vingi sana vinavyo agizwa vinauhatarishi wa afya na havina ushuru mkubwa. Gari siyo anasa hasa ukizingatia kodi nyingi "Utilities" kianzio ni mafuta yasipokuwepo...
  14. Muzii

    Update: Muuguzi mlevi aliyetuhumiwa kumbaka mjamzito wodini aachiwa huru

    Mbakaji uwe wewe ni vyema pia ujitambulishe ili tatizo kama hili likitokea tusipate tabu ya kutafuta mbakaji aliyejiidhinisha
  15. Muzii

    Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

    Bibi umeibuka Uislamu haukuachi lazima upite nao kama roho na mwili huwezi kujificha japo kidogo lazima ujitokeze tu bibi hata wakufiche wapi utatoka pole dini hizi tumeletewa kwa majahazi pole
  16. Muzii

    Uzi maalumu; Machine zinazotengenezwa hapa nchini

    Kinu cha kupukuchua mahindi bila mashine napata kwa bei gani, wakati wa kupukuchua nitaunganisha PTO ya Trekta
  17. Muzii

    Biashara na ufugaji wa Kasuku

    Bei hiyo ni kubwa mno
  18. Muzii

    Mtandao wa Instagram wafanya mabadiliko mengine makubwa

    Mtandao mwingine wa hovyo ni FB
Back
Top Bottom