Search results

  1. ngonzi zomukama

    Mazishi ya Kanumba, kamati yapiga hela ndefu

    me nilipita tu hapa
  2. ngonzi zomukama

    Asha Mkwizu Hauli-Na kesi ya kumuua hawara wa mumewe

    Kaka SON OF ALSKA kumbe upo afadhali mana nilidhani umepatwa na janga kwa mawasiliano kukatika ghafla haya salam zao huko.
  3. ngonzi zomukama

    Girlz..be smart bana....

    me nashangaaa wanao taka kuingia kwenye ndoa mmh! ila ingieni myaone
  4. ngonzi zomukama

    Kwa mwenye taarifa za uhakika tujuzeni...

    Ndo mana me nasema dhambi itantafuna huyu mwanamke maana ni sbbu ya Deo kufa na pia ni sbbu ya Freddy kufa
  5. ngonzi zomukama

    Kwa mwenye taarifa za uhakika tujuzeni...

    duh! ama kweli huyo mwanamke dhambi hii itamtafuna milele nimemsikitia sna mdogo wangu Fredy
  6. ngonzi zomukama

    Dr. Isaack Ndodi: Hisia mchanganyiko

    duh! umeniumiza roho! kwani we uwapi mbinguni? ama?
  7. ngonzi zomukama

    Je Kuna Umuhimu Wowote wa ................??

    Kuchachuliwa inategemea na malezi kama hujamfundisho dos and donts atachakachuliwa mapema tu! mie nina mabinti wawili nina faraja maana ni mabest zangu , wadogo zangu na kila kitu am happy wala cjuti kukosa wa kiume
  8. ngonzi zomukama

    SHEMEJI yenu anawasabahi!

    me nimeshangaa hilo nyonyo tu! hv kuna wtu wana myomyo zimelala hvo??? mmh! huyo wifi kazidi
  9. ngonzi zomukama

    Mademu wa kihaya

    u mama huruma uko pote wala sio kwa wahaya tu wapare je? Wanyakyusa je? And the list goes on... Sie wasomi bwana hyo ilikuwa zamani kama huna uwezo wa kumpata mdada wa kihaya usimwage pumba zako hapa
  10. ngonzi zomukama

    Mademu wa kihaya

    Yona milembe
  11. ngonzi zomukama

    Mademu wa kihaya

    inawezekana
  12. ngonzi zomukama

    Mademu wa kihaya

    siyo rwamugembe ni hamugembe
  13. ngonzi zomukama

    Mademu wa kihaya

    hapo umeongea ukweli kabsaaaaaaa
  14. ngonzi zomukama

    Dina Marios: Angel face!!!

    yaah ni kweli sasa hv amepungua sana
  15. ngonzi zomukama

    I kinda lyk this

    Nahisi cjaelewa kabsaaa!!!
  16. ngonzi zomukama

    Chatu ammeza dreva, aacha gari porini!

    Duh! unayvo watukuza mmh! haya
  17. ngonzi zomukama

    Chatu ammeza dreva, aacha gari porini!

    Duh! inatisha hadi mwili umesisimka
  18. ngonzi zomukama

    Wababa wanaotembea na mabinti zao...!

    Kama hujakutana nayo pole ila yapo wakati nasoma high school pale Bwiru nilisoma na msichana alikuwa anapendwa sana na baba yake mpaka ikawa uzushi kuwa anatembea naye na iligundulika ni kweli maana walifumwa beach kwenye mawe wakivunja amri ya sita baba alikuja kumtembelea shule yaani natamani...
Back
Top Bottom