Search results

  1. M

    Huduma za Akiba Commercial Bank ni shida!

    Hata mimi nilkua bank hiyo yaani ina boa ATM zao ikifika kuanzia tarhe 21-22 ya kila mwezi ukienda kuchukua pesa inakuambia BANK YAKO HAIPATIKANI
  2. M

    Mnara wa TANU Tabora

    Ni Mnara wa uamuzi wa TANU Kukubali uchaguzi wa kura tatu 1958
  3. M

    Kwa wale wazaliwa wa Tabora nawale waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

    Ntuzu Hivi uwanja wa chipukii bado upo ama watu wamejenga mjengo ? Nakumbuka ulikuwa unatenganisha shuze za Gongoni na Mihayo Hivi kuna mtu humu anamkumbuka BRUDA DAMIANO ? Laiti angelikuwepo hai mpaka leo Tabora ingekuwa mbali sana Kimpira
  4. M

    Kwa wale wazaliwa wa Tabora nawale waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

    Zanzibar -ASP Yule mtoto wa kwanza wa Dk Kisenge anaitwa Rodrick Kisenge yuko wapi ? Na Dk Kasele bado yuko hai ?
  5. M

    Kwa wale wazaliwa wa Tabora nawale waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

    Hivi kuna jamaa alikua anaitwa Taradadi bado yupo hai ? Alikua ankimbia marathon
  6. M

    Kwa wale wazaliwa wa Tabora nawale waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

    Mkuu Ntuzu Inalekea wewe ulikua unakaa National House, Vipi kuna jamaa naitwa John Shija bado yuko mboka Nation ? na famila ya kina Simbakalia bado ipo Tabora ?
  7. M

    UCHAMBUZI: Report ya Jaji Manento na Jaji Ihema - Mauaji ya Januari 5, 2011 Arusha

    Shembago hivi unamjua jaji Ihema ama unajisemea tu ? Kwa taalifa yako jaji Ihema alimaliza chuo kikuu cha Dar es salaam mwaka mmoja na Samwel Sitta. Ameawhi kuwa Director of External Interligency pale TISS kipindi cha NyererE miaka ya '70, Baada ya hapo akawa akapelekwa ubalozini Italy...
  8. M

    Mwl amoni mtera is no more

    Kwa wale mliosoma Pugu Sekondari kati ya mwaka 1985 -'90's Headmaster Mwalimu Amoni Mtera amefariki dunia jana saa 12 asubuhi kwa kugongwa na gari akiwa pamoja na mkewe na jirani yake wakati wanaeleke Mwisho wa lami Gongo lamboto. kupanda gari kueleke mjini. Marehemu pamoja na mkewe walifunga...
  9. M

    Mbunge Chadema atupwa mahabusu; Wafuasi wake wawapopoa polisi mawe, risasi zarindima

    Hivi huyu Mjengi ndo amekuwa hivi siku hizi ? sikutegemea
  10. M

    Sawa, Hussein Bashe SIO Mtanzania: Na hawa JE?

    Mbona hata Batilda Burian ni baba msomali mama mmeru
  11. M

    Kampeni ya Ubunge Arusha Mjini - Batilda Burian Vs Lema

    Huyo Batilda amezaa na ENL
  12. M

    Elections 2010 Nzega, Urambo na Igunga vipi?

    Igunga kwa taalifa yako RA mwaka huu anakwenda na maji mark my word
  13. M

    Elections 2010 Ubunge jimbo la Sikonge

    Mkuu Sikonge Mimi hao wanyamwezi waliniacha hoi mwaka 2000 pale walipomkata Jaji Lameck Mfalila wakampa huyo Saidi Nkumba
  14. M

    Mwitikio wa Wananchi juu ya Hotuba kali ya JK dhidi ya TUCTA

    Sikonge mzee Mchemba aliwapeleka shule watoto wake wote, Maana uwezo alikua nao tatizo mpaka leo huwa sijui ni kwa nini walikuja almost wote kuhalibika. Nahisi malezi hayakuwa mazuri, Na kwa Tabora huluka hii ya uvivu aliiacha pale mwarabu.
  15. M

    Belgium Edges Closer to Veil Ban!

    Kama wanaona wanaonewa si waludi kwenye nchi zao za asili, Huko Saudi huwezi ona Kanisa lakin waondio huwa wa kwanza kulalamika kwa kuandamana kutaka kujengwa kwa mamisikiti ulaya. Yaani hawa jamaa kwa double standards siwawezi.
  16. M

    Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu ya leo

    So far sijaona swali lolote la maana aliloulizwa PM
  17. M

    Fahamu historia ya Mama Sophia Mathew Simba

    Alah kumbe ni Mzaramo ! Kama hivyo basi hakuna haja ya kumshutumu
  18. M

    The Rise and Fall of Augustine Lyatonga Mrema

    Mzee Safari Asante kwa hilo, Mimi ndo maana nimeishajichokea na nchi hii, Yaani kila mtu sasa hivi ni mwizi tu sijui tunawarisisha ni watoto wetu ? Tazama sasa hawa vijana walioko serekalini kama Masha na mwenzie Ngereja tulitegemea labda wangelikuja na mawazo mpya lakini kumbe ni yale yale...
  19. M

    Nani huyu???

    Du ! Hivi nani anampakua siku hizi ??
  20. M

    The Rise and Fall of Augustine Lyatonga Mrema

    Nimesikia na Peter Kisumo a.k.a "Mwanasiasa anayeheshimika" naye akisema Wasira na Maige wajiuzuru. Hapo ndipo unapoona nchi hii imeshauzwa. Hivi mtu kama Peter Kisumo ukijiuliza huu Uenyekiti wa Bodi ya Vodacom ameupataje jibu utalipata vipi ? Si kwa kupigia debe mambo kama haya ? Stupid...
Back
Top Bottom