Search results

  1. A

    Afrisa Consulting Limited: Re-Advertising Receptionist Position

    Wakuu, anahitahitajika recetionist mwanaume kwa vigezo ambavyo vimeainishwa kwenye tangazo ambalo limeambatishwa.
  2. A

    Nafasi ya kazi receptionist

    Wakuu kuna kampuni inatafuta receptionist wa kiume mwenye sifa ambazo zimetajwa kwenye tangazo ambalo limeambatishwa .
  3. A

    Msaada sample ya barua ya ukomo wa ajira

    Nahitaji kumwandikia barua ya ukomo wa ajira mtumishi ambaye mkataba wake wa kazi umeisha ili aweze kuombea mafao yake NSSF. Kwa hiyo nilikuwa nahitaji kwa wanaofahamu wanisaidie ili niweze kuboresha sample niliyonayo.
  4. A

    Msaada sample ya barua ya ukomo wa ajira

    Habari zenu wanajamii, Kwa yeyote mwenye sample ya barua ya ukomo wa ajira naomba msaada. Kwa lugha ya Kiswahili au English.Natanguliza shukrani.
  5. A

    Natafuta Yard yenye bei nafuu ya magari

    Nashukuru sana Mkuu.Nitaenda ku check huko pia.
  6. A

    Natafuta Yard yenye bei nafuu ya magari

    Nashukuru sana Mkuu.
  7. A

    Natafuta Yard yenye bei nafuu ya magari

    Nashukuru Mkuu. Wapo maeneo gani?
  8. A

    Natafuta Yard yenye bei nafuu ya magari

    Wakuu Habari zenu, Kwa yeyote anayefahamu, naulizia yard ya magari ambapo naweza kupata Rav 4 new model kwa bei nafuu au BMW X3. Natanguliza shukrani.
  9. A

    NAFASI YA KAZI

    Habari wanajamii.Anahitajika cleaner mapema iwezekanavyo. Naambatisha tangazo la kazi.
  10. A

    Matumizi mabaya ya fedha za Serikali

    Wakuu, kwa anayefahamu. Naomba kujuzwa ni Kanuni namba ngapi ya Public Finance Regulations ya mwaka 2001 revised edition 2004 ambayo inazungumzia matumizi mabaya ya fedha za umma/serikali. Au Sheria/Kanuni yoyote nyingine ambayo imezungumzia. Natanguliza Shukrani.
  11. A

    Neutrojena oil free moisturizer

    Nashukuru Mkuu. Ngoja nifanye hivyo.
  12. A

    Neutrojena oil free moisturizer

    Habari wanajamii. Kwa anayefahamu naomba anielekeze duka/mahali naweza kupata Neutrojena oil free moisturizer, maduka ya vipodozi mwenge nimekosa. Natanguliza shukran.
  13. A

    Maduka yanayouza vipodozi vya MAC Original

    Wakuu habari zenu. Kwa anayefahamu tafadhali naomba kufahamishwa wapi nitapata MAC Powder na Foundation original. Naranguliza shukrani.
  14. A

    Waraka wa Rais wa kubana Matumizi

    Wakuu habari zenu, Kwa mwenye Waraka wa Rais Na. 1 wa mwaka 1998 kuhusu kubana matumizi naomba anisaidie. Natanguliza Shukrani.
  15. A

    Mimba kuharibika na kusafishwa

    Wakuu, Kwa anayefahamu, hivi inawezekana mimba kuharibika halafu kusafishwa na mimba ikaendelea kuwepo? Asanteni.
  16. A

    Utaratibu wa kuomba ruhusa katika utumishi wa umma

    Habari zenu wakuu. Kwa mwenye ufahamu naomba kujuzwa hivi mtumishi wa umma kwa mwaka anatakiwa kuomba ruhusa jumla siku ngapi?na je kwa watumishi wanaochukua/kuomba ruhusa mara kwa mara utaratibu ukoje wa kuwadhibiti? Natanguliza Shukrani.
  17. A

    Maduka ya TV ya bei poa yapo wapi?

    Nashukuru sana Mkuu.
  18. A

    Flat screen inch 39

    Mkuu naomba weka picha nione mwonekano wake. Nahitaji pia
Back
Top Bottom