Search results

  1. bwii

    Kwanini jamii ya wa Kurd hawapendwi na jamii ya Kiarabu na Wapersia?

    Kama ilivyo kwenye heading napenda kujua kwanini jamii ya wa kurd inayopatikana mashariki ya kati hawapendwi na jamii ya kiarabu na wa persia???
  2. bwii

    Tuwapende na tuwaheshimu sana wadada wakazi

    Kama heading ilivyo nimekutana na mshkaji wangu mmoja ambaye ni mtu wangu sana wakaribu haiwezi pita wiki bila kukutana mbali na kupigiana simu kila siku. Leo story yake ilikua ya huzuni sana na kwasababu ni mshkaji wangu tangu utotoni na temeshare michezo yote ya utotoni napia tupo katika...
  3. bwii

    Realme c35

    Ninataka kununua simu aina ya realme c35 nimeona ina muundo poa,nianachoomba kujua vp ubora wake!?
  4. bwii

    Tatizo la kupigwa na shoti kila mara

    Habari waungwana! Niende moja kwa Moja kwenye mada. Kwa siku za hivi karibuni kuna tatizo LA Mimi kupigwa na shoti km ya umeme nikigusana na net ya kitandani na inauma kiasi na pia inanisababishia mshtuko kitu ambacho kinanifanya nikose amani pindi ninapolala. Pia sio hivyo tu! Mara nyingi tu...
  5. bwii

    Kwanini makampuni ya pombe yanatumia models badala ya wateja wao halisi!?

    Dizaini kama akina Masele chapombe,Je? wanaogopa nn?
  6. bwii

    La huyu mwanamke linanishangaza kidogo!!

    Natumai ni wazima wa afya.bila kupoteza muda nianze moja kwa moja,Ni hivi wa kipindi cha miezi miwili iliopita tuliunda uhusiano wa kimapenzi na mwanamke mmoja ana km 25yrs baada ya kufahamiana kwa kipindi cha miezi 6 ilitopita katika shughuli zetu za kutafta rizki. Kilichonifanya nije na huu...
  7. bwii

    Kwa mara ya kwanza leo nimeona masai wakiwa wanazika

    Kama kichwa cha habari kinavyosema leo kwa mara ya kwanza nimeona wamasai wakiwa wanazika ,walikuwa kama 40 wakiwa wamevalia mavazi yao ya asili huku wakiimba nyimbo katika makaburi ya njedengwa Dodoma, bahati mbaya sikuweza kuwapiga picha coz nilikuwa kwenye bodaboda! Sent using Jamii Forums...
  8. bwii

    Naombeni ushauri juu ya hili.

    Kama kichwa cha topic kinavyosema, naombeni ushauri juu ya hili la kula kwa mtoto wangu mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi nane. Amekua hapendi kula kabisa na tumemjaribu kwa kila chakula mbalimbali lakin bado amekuwa mgumu, tumemweka awe anakula na watoto wenzake, sisi na watu mbalimbali...
  9. bwii

    Siku ya leo....

    Mkianza kutuma picha za pilau na kuku naomba mtume tena picha za mifupa ya kuku mkimaliza kula[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  10. bwii

    Umri wa Musa na Neema

    wanajukwaa kwa wale wa enzi zetu za primary, hivi Musa na Neema na mdogo wao Baraka saivi watakuwa na umri gan??
  11. bwii

    Marais wapungua mtaani

    Hali ya kuwa na marais wa mitaa mara sjui rais wa kijiji gan mara wa kona street now days wamepngua kama sio kuisha kabisa tangu mh Magu aingie madaraka. Shkamoo mjomba magu.
  12. bwii

    Jaman nimekosea wap??

    "...binafsi ninaomba radhi sana! Kwani sina pakushika wala pa kuanzia kimaisha... Natoka familia duni yenye UMASIKINI usio elezeka.. Hata hela ya kupika pilau mimi sina jamani leo sikukuu ...nime kosa mimi! Nimekosa Mimi nimekosea sana.." nawaombeni pilau jamani nimekosea mimi NAWATAKIENI...
  13. bwii

    Uhusiano kati ya mapishi ya mwanamke na papuchi yake

    Kwa muda wa miaka kadhaa nmekua na mahusiano na wanawake tofauti tofauti ila nimekuja kugundua wale wote ambao nilibahatika kuonja mapishi yao nimegundua mahusiano kati ya utamu wa papuchi zao na mapishi yao. Ni kwamba wale ambao huwa marazote wanapika chakula kitamu pia na pupuchi zao ni...
  14. bwii

    Kwa nini hutokea hivi!?

    Salaam wandugu! Kuna kitu mimi huwa kinantokea kila mara(karibu mara 5 kwa wiki). Ni hivi huwa mara nyingi inapofika usiku kuna muda nkiangalia saa nakuta ni muda ule ule,yaani kama ni saa tatu kamili bas ni hivo hivo kila siku. Kiukweli sina ratiba maalum kufanya kitu hikohiko inapofika...
  15. bwii

    Ushauri kwa huyu kaka

    Salaam zenu wandugu Kuna jamaa yangu anatatizo moja linamsumbua anaomba msaada wa kimawazo toka kwangu,hivo nami bila kusita nmeamua kulileta kwenu ili tuweze kumsaidia sababu humu najua kuna wajuz wa mambo.Huyu jamaa yangu anaishi maeneo ya uswazi kidogo ni mkimya pia na hana stori nyingi na...
  16. bwii

    Huyu msichana simuelewi

    Habari wapendwa. Nimekuwa katika mahusiano na msichana mmoja muda wa miezi sita sasa.Ila kuna kitu sjakielewa toka kwake. Ni kwamba kila tunaposex kuna neno huwa anapenda sana kulitamka kua"baby nipeleke chooni"na huwa analirudia mara kwa mara hadi mara nyingine nakatiza pambano ili aende au...
Back
Top Bottom