Search results

  1. M

    Msaada: Nimepitiliza muda wa kujifungua

    Kawaida unaeza kuwahi week 2 au ukachelewa week 2 kwenye ile tatehe yako ila zikipita zile week 2 wahi hospital maana placenta inakua tayari imechoka na uterus pia vile vile so mtoto anaeza akafia tumboni.
  2. M

    Nilikuwa siamini kama unaweza pata mwenza JF

    Nikikutaka nakupataje???
  3. M

    Zari amvua hirizi Tiffah

    Akuna cha utamaduni hizo no local believes mbona si watoto wote wanaovalishwa na wanakua vizuri Ila hatuwezi jua mambo ya watu ndani
  4. M

    Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange kuwasili nchini 16th Oct, baada ya ziara nje ya nchi

    Picha inaeleza nini apo sasa atujui anaelekea wapi je kama ndo wakati anaondoka? Akuna kitu mwamunyange ajaja lazma tungeskia press conference ili kuwa kata walozusha vilimi
  5. M

    Siyo ishara njema: Magufuli azomewa Mwanza

    Acha kumsingizia mwalimu akiwa hi kusema kwamba lowassa Hafai? Tunajua wakati ule umri wake na pia kukodi ndege ilikua si jambo la kawaida bt sasa ivi watu awa kodi wanamiliki zao wenyewe na ndo maana tuna mtaka huyu huyu fisadi potelea mbali! Kwani alumni bail kikwete??
  6. M

    Siyo ishara njema: Magufuli azomewa Mwanza

    [Q UOTE=chamakh;14364681]Kama umeambiwa Mwanza ni CDM ila wewe ukaleta ubishi, utazomewa tu, nami nasema azomewe tu, hakuna namna maana tumechoka. Teh teh teh mbavu zangu mie jamani pole sana pombe umekutana na magumu sana ila sio kwamba tu wanamzomea hatumpendi la khasha! Wamezidi...
  7. M

    Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa kutoshiriki mdahalo wa Oktoba 18, 2015

    Sisi watu wake tulishaga mwelewa so ata asipokaa kwa mudidahallo its not a problem!
  8. M

    Azam tv mnachokifanya hakivumiliki

    We waache wataanguka anguko la star tv. Wastuletee uchama interest zao badae ila wajitahidi ku equalize mambo ili tuwaalewa na kuwa amin ITV big up Kiukweli mna kuelewa na mfano muigwe
  9. M

    TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Ooh my good! Mungu aitwe mungu mungu usiyepangiwa mungu usietabiriwa mungu usiefundishwa Bali ni mungu atandae linalompendeza, Deo we loves u but god loves u more Rest in peace deo
  10. M

    Tiddo Muhando tutakuwa live kuripoti kila kitu muda wote wa uchaguzi

    Such a good news Big up azam tv u always gives what best
  11. M

    Kigoma waibwaga UKAWA na Lowassa

    Kwahiyo bango moja tena ya kuandikiwa itoshe je kusema ukawa Kigoma imebwagwa?
  12. M

    Kigoma waibwaga UKAWA na Lowassa

    Nakwambia huyo alishika ilo bangi jaman kaandikiwa ata ukimwambia soma Huenda hajui pameandikwaje! Eti makufuli 4 change. Mpyuuuuuu
  13. M

    Mkutano wa Dr. Magufuli akiwa Mchinga, Kilwa,Ikwiriri na Mkuranga - Oktoba 13, 2015

    Pole watu wakipewa tshert wasivae na pesa juu hapa moshi ndo habari chukua pesa pokea tshert kura llowasa
Back
Top Bottom