Search results

  1. L

    Kikwete aogopa kwenda Mwanza

    Habari za uhakika kutoka Wizara husika ya Maji zinasema JK ameogopa kwenda Mwanza kuwa mgeni rasmi kilele cha wiki ya Maji tarehe 22. Badala yake wakapendekeza awakilishwe na Makamu wa Raisi. Inasemekana kuwa JK analiogopa jiji la Mwanza kwa sasa kama ukoma na amesitisha kwa muda ujenzi wa...
  2. L

    Rais JK aendelea kuizunguka dunia;aenda Belgium na Misri!

    Jk aliingia madarakani kwa njia ambayo haikuwapendeza wengi. Umeme umekuwa ni kero na amekwenda nje kupumzika kuepuka kero za mgao wa umeme. Hataiongoza Tanzania kwa mafanikio mpaka anaondoka
  3. L

    Elections 2010 Fahamu kwanini jk kashinda sehemu kubwa zaidi

    Mfano mzuri alipokua kule mkoa wa manyara JK aliahidi maji kutoka mto ruvu, kwa watu ambao hawajui jografia wataona ni kitu rahisi hivyo wakampa kura .. Je hayo maji yavuke mito yote mikubwa kama wami, mito ya tanga moshin na mbaya zaidi hata ile ya jirani yao Arusha??:hippie: Mkuu Hapa...
  4. L

    Uchaguzi Umeisha! Sasa ni makali ya Mgao wa Umeme KULIKONI?

    Kwa taarifa yako bei ya umeme itapanda mwaka ujao mwezi wa January jiandae
Back
Top Bottom