Search results

  1. L

    Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Zile dcm za rombo zilikuwa zinaitwa maktaba........
  2. L

    Vyuo vinavyoongoza kwa matumizi ya ''Smart Phone'' vyatajwa

    Kufanya watu kuwa wavivu kufiri na kutunza kumbukumbu
  3. L

    Mwana JamiiForums, umewahi kukumbwa na aibu gani? Mimi ni hii

    Hiii ni aibu yangu mwenyewe sithubutu kuisema
  4. L

    Kwa hili startimes ni tatizo mjirekebishe mnaudhi

    ni wiki ya pili tangu tufunge king'amuzi cha startimes kwenye playlist yao hawana chaneli za hapa bongo kama vile Itv, Eatv, star tv kwa kweli sifurahii kabisa huduma zenu
  5. L

    Usanii wa Clouds: Mshindi wa Brazuka akataa ushindi wa kwenda brazil

    mie ndo maana hii media huwa siikilizagi sana radio ya boss akisema tu wote mnafuata sasa hapa naona ipoo kwa ajili ya bosi na sio sisi jamii
  6. L

    Tume ya uchaguzi ifm imemtangaza clinton raisi mpya wa wanafunzi kwa mwaka 2014/2015

    Hiyo sio clinton tu bado ana majina mengine ya kibongo sasa mleta uzi malizia majina yake yote
  7. L

    Nafasi ya kujitolea mkoani Mbeya

    na mimi natafuta kazi ya kujitolea nina diploma ya public administration
  8. L

    Anti-Balaka: Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR), Kama hayatuhusu vile...

    Wauwaji ni hawa waislamu wa seleka wakijiona wao wa maana ndani ya nchi yenye mixture ya dini sasa kibao kinawajeukia mnawatetea sasa kwa taarifa yako wanahamishwa na kuonyeshwa kuwa Bangui hawaishi wauni tu bali hata wastarabu wapo
  9. L

    Anti-Balaka: Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR), Kama hayatuhusu vile...

    kikundi hichi cha wahuni wakislam cha seleka kinahamishwa na wapenda amani wa ant-baraka nakuwaonyesha kuwa ustarabu unahitajika sasa wanahama na malori na kwenda kuishi kama wakimbizi
  10. L

    Anti-Balaka: Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR), Kama hayatuhusu vile...

    mie naona hawa ndugu zetu waislam wapunguze kama sio kuacha kabisa itikadi za kipuuzi, leo unakuta shehe anayeheshimiwa anatukana wakristo na kuwakejeli hata kutuita makafiri alafu waamini wao wanashangilia na kumuona mtu wa maana kabisa haya ndio yaliyo tokea huko Bangui-Central African...
  11. L

    Degree ya socialogy

    na hii ya Public Administration ikoje kwenye ushindani wa ajira
  12. L

    Kero tunazopata kwenye Nyumba za kupanga

    Alafu hizo redds nasikia zinawapagawisha wakinywa zaida ya moja duu! Ni shiiiida
  13. L

    Jeshi la police jijini Dar limewakamata vijana 149 Panya road/ Mbwamwitu

    hizi ni taarifa nzuri kutoka jeshi la polisi popote tuwaonapo hawa wanaojita watoto wa mbwa tutoe ushirikiano kwa polisi hii itapunguza ualifu ambao unasababisha sisi raia tuishi kwa hofu pamoja na mali zetu tusiishie kuponda kutoa kejeli wakati hv majuzi hapa ndugu zetu jamaa mama zetu...
  14. L

    Kijana, kujenga nyumba ni uoga wa maisha

    Hata ukichunguza watu wenye kipato hata mazingira ya kwenu watakwambia alikuwa mfanya biashara, mfanyakazi mwenye nyadhifa kubwa kabisa kazini kwake au mkulima maarufu hao ndo utawakuta wanamagari mazuri na nyumba yenye hadhi ila kwa sisi tunaofikiria kujenga wakati kipato hakiendani na hatutaki...
  15. L

    Kijana, kujenga nyumba ni uoga wa maisha

    Siumewahi ona wazee kitaa wameanzisha nyumba mpya mwaka 2003 mpaka sasa ndio anaanza kuweka angalau siling board, hapa mkuu cha maana ni kukuza kipato kabla ya kujenga kwanza maana kazi na mshahara ndio uwe mtaji ni hayo tu.
Back
Top Bottom