Search results

  1. Mihayo

    USHAURI: Nina uhitaji wa kutumia nishati mbadala

    Wasiliana na Mionzijua Company Limited 0786148148 au info@mionzijua.co.tz
  2. Mihayo

    Nahitaji Alovera

    Jambo Wadugu. Natafuta supplier wa Alovera at a large scale tafadhali. Kama kuna yeyote ni mkulima au anamfahamu mkulima tafadhali ani inbox. Natanguliza shukrani.
  3. Mihayo

    Battery yangu ya solar inaisha nguvu haraka

    Mkuu sahihisha hapo ukubwa wa betri kama ni N1000 basi kuna shida kubwa hapo. Ila kwa panel 120 watts unaweza funga battery 150 Ah 2 Pcs za dry na ukaendelea kupeta.
  4. Mihayo

    Battery yangu ya solar inaisha nguvu haraka

    Jambo kwa panel ya watts 90 Nunua Battery dry 100 Ah itafaa, Bei kwa sasa ni Tshs 260,000 kwa battery aina ya Ritar japokuwa hiyo sio the best in the market, lakini inafaa kwa matumizi na kwa hali ya maisha. Best ni Victron, Tez, sollartek.......na price ina range kati ya Tshs 400,000 - 450,000.
  5. Mihayo

    Battery yangu ya solar inaisha nguvu haraka

    Panel yako ni watts ngapi? Ili nikushauri zaidi. Pia bei ya battery sio hiyo kaka, kwa sasa zimeshuka bei
  6. Mihayo

    Battery yangu ya solar inaisha nguvu haraka

    Battery ya Solar au nyingine yoyote haiongezwi acid kamwe. Battery ikipungua nguvu ongeza distilled water sio Acid mkuu. Kwa maelezo yako inaonekana battery imekufa japokuwa ili kujiridhisha inabidi kujua umekaa nayo muda gani na kama inaweza kuwa recharged
  7. Mihayo

    Kwa vyama hivi CCM, CHADEMA, CUF,TLP......

    Nimekuwa nikifatilia kwa makini mwenendo wa kisiasa katika nchi yetu kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Nasikiitika kusema sioni chama makini wala chenye dhamira ya kweli kuwaongoza Watanzania kwenda kwenye nchi ya asali na Maziwa... Kama kipo basi sera na madhumuni yake yanaweza kuwa sahihi laikini...
  8. Mihayo

    Joseph Kabila kulidhulumu na kulitesa Kanisa Katoliki, anatambua nguvu ya kanisa kweli?

    Msamehe mtesi wako na Muombee kwa Mwenyezi Mungu.
  9. Mihayo

    Ajali: Basi la Hood Limepata ajali Iringa Milima ya Kitonga

    Nina swahiba anasafiri mida hii to Mbeya amenitumia SMS kuna basi la Hood limetumbukia Kitonga. Kupata more details wenye ndugu waliokuwa wanasafiri kuelekea au kutoka Pande hizo na Hood tafadhalini fatilieni. UPDATE; Basi la HOOD limepata ajali Mlima kitonga muda huu, taarifa zaidi zitatolewa...
  10. Mihayo

    Ninauza kiwanja Mbwen ndege beach

    Bei yako iko juu kidogo mkuu. Maana 2010sq 120m. Kama unaweza shuka tuwasiliane.mkuu nahitaji
  11. Mihayo

    Naomba Ushauri, nataka kuuza kila nilchonacho ili nifungue biashara

    Tumia mshahara wako kukopa benki mkuu angalia business haiko straight
  12. Mihayo

    Natregen- dawa ya vidonda vya tumbo

    Yeyote anayesumbuliwa na vidonda vya tumbo ni pm nikupe mawasiliano upate matibabu for only 1 week you are done. Nimetibiqa mimi na watu watatu wa karibu yangu.
  13. Mihayo

    Tido Mhando amaliza mkataba wake Mwananchi

    Kijana mchapa kazi na mtu wa watu Nanai.
  14. Mihayo

    Inakuwajekuwaje mtu aanze na 50000/= hadi awe billionea. Mfano Patrick Ngowi wa Helvetic Solar?

    Usafishaji wa pesa hapo tusifanyane mazuxu. Hebu atuonyeshe project hata moja anayofanya. Haaaaaa
  15. Mihayo

    Pampu Za Visima Virefu Ambazo Hazitumii Umeme

    Waone Mionzijua co ltd watakusaidia but nadhani si chini ya 15m kulingana na urefu wa kisima
  16. Mihayo

    Je unaujua UKIMWI huu?

    Uongo mtupu. Acha kupotosha umma wa wandunia hakuna kitu kama hiki hapa duniani
  17. Mihayo

    Canter Tipper Inauzwa Dar

    Iko wapi 3 trees
  18. Mihayo

    Want to be a Rival to NHC with 100Ml Cash in hand

    Atleaet you have an idea. Tuwasiliane
  19. Mihayo

    Kokote ulipo wewe uliyemtapeli shemeji yangu jana kwa M-PESA jua hauko salama

    Iko shida last time tulipata sms from MPESA inadai kutuma 2.3million kwenye simu ya ofisini na jamaa akaanza kusumbua anahitaji mzigo haraka. Nikamwambia ni mpaka tutoe hiyo pesa ndo turuhusu mzigo. Jamaa akaanza ohoo ngoja niblock hamna customer care. Kwenda kibandanifake sms. My question why...
Back
Top Bottom