Search results

  1. K

    Waafrika tumemkosea nini mungu?!

    nevi wa italy watihibitisha kuwakamata zaidi ya waAFRICA 1800 pembezoni mwa fukwe za italy wakijaribu kuingia barani ulaya,idadi ya wakimbizi kwa mwaka wanaokamatwa ni 70000/= achilia mbali wanaozama majini na kupoteza uhai wao. swali langu sisi wa AFRICA tunamatatizo gani ya kiakili na kiuchumi...
  2. K

    vita si matembezi!!!idadi kamili ya wanajeshi waisrael waliokufa!!

    msemaji mkuu wa jeshi la israel amethibitisha kuuwawa kwa macomandoo 25 wa kikosi maalumu katika jeshi lake huku majeruhi wakikadiriwa zaidi ya sabini,wachambuzi wa mambo wanasema israel hakutegemea kukutana na mikiki mikiki kama hiyo kwani ni ya kwanza ya aina yake toka kuanzishwa dola hiyo ya...
  3. K

    Nataka kufungua maabara ya kisasa, naomba ushauri

    Nataka kufungua maabara ya kisasa lengo kuu likiwa kukuza kipato changu na kuwasaidia wagonjwa wanaosota katika foleni za muda mrefu hospital. Jengo la kuwa maabara lipo katika hatua za mwisho. Nahitaji ushauri wenu vifaa bora vinavyohitajika kuanzishia hiyo huduma ya maabara na thamani yake...
  4. K

    Kova: Tumewanasa viongozi wa 'Mbwamwitu'

    Dar es Salaam. Jeshi la Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata watu sita wanaodaiwa ni viongozi wa kundi la ‘Mbwa Mwitu' linalojihusisha na vitendo vya uvamizi na uporaji wa mali za watu kwenye nyumba na maduka jijini humo. Kamanda wa...
  5. K

    huwezi amini!!!nchi zinazoongoza kwa kuangalia mitandao ya ngono!!!

    kabla ya mwezi hivi ulitoka uchunguzi wa nchi zinazotembelea mitandao ya ngono zaidi ulimwenguni,uchunguzi huo ulitegemea kuchambua wanaotembelea tovuti hizo na nchi zao. ya kwanza ilikuwa ni saudi arabia ikifuatiwa na misri kisha united states of america kwa kujua nchi ya kwanza hadi ya 18...
  6. K

    Piga simu bure kokote ulimwenguni kwa kupitia facebook

    ni huduma nzuri na yenye gharama nafuu sana sana,kiasi kwamba unaweza kusema ni bure kutokana na gharama ndogo inayotumika ukilinganisha na gharama halisi kwa kutumia mitandao tuliozoea,kinachofanyika ni kutumika mtandao wa internet katika simu yako badala ya salio uliloweka. ni tofauti na...
  7. K

    Wakenya watengeneza gari ya kwao kwa asilimia 98%, Watz tunalichukuliaje hili?

    Shirika la Kenya la Mobius Motors,limetangaza rasmi kuingiza sokoni gari zake za bei nafuu sana,zimetengenezwa maalumu kwa ajili ya kuweza kumudu barabara za africa,gari ina nafasi ya watu nane na ina milango miwili tu,na ili iwe ya bei nafuu haikuwa na mapambo mengi,ina uzito wa 1275KG,na...
Back
Top Bottom