Search results

  1. L

    Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

    Habari Dr, Tunashukuru kwa Ukarimu wako kuendelea kutuelimisha habari ya afya, Naomba msaada, Mume wangu ana shida ya tumbo kwa muda mrefu, akila chakula anasema ni kama kinakwama kwenye "chembe ya moyo"- hapa chini ya kifua kidogo, na huchukua muda kuyeyushwa, Pili kuna wakati anakuwa hana...
  2. L

    Vyombo vya Wageni: Kauli mbaya waliyonayo kina mama wengi wa kitanzania

    Kweli kabisa, Mimi kwenye familia yangu nilishakataa huo ujinga, mwanangu wa 1.5yrs anatumia vyombo vya udongo na anaweza kutoa mezani kupeleka jikoni vya size yake, wakikua hivyo hakuna cha kuwatetemesha wavunje n.k. wamama wabadilike
  3. L

    Kwanini Mademu wengi wakali ninao wafahamu hawaijui JF?

    Hahahaha, JF ina mambo, ILA KAMA KWELI VILE........................
  4. L

    Baada ya miaka saba ya kujoin JF na kusoma JF kama guest kila siku...........

    Sitahudhudhuria tena kama mgeni.......
  5. L

    Simuelewi huyu Mwanamke-Msaada wanaJF

    Husninyo hapo kwenye bold umenifurahisha!!
  6. L

    Je Umekata Tamaa? Soma hii Story: Saved Alone

    i am glad to know the source of the song "it is well with my soul" In this life sometimes we pass thru difficulties BUT the most important thing to know is "WE HAVE A WONDERFUL FATHER AND FRIEND WHO ALWAYS IS ON OUR SIDE" Be Blessed people!
  7. L

    Unawafahamu vizuri madaktari wa muhimbili?

    Jamani tutambue mchango wa madaktari, si wote wenye matatizo kama tunavyofikiri, Last month mdogo wangu anayesoma shule ya boarding aligundulika ana kisukari, daktari wa hospitali iliyo karibu na shule alimdiscourage sana kwamba ni ugonjwa atakaokuwa nao mpaka mwisho, lazima achome sindano...
  8. L

    Jamii ya Arusha Secondari

    Lol! wewe tulimaliza pamoja, mimi pia nimemaliza 2002 na masweta mekundu!
  9. L

    Koo linaniwasha

    Mimi pia nikuwa na tatizo hilo, nikaenda hospitali, nikakutwa na allergy ya vitu mbalimbali, after treatment na kuacha vitu fulani, sasa naendelea vizuri.
  10. L

    Naombeni msaada

    Ni pm namba yako ya simu na unahitaji vingapi?
  11. L

    nimezaa na shemeji yangu

    Hahahahah! lol!
  12. L

    Imeniuma nikishuhudia mjukuu wangu akikata roho

    Mmh! Pole sana ndugu, Inauma sana kwa kweli.
  13. L

    natafuta kitabu hiki nisaidieni

    Nenda Efatha Bookshop Mwenge. Wana vitabu vingi sana vya watumishi mbalimbali.
  14. L

    Dedicated to all women: Without you, we are nothing...

    Ahsanteni wababa kwa kutupenda!
  15. L

    Dedicated to all women: Without you, we are nothing...

    kwenye bold hapo, Aspirin una mambo!
Back
Top Bottom