Search results

  1. E

    Natafuta Mfanyakazi Kwa ajili ya Internet cafe

    Natafuta mfanyakazi anayeweza kukaa kwenye internet cafe moja iliyopo Tabata Segerea. Awe mkazi wa Tabata segerea na ana ujuzi wa kutumia computer na microsoft office. tuma maombi yako kwenda kwenye barua pepe, eliangikundi@gmail.com
  2. E

    ajira

    wadau, natafuta mfanyakazi kuja kufanya kazi kwenye internet cafe moja ipo Tabata Kimanga. Naomba mfanyakazi huyo awe ametokea kimanga mwisho wa mabasi yanapogeuzia. Awe anafahamu computer kidogo, Awe dada. ukiwa tayari naomba unipigie kwenye simu namba +255 715 408 233 wako, eliangikundi.
  3. E

    Natafuta moderm za internet za tigo, voda ama airtel

    wadau, Natafuta moderm za internet za tigo, voda ama airtel kwa mtu ambaye haitumii tena. bei nitakayonunulia ni sh10,000 kwa moja. kama kuna mtu anazo naomba anipigie simu kwenye +255 715 408 233. Nitashukuru sana. eliangikundi
Back
Top Bottom