Search results

  1. monge

    Risk Assessment and Management: CHADEMA nayo Imuondoe Dr. W. Slaa!

    Kijana kuna wakati huwanaona una mawazo endelevu sana katika threadna michango yako humu jamvini,lakini hoja yako ya leo ni busara ukakubali kuwa umechemsha tena sana! hoja yako ya udini ni hatari kuliko neno hatari lenyewe. Nyrere aliwaambia ubaguzi hauna mipaka, leo mnatumia DINI ili muendelee...
  2. monge

    Ni kweli tumesahau aliyotufanyia Gaddafi 1972- 1979 mpaka tuandamane kumtetea?

    Kama kiongozi mkuu wa nchi anatumia udini kuendelea kubakia madarakani!,kwa nini raia wa kawaida asiutumie udini kumuunga mkono Gadaffi!
  3. monge

    Kweli sikio la kufa.....

    Ya rwanda na ya Tanzania hata hayafanani!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  4. monge

    Kweli sikio la kufa.....

    Huyu mama ana AMNESIA AU KACHANGANYIKIWA. Anajuwa kabisa yeye ni miongoni mwa chanzo cha hii karaha na mauaji yote yalotokea ,lakini bado ana jeuri ya kufungua kinywa chake na kutoa kauli za kebehi kiasi hiki kwa watu waliotumia uhuru wao wa kikatiba wa kuongea na kutoa maoni yao! Ama kweli...
  5. monge

    Intelijensia Kuhusu Maandamano ya CHADEMA

    Waziri wa mambo ya ndani( shamsi vuai nahodha) Kwa kuwa jeshi la polisi liko chini yake na alimruhusu mwema kufanya alichofanya.
  6. monge

    Tunataka katiba mpya, hiyo iliyopo wangapi wameisoma?

    Ebu acha mambo ya kijinga. unadhani shahada ndiyo nini? Mbona kikwete ana shahada lakini ni mbubmu kuliko hata wasio na shahada!!! Msitishe watu na shahada,akili zenu za kijinga hizo ndiyo maana mnalipishwa pasipo na sababu?
  7. monge

    The DOWANS saga: Kwanini KIKWETE yuko kimya?

    Bwan wee ukweli ndiyo huo,watu wote wanafahamu na hata wapinzani walishasema hadi wakachoka.Sisi wabongo ndiyo wajinga ,ukifika uchaguzi tunairudisha tena ccm. haya mambo yatashughuliwa vizuri ccm ikiwa nje ya madaraka na siyo vinginevyo.tukiendelea kuwaweka ccm madarakani basi tunatakiwa...
  8. monge

    Zitto apendekeza Dowans itaifishwe; Serikali yapinga! Mgao waendelea...

    Originally Posted by Waberoya Nimekutana na mtu mmoja mzito leo anasema JF wengi ni vuvuzela na angependa amuone kila mmoja kwa sura yake, huwa haamini kuwa ni intelectuals basi kama ni intelectuals basi kuna tatizo sehemu, huwa anaamini ni shule ya msi Originally Posted by Waberoya Nimekutana...
  9. monge

    Tanzania among top performing economies

    Tanzania.
  10. monge

    Sitta na Lowasa waitesa CCM

    Inavyoonekana tayari kampeni za 2015 ndiyo zimeashaanza rasimi. Nashindwa kuelewa hasa ni lini Tanzania tutapata maendeleo tunayohitaji! manake Tanzania ni nchi moja ambayo watu wanakampeni nonstop!
  11. monge

    Umeme wapanda kwa 18.5%

    Ndiyo maisha hayo!!
  12. monge

    Hukumu ya rada hii hapa!!

    20 December 2010 Last updated at 16:01 ET Share this page Facebook Twitter Share Email Print BAE Systems faces fine for Tanzania accounting offence By Martin Shankleman Employment correspondent, BBC News BAE admits it failed to keep proper accounts Continue reading the main story Related...
  13. monge

    Atm theft `"`kuwa makini"

    ATM Fraud Gets Even More Brazen provided by Fraud involving debit cards and personal-identification numbers is on the rise as criminals go where the cash is—even targeting banks' own automated teller machines. Techniques such as "skimming," in which criminals capture card information and...
  14. monge

    Gazeti la Freeman Mbowe latumika kumsafisha LOWASSA

    Tutafika lakini kwa taabu kweli kweli!
  15. monge

    Elections 2010 CCM ifungue kesi ya Kikatiba dhidi ya CHADEMA kuwalazimisha kutambua matokeo!

    CCM wanajua dhahili matokeo ya kura siyo tu ya ubunge na udiwania bali na ya uraisi hususani yametengenezwa toka wanakokujua hivyo hawatakubali kamwe kwenda mahakamani kujimaliza.Ninachokiona ni ccm kujaribu kupima upepo umekaaje halafu wajifanye kana kwamba hawajwahi kutamka walichotamka. Nduu...
  16. monge

    Elections 2010 Mapendekezo kwa CCM kufuatia "the Walkout"...

    Inasikitisha saana kuona bado Tanzania in watu wajinga na wapumba.... kiasi hiki!!! Kwa nini watu mnapenda kuhalalisha dhuluma na vitendo vya kihuni vinavyofanywa na hawa watawala uchwala wa kitanzania? huu upuuzi wote wanaoufanya hauna masilahi kwa taifa la Tanzania hata kidogo even in the...
  17. monge

    Mtizamo wa Bloga: Uamuzi wa CHADEMA Kususia Hotuba ya Kikwete Bungeni

    Unaweza kutukusha taratibu zilizotumia na Mwl pamoja wapambanajia wenzake kudai uhuru kwa wakaloni? Kama unadhani Chadema wanapoteza wakati,basi subiri uone!!!! siyo muhimu chadema kutumia atartibu ulotumika kenya ama sehemu nyingine zozote.
  18. monge

    Elections 2010 Nani kuukwaa uwaziri mkuu?

    Naamini atakuwa Pinda kama atatumia busara angalau kidogo,kwani tayari nci imeshazidiwa na mzigo wa mawari wakuu, akiteua mtu mwingine itakuwa ni ukosefu wa busara wa hali ya juu. ni muhimu kuangalia masilahi ya taifa kuliko kusambaza cheo cha waziri mkuu kwa kila mtu,pia nahisi atamteua mwanae...
  19. monge

    Mapendekezo ya muundo wa baraza la mawaziri - 2010-2015

    Kwanza nikushukuru kwa mapendekezo yako mazuri ambayo hat hivi hakuna mtu atashughulika nayo kama ujuavyo viserikali fisadi kama haka ka kwetu!!!!!. Hata hivyo binafsi bado naona umependekeza wizara nyingi kulinganisha uwezo wa serikali hususani kwa kushindwa kukosekana kwa nidhamu katika...
Back
Top Bottom