Search results

  1. M

    Utaifa na uzalendo kwanza

    Vyama vya kisiasa,ukabila,udini na ukanda visiwe ndio chanzo cha kututofautisha watanzania mpaka kufikia kukana maslahi au mambo yanayowahusu viongozi wetu wa nchi yetu. Hivi siku hizi za karibuni baada ya mambo ya vyama vya upinzani kuwekwa wazi,umekuwepo upinzani dhidi na chuki kubwa dhidi ya...
  2. M

    Paul Kagame na kesi ya kutungua ndege ya raia

    MH!17 na kuhusishwa na Vladimin Putin rais wa serikali ya Russia hivi sasa baada ya tuhuma zinazomkabili kiongozi huyo kwa support kubwa anayptoa dhidi ya serikali ya ukraine,inavyosemekana chombo kilichotumika kuipiga ndege ya kiraia kilitokea nchini kwake pamoja na order zote,case ka hii...
  3. M

    Chadema kunani huko?

    Haya tena wajameni,mimi kuna kitu kinanikwaza sana siku hizi,mbona viongozi wengi wa chadema siku hizi wanahamia chama tawala,hii imekaaje sasa?au watu wa ccm wanawanunua au kuna kitu kinachowapelekea wanachadema kukihama chamandio ni aje sasa,kasi ya baadhi ya wanachadema kukihama chama chao...
Back
Top Bottom