Search results

  1. M

    Natafuta mchumba

    Vumilavumilia utakuja mpaa hivi karibu.
  2. M

    Pamoja na ujio wa Lowassa CHADEMA, Dr. Slaa ni chaguo sahihi kugombea Urais

    Dr Slaa ni chaguo la wote ninachangia hii post ingawaje nilipitwa wakati ilipoanzishwa lakini mawazo yangu ni kwamba muelekeo wa ukawa wa kumtupa Dr Slaa na badala yake kumtanguliza mbele huyu Lowassa ni kuonyesha jinsi Ukawa namna gani bado kuiva kisiasa.Mtu hawezi kutoka alikotoka achaguliwe...
  3. M

    Mjadala kuhusu Mke asiye wa Ndoa na Mtoto wa nje ya Ndoa kwenye urithi

    Kuna kitu kinaitwa will hiyo ni document muhimu sana kwa mwenye family kuiandika kabla hajakufa, wenzetu wazungu wao wanafanya sana hivyo kwa kuweka mazingara sawa kabla mtu hajakufa, maandiko ka haya ndio solution ya migogoro mingi ndani ya families nyingi. Mr Murage:usa2:
  4. M

    Serikali iwe makini: Watoto waliofungiwa ndani kuchukua mafunzo waweza kuwa suicide bombers!

    I have no time to deal with creeps,low IQ people like ya.Prick!!!!! Mr MURAGE:canada:
  5. M

    Serikali iwe makini: Watoto waliofungiwa ndani kuchukua mafunzo waweza kuwa suicide bombers!

    Actualy i have absolutely no time to deal with very low IQ and ignorant like you,so deal with it now.Mr MURAGE:canada:
  6. M

    Serikali iwe makini: Watoto waliofungiwa ndani kuchukua mafunzo waweza kuwa suicide bombers!

    Maandiko yenye ukweli yamekufanya upoteze fahamu na yamekupandisha roho mtakatifu na uccm wote vimepanda kwa pamoja ,unaandika matusi na kuanza kutoa shutuma hata bila ya kumjua unayemtolea shutuma hizo za kijinga.Kwanza jadili mada na mtu na pili toa sababu zako za kupinga au kutokukubaliana...
  7. M

    Serikali iwe makini: Watoto waliofungiwa ndani kuchukua mafunzo waweza kuwa suicide bombers!

    Wewe mtu naona maandiko yangu yamekufanya ROHO MTAKATIFU AKUPANDE KICHWANI,unaongea ccm chama hicho tayari imeisha kufa subirini wote mpelekwe mahakamani baada ya kuvuliwa madara,unajifanya wewe unauchungu na hii nchi wakati nyie ndio majizi yanayoitafuna na kuimaliza hii nchi.Unauliza nimetokea...
  8. M

    Serikali iwe makini: Watoto waliofungiwa ndani kuchukua mafunzo waweza kuwa suicide bombers!

    Wewe wacha matusi hapa lete hoja au jibu hoja matusi yanakufanya uonekane ka ndondocha hapa,jibu hoja nilizoandika na kama kichwa chako ni kibovu ungekaa kimya na kuwaachhia wenye uwezo wa kujua malumbano ya kistaarabu,vipi nakuona vimaandiko vifupi tuu vyenye ukweli vimekupandisha ROHO...
  9. M

    ISIS: Habari, picha na maelezo

    Armaggedon hiyo ni line iliyoanzishwa na George Bush naye alishindwa kuwamaliza waislam wote,safari hii muzungu atakimbia mwenyewe toka middle east. Mr MURAGE:canada:
  10. M

    Heshima kwa Wazaramo na ngoma yao ya Mchiriku

    Identity ya mtanzania sio mnanda bali ni kupigana vita. Mr Murage Msherwampamba.:canada:
  11. M

    Zitto apokelewa kifalme Kigoma na kukabidhi Ambulance

    Sipendi watu wa sura mbili. Mr Murage Msherwampamba.:canada:
  12. M

    Serikali iwe makini: Watoto waliofungiwa ndani kuchukua mafunzo waweza kuwa suicide bombers!

    Haya kajipange upya na urudi uko sawasawa napia darubini yetu imeisha kuona wewe ni mmoja wa ma ccm.Mr Murage Msherwampamba.:canada:
  13. M

    CHADEMA mnatisha,Huu hapa ni uthibitisho kua mtashinda kwa sehemu kubwa OCTOBER!

    nimekuelewa hapo.:canada: Mr Murage Msherwampamba.
  14. M

    Usanii huu wa ccm ni kwa faida ya nani?

    Nimeipenda hiyo cartoon.:canada:
  15. M

    CHADEMA mnatisha,Huu hapa ni uthibitisho kua mtashinda kwa sehemu kubwa OCTOBER!

    Ndio mkuu wangu Pankrease maandiko yako ni msumari kabisa na yote uliyonena yako madhubuti hamna upingamizi ila baada ya game kuisha nakuomba tafadhali usijitoe ktk hii sehemu babu kubwa ya watu kuandika yaliyo moyoni mwao,kwa lugha yao wenyewe ni free speech sijui utaweza ipata wapi kwengine...
  16. M

    Serikali iwe makini: Watoto waliofungiwa ndani kuchukua mafunzo waweza kuwa suicide bombers!

    Ndio naweza nikawa nje ya nchi lakini ninafuatilia kwa ukaribu sana masuala ya nchini kwetu,na ninayafahamu vizuri sana,watu kama nyie ndio mnataka hii nchi ifike mahali pabaya sana kwa huko kulazimisha kwenu mambo,mnazungumzia masuala ya utesaji na unyanyasaji wa hao watoto ,hizo ndio zenu kila...
Back
Top Bottom