Search results

  1. M

    Ukitaka ujue CHADEMA inakubalika! Wakati mwingine hata kisirisiri angalia hapa!

    Nimekua nikifuatilia mienendo ya baadhi ya wafuasi wa Chama cha kijani...siku za hivi karibuni wameamua kuiga kila kitu cha CHADEMA. CHADEMA ikianzisha mada wanadakia na kudai ya kwao mwisho wa siku inawaumbua. Mfano CHADEMA walisema kuna mawaziri mizigo wajamaa wakadakia wakazunguka nayo...
  2. M

    Sikubaliani Kabisa na Uraia wa Nchi Mbili!!!

    Miongoni mwa vitu vinavyonikera ni pale ninaposikia raia wa Tanzania anashabikia Uraia wa Nchi Mbili. Eti turuhusu wananchi wapate haki ya uraia wa nchi mbili!!! Ukiona mtu wa namna hiyo muogope. Kinachosikitisha sana ni kwamba kuna hata baadhi ya viongozi wa juu wanaonekana kulishadidi hilo...
  3. M

    Naombeni ufafanuzi wa maneno haya.

    1. Kukengeuka 2. Kikutakona 3. King'ong'ose 4. Kubebeta 5. Futuhi 6. Kukushi
  4. M

    Nikikumbuka zamani!

    Karudi baba mmoja toka safari yambali, kavimba yote mapaja na kutetemeka mwili... watoto wake wakaja ili kumtaka hali wakataka na kauli iwafae maishaniiii akatamka mgonjwaaa ninaumwa kwelikweli akatoka jasho mwili akakata na kauliiii
  5. M

    Kwanini Dr. Benson Bana anausifu waraka wa akina Dr. Kitila

    Katika habari yenye kichwa ''' CHADEMA YAASWA'' iliyotoka katika gazeti la habari leo. Dr Bana ameonekana kuishangaa CDM kwa maamuzi iliyofikia. Kwanza ameusifu waraka huo kwamba eti ni mzuri sana na unaonyesha demokrasia. Pili anadai eti kitendo cha wanachama kuaandaa waraka huo ni cha...
  6. M

    Lisemwalo lipo kama halipo linakuja '' kwa staili hii anguko la elimu laja!''

    Tangu wanafunzi wa kidato cha nne wapate matokeo mabaya sana kuwahi kutokea Nchini Wananchi, watendaji katika wizara ya elimu na viongozi wamepata taharuki kubwa. Taharuki hapa imetokana na Ziro nyingi zisizomithilika ambazo watoto wetu au ndugu zetu hawa waliomaliza walizipata!. Sasa swali...
  7. M

    Namuunga mkono mwambalasa mbunge wa lupa

    Katika mahojiano kati ya Mbunge wa Lupa...Victor mwambalasa na Gazeti la MAWIO. Amekemea Baadhi ya makada wa CCM wanaojipitisha sehemu mbali mbali na kufanya mambo mbalimbali yanayoashiria kuanza kampeni za Urasi. Amesema jambo hili likiendelea chama kitavurugika. Mimi nakubaliana naye asilimia...
  8. M

    Serikali kumlima barua balozi wa china nchini!

    '' Serikali imesema mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini wanapaswa kutambua kuwa, wanawajibika kuheshimu Mkataba wa Kimataifa wa Vienna unaoainisha taratibu za Kidiplomasia...............Hii ni kutokana na wiki iliyopita balozi Lu Younqing wa China kujitokeza kwenye mkutano wa hadhara wa CCM...
  9. M

    Nahitaji Kujua kama kampeni za urais kwa ajili ya 2015 zimeaanza!

    Kutoka na baadhi ya wanaozaniwa kuwa watagombea Urais mwaka 2015 kuaanza kujiuza kwa watu na kutoa maahadi kibao na mamichango mengi kama ndugu yetu MVI NYINGI. Nahitaji Kujua kama kampeni kwaajili ya uraisi wa 2015 zimeaanza! Kama hazijaanza naihitaji kujua sheria inasemaje kwa watu wanaoanza...
  10. M

    Baadhi ya majina yanayonivutia jf!!! Wewe je?

    Wanadamu wamejaliwa majina mengi mengine mabaya mengine mazuri mangine ya kuchekesha mengine ya kuhuzunisha mengine ya kushangaza mengine ya kustaajabisha. Vivyo hivyo Katika Jamii ya wana JF kuna member wengi wenye majina yenye sifa hizo. Baadhi ya majina yanayonivutia; 1.Rutashubanyuma...
  11. M

    Lina na Amini wanatuchora!

    Kwa muda sasa nimekua nikufuatilia kuhusu mahusiano ya wanamuziki Lina na Amini. Kwanza kuna kipindi ilitangazwa kuwa wana mahusiano. Na kwa sie wapembuzi ni kweli tuliliona hilo. Muda si muda tukasikia wametengana. Kila mtu akawa hataki kumzungumzia mwenzake. Lakini ajabu muda si muda akaanza...
  12. M

    Rais wangu kuna kipindi hunikosha sana!

    Mnyonge nyongeni lakini haki yake mpeni.... Kuna kipindi watu wamekua wakilaumu serikali kwa mambo mbalimbali. Na lawama zinapotoka muhusika wa kwanza anakuwa Mh raisi. Lakini pamoja na lawama zote yapo mambo mema sana ambayo Mh Raisi anafanya ambayo ni mazuri na yanayoonyesha upendo wake kwa...
  13. M

    Mbunge wangu jembe la ukweli!

    Baada ya kupita maeneo mbali mbali ya nchi yangu ya Tanzania nimegundua nchi yangu ni nzuri sana yenye rasilimali nyingi ila haina wawakilishi bora mfano mzuri baada ya kuzunguka nimegundua kuwa kuna watu ama hawajui hata mbunge wao alipo..ama wengine wanalia kabisa wanasema Mbunge wetu yupo Dar...
  14. M

    Everything in this country is fake!

    As days go on i have realised that everything in this Country is Fake. Nothing is genuine i swear! 1. Many Juices in the shop are fake! 2. You can buy rice ...they tell you that it is Mbeya brand but it is fake! 3. Nowdays weddings are fake! 4. We have many fake items from China! 5. Our smiles...
  15. M

    Ni kina nani hao? Tusaidiane ili tusije juta uchaguzi ukifika..

    Hivi karibuni kumekuwepo na kauli za Busara za kuwaasa watanzania kuhusu watu wanao sadikika kuwa si wema tena ya kuwa wanasaidiwa na wauza unga na marafiki mafisadi kutaka kwenda ikulu. Kauli hizi zimetoka kwa wazee wetu wastahiki kabisa Mh Samuel Sita na Mh Fredirick Sumaye. Mausia yao si ya...
  16. M

    Sheria hizi zisiwepo kwenye katiba mpya!!!

    Sheria ni kitu cha muhimu katika nchi yeyote. Sheria zinapokuwa sahihi na zinazokubalika husababisha nchi husika kuepuka misukosuko mbalimbali ya kijamii. Pamoja na uzuri wa sheria za nchi yetu Ya Tanzania. Kuna sheria chache ambazo nazani katiba mpya lazima ihakikishe haendeleu kuwepo; 1...
  17. M

    NCCR yaigaragaza tena CCM kortini!

    Kuna habari nyingine zina raha we acha tu! Mwananchi. Agosti 1,2013 ''''' Chama cha NCCR-Mageuzi kimeendelea kuigaragaza CCM mahakamani, baada ya Mbunge wa kasulu vijijini, Zaitun Buyogela,kuibuka kidedea kwenye rufaa ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010,yaliyompa ushindi. Hiyo ni...
  18. M

    Nini kigezo cha kuchagua watu kuwa Viongozi mbalimbali wa kamati za Bunge?

    Kwa ajili ya kuboresha utendaji wa bunge na kuifanya Serikali iwajibike ipasavyo kwa wananchi wake Bunge liliamua liwe na kamati mbali mbali ambazo zitakuwa zikifuatilia mambo mbalimbali ya msingi mathalani utendaji wa mashirika ya UMMA, mambo ya Ardhi, Elimu, Kilimo, Mambo ya nizamu, Ulinzi na...
  19. M

    Kada maarufu CCM mbeya atimkia CHADEMA!

    Nukuu by Mwananchi.co.tz , Jumanne,Julai 30, 2013 Chama cha mapinduzi katika jiji la Mbeya kimepata pigo baada ya kada wao maarufu , David Mwankina (70) kukibwaga chama hicho na kujiunga na CHADEMA. Mzee huyo ambaye ni hakimu mstaafu alikabidhi rasmi kadi ya CCM kwa Mbunge wa Mbeya Joseph...
  20. M

    Kodi ya buku kwenye laini narudi s.l.p!

    Maisha yanazidi kuwa magumu jamani sijui walalahoi tukimbilie wapi. Kodi kila mahali. Vitu kupanda bei je haya ni maisha bora ua bora maisha wakuu mimi kodi ikianza mkinikosa kwenye line yangu nitafuteni kwa sanduku la posta hapo chini mageuzi1992 s.l.p 1992 jamii forum
Back
Top Bottom