Search results

  1. S

    Saloon za kike Kichaka cha umbea???

    kumbe "sijafulia" na "pididy" ni mtu mmoja? Sasa yanini basi ujibu kwa jina tofauti na uliloanzishia thread? Kuwa shujaa upambane na ukweli badala ya kujificha kwenye majina elfu - kwani unamwogopa nani hapa au mkweo huwa anaingia humu ..hutaki akuone ulivyo? Inaelekea unapenda mipasho kama...
  2. S

    Saloon za kike Kichaka cha umbea???

    Wewe Pdidy kama mkeo ana hulka ya umbeya usijumlishe wanawake wote wanaoenda salon.
  3. S

    ameniacha nilinde watoto

    Duh! Ina maana wewe huwa hutoki hata kwenda kazini/mihangaikoni? Ukiwa hauko watoto hao hubaki na nani kwani? Kama ukiwa haupo, wana mtu wa kuwaangalia... basi una sababu ya kumtolea nje . Mwambie awajibike kwa kulea mimba si kazi, kazi ni kulea mwana!
  4. S

    Udini wainyemelea CCM?

    Na hao mababu zako weye waliojiunga na TANU - ikawaje baada ya hapo?
  5. S

    Mke mwema hutoka kwa BWANA?

    Huyo mke mwema mpaka atoke kwa bwana yahitaji mchakato. Je wewe mwenyewe u mwema kiasi gani? Ukiwa mbaya ujue kuna uwezekano mkubwa kupata mke asiye mwema maana birds of the same feathers flock together. Ikiwa wewe mwenyewe kutwa kuchwa unashinda grocery ukilewa, unatembelea mitaa iliyo tata...
  6. S

    Don't marry a lazy man!

    wanaume mpooo!!
  7. S

    Kiafya, Kamasi zitoleweje?

    Kwani utotoni mama alikufundisha ufanyeje wajemeni?
  8. S

    Shining on you all....

    Asante nyote kwa ukaribisho... Pakajimmy..mbona wantisha mie! Hizo sheria zote!
  9. S

    Shining on you all....

    Thats Silvershadow ndani ya nyumba!............. Hamjambo nyote?
Back
Top Bottom