Search results

  1. Simbajr

    TRA Buzuruga ondoeni haraka sana walinzi hawa wa SUMA JKT

    Fuata utaratibu wewe... Nchi ina chelewa kwa sababu ya watu kama nyinyi! Kwahyo kama ni boss wao ndio taratibu zikiukwe?? Acheni undezi hao walinzi wame pewa taratibu wana zisimamia na wanao toa izo taratibu ni hao unao ita maboss... Bunch of idiots
  2. Simbajr

    Tunatoa mkopo wa viwanja na mashamba

    Ghalama ya viwanja ina range kiasi gani.. Madale na goba?
  3. Simbajr

    Tunatoa mkopo wa viwanja na mashamba

    Bei bila riba & plus riba
  4. Simbajr

    Mke wangu anapenda kuwasiliana na Ex wake

    Check DNA kwanza, hao watoto kadhaa wote wako?
  5. Simbajr

    Naogopa kulala ndani peke yangu, nahisi kuna mtu simuoni

    Subilia hadi aingie ndani utu hadithie .. Sasa ivi si ana chungulia tu uyo popobawa..
  6. Simbajr

    Sheria ya kuwakata 15% wadaiwa bodi ya mikopo elimu yasainiwa

    Uchumi wa taifa letu uta paa sasa
  7. Simbajr

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    #KTBFFH
  8. Simbajr

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Uvumilivu mnao?
  9. Simbajr

    Ivan Ssemwanga anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato?

    Ukijua info zake zitakusaidia nini wewe Acha ufukara wa mawazo tafuta mkate wako
  10. Simbajr

    Ni lini Vyeo vya Kijeshi (Collar Insignia) vimebadilishwa hapa nchini?

    Ulitaka uletewe taarifa kwa hawara wako kua vyeo vya jeshi la wananchi wa Tanzania limefanya Mabadiliko ya kitu hiki au kile? Kukosa kazi nako ni kazi.. We unadhani Shirika la Mkonge lile sio? Upewe taarifa za kijeshi kisa una bundle la mwezi si et?
  11. Simbajr

    Edward Lowassa uso kwa Uso na Rais Magufuli kwenye Jubilei ya ndoa ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa

    Dr Salim, Warioba n Edward Lowassa #BodyLanguage hai support the uhalisia.. Forced?
  12. Simbajr

    MO Dewji: Nataka kuwekeza bilioni 20 Simba

    Mo kama mwanachama ana wazo zuri... Ila kama mwekezaji anaingilia mchakato wa kumpata mwekezaji kwa kuweka pressure kwa viongozi na wanachama kwa kutumia current situation ya tim ya Simba... Angetoa wazo aka kaa pembeni ili kama wazo likipita wawekezaji wengine wajitokeze na bid zao mna...
  13. Simbajr

    Sheria inasemaje kwa mtu alie dhurumiwa kwenye Michezo ya Bahati nasibu (Kamari/betting)

    He he he inabidi aanze kuvunja bodi ya Bahati nasibu ya taifa kwanza
  14. Simbajr

    Sweet raggae and roots raggae special thread

    Wadau mmekwama? Hamna mpya
  15. Simbajr

    Wanawake walia Magufuli ‘kuwabania’ katika uteuzi

    Mashirika yanayotetea haki za wanawake na usawa wa kijinsi nchini yamesema uteuzi wa nafasi muhimu za uongozi serikalini unaofanywa na Rais John Magufuli, hauzingatii hali halisi ya uwakilishi wa kijinsia. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam kwa niaba ya mashirika hayo, Mkurugenzi wa Mtandao...
Back
Top Bottom