Search results

  1. M

    Nashangazwa na kusikitishwa na wanaoshabikia ziara ya Lissu Uingereza

    Hahahaha unamaanisha tutashuhudia Lissu kuwa raisi wa tandale uzuri,ila huu was JMT atausikia kwenye bomba tu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Viongozi wa CCM Kyela wakomaa kupinga ushirika

    Tabu yako unahisi maendeleo ni LAMI TU na inavyoonyesha wewe haupo kyela na unahadithiwa tu maana kuna mwenzio anaongelea maji ya DANIDA lakini kwa ufahamu wangu hata hayo maji ya danida wewe hujawahi yaona na maji hayo yalitoweka kipindi kasyupa anamaliza kipindi chake cha ubunge.
  3. M

    Viongozi wa CCM Kyela wakomaa kupinga ushirika

    Utakuwa umealilishwa na wapinga ushirika na wewe sio mkulima wa kokoa na hata wazazi wako hawana shamba la kokoa zaidi ya kuona kwa watu,njoo kwetu teneende ,ipinda na kwingineko kuliko na kokoa nyingi uone mabadiliko ya bei
  4. M

    Viongozi wa CCM Kyela wakomaa kupinga ushirika

    Kikolo usafi ulitaka nao mbunge aende kuwafanyia?mango tree tatizo lake linajulikana tuache unafiki,Mzee mwambalaswa anajua mango tree kwa nn imekufa na mewenzie Fulton sasa hapo mbunge anaingiaje hapo
  5. M

    Viongozi wa CCM Kyela wakomaa kupinga ushirika

    Kama huoni maendeleo ya Kyela basi wewe ni mgeni Kyela,unaweza ukawa umeandika vitu vingi kuhusu Kyela na utakuwa umesimuliwa halafu ukaandika
  6. M

    Viongozi wa CCM Kyela wakomaa kupinga ushirika

    Utakuwa na chuki binafsi na.Mwakyembe wewe,Kyela maendeleo ni makubwa mno katika kipindi ambacho Mwakyembe in mbunge
  7. M

    Viongozi wa CCM Kyela wakomaa kupinga ushirika

    Makampuni ya kokoa Kyela yamewanyonya sana wakulima,kwa kipindi kifupi sana cha utaratibu wa stakabadhi ghalani bei imepanda na hakika itazidi kupanda mkuu,kama changamoto lazima ziwepo lkn sio kwa kupinga ushirika ni kurekebisha tu hizo changamoto
  8. M

    Viongozi wa CCM Kyela wakomaa kupinga ushirika

    Ikiwa ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi inazungumzia kuhusu kuanzisha na kuimarisha Ushirika lakini kwa wilaya ya Kyela ni tofauti kwani viongozi Wa CCM Kyela akiwemo Mwenyekiti, Katibu Mwenezi wa Wilaya na Mwenyekiti Halmashauri ya wilaya ya kyela ni miongoni mwa viongozi wanaopinga...
  9. M

    Hakuna msamaha wa Rais wa kifungo cha nje, Magereza jitafakarini

    Kabla ya kuleta huu upuuzi muwe mnasoma kwanza na kuelewa ndipo mtuletee hapa nasema mtoa post soma vzr hiyo barua inajieleza vzr kuliko kuja hapa kutudanganya tu
  10. M

    CHADEMA kuwashitaki Polisi kwa kuwanyima dhamana wafuasi wao 25 akiwemo mbunge Heche

    Naona unajitoa upofu au na wewe wa kanda Ile
  11. M

    ‪KISUTU, DAR: Mahakama yawapa dhamana Viongozi 6 wa CHADEMA bila kuwepo mahakamani. Kutoka gerezani Aprili 3, 2018...

    Napita hapa mahakama ya kisutu watu waliopo nje ya geti waliozuiwa hata kumi na tano hawafiki ila huku nyuma ya keyboard tunaaminishwa watu ni wengi balaa
  12. M

    Watawala walipasa kumkumbatia Mbowe pengine kuliko hata watu wa chama chake

    Wajinga sana hao vijana Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
  13. M

    Watawala walipasa kumkumbatia Mbowe pengine kuliko hata watu wa chama chake

    Leo nimepita maeneo ya gereza la segerea watu kule hata hawajui km mbowe yupo humo kila mtu snaendelea na shughuli zake, kwa mbowe kabaki lema anatisha watu huku kasikia anatafutwa kaanza kuomba msaada twiter wengine waliobaki ni wale waandamanaji waliopo nyuma ya keyboard Sent from my TECNO...
  14. M

    Joseph Selasini: Mange anasema kila mtu ataanza maandamano nyumbani kwake. Sisi tunaelekea Kisutu

    Kwa nn usingeanza wewe baada ya kuona petrol imemwagwa usiwadanganye vijana nyie wanasiasa ni wachumia tumbo tu
  15. M

    Kwenye hili la Sugu, Mbeya inakwenda kuleta mageuzi na taifa zima litaamshwa!

    Upo nyuma ya keyboard unazungumzia mbeya kutaamka, sahau vijana siku hizi wanajitambua, kuropoka aropoke mwenyewe halafu mbeya kuripuke kuna mtu kamtuma kutukana, muache anyee debe kidogo
  16. M

    Mapingamizi yatawala Kinondoni, Mwenyekiti wa chama amuwekea pingamizi mgombea wake

    Mwalimu hafai kinondoni, huyu jamaa namjua tangu anasoma ifm hafai na alikuwa kiongozi wa hovyo pale ifm haijawahi tokea
  17. M

    Waziri wa Habari, Mwakyembe (akiwa Star TV): Serikali haiteki wananchi wake

    Shida ya watu hasa upinzani mnataka kusikia mnachowaza nyie na mkatengeneza majibu mh mwakyembe yupo sahihi kabisa na majibu yake yamejitoshereza kama kuna kitu mnaona mnaonewa si kasema muende mahakamani sasa mnashindwa nn zaodi mnaleta porojo na ndio maana kasema serikali haiogopi kukosolewa...
Back
Top Bottom