Search results

  1. mwalimumzalendo1

    The Open University of Tanzania

    Umenisaidia sana pa kuanzia Asante mungu akubaliki japo sio mie niliouliza
  2. mwalimumzalendo1

    Zanzibar hero atapigwa 4 hii Leo

    Daah wangeshinda ningeachika Leo
  3. mwalimumzalendo1

    Andika kitu kinachokufilisi pesa yako lakini aukiachi!

    Kuvaa nguo zur Viatu vizur Yaani hata laki ntanunua tuu Daah nataman kuacha ila Mmmh
  4. mwalimumzalendo1

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wasukuma mmeua kwenu? Rudini kwenu nakapambane na ndoa yangu Njoo geita nije ulanga Au malinyi Idara sec
  5. mwalimumzalendo1

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo geita nije ulanga Au malinyi Idara sec Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mwalimumzalendo1

    Nateseka jamani mimi Sijui nimekosea wapi

    Point Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mwalimumzalendo1

    Ewe mwanamke, fanya haya kuimarisha mahusiano yako

    Ujumbe murua ila baadhi wanawake wana midomo michafu jamaan Utakuta anamjibu mumewe km cjui nan yake
  8. mwalimumzalendo1

    Mkichat kila wakati "Niambie"

    Daah km nmesemwa mie Nalipenda hilo neno
  9. mwalimumzalendo1

    Mwanaume rijali ni yule anayemwalika mchepuko wake katika harusi yake

    Hapo hilo timbwil atatamani kufaa
  10. mwalimumzalendo1

    Taja kitu kimoja kizuri ambacho ex wako alikuwanacho

    Kubembelezwa hata km kosa ni langu
  11. mwalimumzalendo1

    Utafanyaje? Unaamka unakuta dunia nzima uko peke yako?

    Nitaendelea kulala maana usingizi utakuwa hajaniisha
  12. mwalimumzalendo1

    Ni chakula gani hupendi, mimi sipendi ndizi za kupika

    Sipend hata kuiona kabegi
  13. mwalimumzalendo1

    Vioja vya watoto wadogo (0-5years), tuambie vioja vya mwanao

    Hahah mwanangu ye ana miez 10 ila vituko balaa mchana kutwa hatembei wa hasimami dede ila jua likizama tu anaanza kunyanyua mguu na vicheko vya utoto nyumba nzima
  14. mwalimumzalendo1

    Ukishindwa kupata njia za kupata pesa ukiwa umelala ujue utafanya kazi mpaka unakufa

    Khaaa niache kubanjuka niweze helaa nooo pesa ntatafuta mchana
Back
Top Bottom