Search results

  1. MARIJANI

    channel mpya dar es salaam ya channel 1(viasat1) yaanza vipindi rasmi jioni hii

    Naona imeanza kitofauti,, Wakati wengine huanza na miziki mfululizo hii ni movies... Asante kwa taarifa....
  2. MARIJANI

    walimu tuache utan jaman

    tutapata misonge yakutosha ila sasa huko kwenye ufanisi......
  3. MARIJANI

    Hati ya mashitaka ya Mhe. Lema baada ya mengine kutupiliwa.

    Hii ni criminal case namba ngapi jamani...
  4. MARIJANI

    Nicholas E. Mgaya amjibu JK

    nadhani sasa tuna pakuanzia hawa wamejinga kama nilivyotarajia.
  5. MARIJANI

    Dr.Slaa ajibu hoja mbalimbali na kueleza Sera za CHADEMA hapa JF

    Mheshmiwa Dr. Slaa swali langu, naomba kujua washirika wenu ktk siasa za tanzania kwa upande wa ZNZ maana pamoja na kukubalika huku bara vilivyo hali ni tofauti kwa upande wa visiwani. Na hata ktk safu yenu ya ungozi sio kama kuna sura za kuonyesha muungano naomba uniweke sawa kuhusia na hili...
  6. MARIJANI

    Matukio Tisa yaliyomdhalilisha Rais Kikwete 2006-2010

    Ni full time ipi unayomaanisha? kama hujui kuwa alizidiwa AR basi usiseme full time, na kuhusu kuzidiwa mara kwa mara nadhani umethibitisha matukio ww mwenyewe. Hebu nipe Raisi mwingine aliyepatwa na masahibu kama hayo ktk historia ya Tz na maraisi watatu waliomtangulia.
  7. MARIJANI

    Matukio Tisa yaliyomdhalilisha Rais Kikwete 2006-2010

    Mkuu hivyo ndivyo ilivyo kujiuzulu hua kunamuondolea heshma fulani mteuzi kama huna khabari ndio maana wakati mwingine mteuzi huwa anakataa maombi ya kujiuzulu ili asipatwe na aibu hiyo. Hivi kama JK angekubali maombi yote ya waliotaka kujiuzulu leo hii wangekua wamemuabisha wangapi? Kujiuzulu...
  8. MARIJANI

    Mama Maria Ikulu Leo - No Comment!

    Absolutely right.!!
  9. MARIJANI

    Mwaweza kuninukuu.. You can quote me!

    no haya ni maono!!!!!!!!! Mkuuu m.m
  10. MARIJANI

    Neno fasaha ni lipi kati ya hairisha na ahirisha?

    Sina uhakika wa kutosha lakini nadhani neno sahihi ni "ahirisha" kama kuna wadadavuzi wa lugha nadhani watatuweka sawa maana naona kama bado tunaongea kwa kuhisia tuu.
  11. MARIJANI

    Sheria mpya ya madini wadau mpooo?

    Tanzania imepoteza rasilimali ya madini nyingi na mapato mengi huku umasikini wa wananchi ukiongezeka. Sasa sheria Mpya ya madini inakuja Bungeni tarehe 19 na 20 April 2010 kwa hati ya dharura ambayo wabunge wanatakiwa kujadili na kupitisha siku hiyo hiyo! Tunauliza, kwanini hati ya Dharura bila...
  12. MARIJANI

    Kikwete to announce stimulus for economy

    Naweza sema tunaongozwa na NSYUKA hawa watu hawana tofauti na pepo NSYUKA yaani mtu alieinadi kwa nguvu na kuitetea pale bungeni huku akicheka kumbe alikua anatucheka sisi wadanganyika hii ni hatari. Sasa tushamjua lakini je wote tunaona? au wengine ndo mimacho vidondaa? Lakini kama huyu mtetezi...
  13. MARIJANI

    Fimbo aitumiayo Spika ina maana gani?

    Heshma kivipi mkuu? sema ni utaratibu wa pekee labda nao bado sio maana ni kitu cha kuiga tweke wazi acha porojo maana hazijengi kitu tueleze uhusiano wa siwa na hoja bungeni au siwa na spika. Au siwa na miongozo kama hamna tukubali tu kuwa siwa ni alama ya kuiga na haina msaada wowote wala...
  14. MARIJANI

    Fimbo aitumiayo Spika ina maana gani?

    Kaka unaonekana mfurutwa kama huna mahaba ya dhati na ujuha unaolifunika si tu bunge bali hata hao wanaoliongoza ila ni vema na haki yako ya kikatiba kama mnavyodai kwa lugha zenu kaka. Ila ukweli ni kwamba fimbo yenu hiyo haina maana yoyote. Kama ipo weka hadharani sio porojo tuu. Ingekua...
  15. MARIJANI

    Mke anakwepa sana tendo la ndoa, nini kifanyike?

    Nadhani amweke wazi na aongee kwa kuonyesha hisia zake zote bila hata ya lepe la maskhara ataeleweka pia ataelewa mbivu na mbichi kupiga chini sio solution nina mashaka na wanaoshauri namna hii hawafikirii kua tayari jamaa ana watoto wawili ndani ya miaka 4, akipiga chini atakua stressed zaidi...
  16. MARIJANI

    Jinsi nilivyowamiss

    SASA SAFI. Wadau mimi japo mgeni humu ndani lakini nimegundua ukishaizoea hii Forum basi ikipita siku moja unakua kama umekula chakula kikavu halafu ukakosa maji. Hata ukilala unahisi kunakitu kimekaa vibaya ukija tahamaki unagundua hujapita ndani ya Forum. MTIHANI.
  17. MARIJANI

    Selelii aandaa mkutano mkubwa kumpongeza Mpendazoe!

    Nimegundua hili KAPU linloitwa CCM linavuja tena si kwa mtindo wa ndondo bali hii ni chururu. Na sasa ipo wazi kwa nini CCJ hili kapu jipya linakutana na vikwazo vingi " it's amazing things" kumbe kweli wafuasi wa KAPU hili jipya ni vigogo, kwa post hii sina utata tena. Kaka ZYANSIKU tunasubiri...
  18. MARIJANI

    Goli ni Goli; la Mpendazoe nalo Goli!

    Habari zenu wakuu. Wasi wasi wangu nipale wanaposema siasa ni mchezo mchafu halafu ukachezwa na familia nzima, sisi wachumia juani tutapona hapa. Nadhani siku moja utakuta chama kuanzia mwenyekiti hadi wajumbe majina yanaishia na MARIJANI halafu kura zinapatikana kama kawa maana wale mafisadi...
Back
Top Bottom