Search results

  1. kizaizai

    Nipe jina la hii movie

    Hii ni screenshot.
  2. kizaizai

    Program ya Kurudisha Kila Kitu Baada ya Kubadilisha Window

    Nilikuwa narudisha window 7 kutoka window 10 nikajikuta nafuta kila kitu. Nimepata program ya Disk drill lakini wamenipa limitation ya GB za kurudisha zilizobaki inabidi nilipie. Msaada wenu wana JF.
  3. kizaizai

    Hospitali nzuri ya vipimo/tiba ya Moyo

    Mwenye kufahamu anisaidie. Kama itawezekana na gharama zake. Natanguliza shukrani.
  4. kizaizai

    Kati ya hawa nani ni hatari zaidi.

    Rick Grimes – Walking Dead Quinn – Into the Badlands Ragnar - Vikings Jon Snow – Game of Thrones Damon Salvatore – The Vampire Diaries Spartacus – Spartacus
  5. kizaizai

    Tour de France

    Sikuwahi fuatilia haya mashindano. Nashangaa nimeyapenda kuangalia hasa yakiwa Live. Mbali na raha ya mashindao yenyewe, France ni Green nchi nzima, sijaona matuta barabarani maana wanapita kwenye milima mikali zaidi ya Kitonga lakini hakuna matuta barabarani. Bicycle inakimbizwa hadi 80Km/h.
  6. kizaizai

    Tanzania's president says "even cows" disapprove of homosexuality as crackdown continues

    Read people's comments on homosexuality and President Magufuli's statements. ===== Authorities in Tanzania have warned that gay rights activists will be arrested and expelled from the East African country as the country's president signalled a crackdown on homosexuality. Tanzania's Home...
  7. kizaizai

    Kwa wapenzi wa Western Movie nawaletea "Brimstone"

    Achana na movie za superhero kidogo, jaribu kucheki hii western movie utaipenda.
  8. kizaizai

    Halotel na 100mb za usiku

    Ukijiunga kwa tsh 500 wanakupa 500mb na 100mb zakutumia usiku. Hapo ndio sielewi usiku wa saa ngapi na wala huwezi angalia salio. Nimejiunga saa 5 usiku, naangalia salio wanaanza kukata kwenye 500mb. Hizo 100mb zinatumika muda gani au ndio wanatuibia?
  9. kizaizai

    MB zinakatika balaa

    Kwanini MB za internet zinakimbia hivi, 600MB ndani ya 30 mints zimekata, hakuna download wala update kwenye pc. Nimezima browser zote lakini bado inanipa hadi 2.56Mbps.
  10. kizaizai

    Ushauri: Tahadhari kwa wakulima wa miti

    Nimenusika kuunguliwa na shamba langu la miti la Ekari 10 lenye miti ya Pines ya miaka 3. Kilichonisaidi nilitengeneza Fireline. Moto ulitoka mashamba ya jirani ulipofika kwangu ukashindwa kuingia shambani. Jumla ya ekari 150 zimetekea kwa moto. Kwawakulima Fireline ni lazima.
  11. kizaizai

    Msaad Window 10 App Store

    App store imenigomea na kuniandikia hivi "The error code is 0x80072EFD, in case you need it". Nimejaribu kulitatua nimeshindwa. Msaada kwa anaefahamu.
  12. kizaizai

    Msaada: Mtoto na Allergy ya maziwa

    Mtoto wa miaka miwili na nusu anatatizo la allergy ya protein hasa maziwa, mwili unavimba na matokeo yake anajikuna na kusababisha vidonda. Madaktari wameshaonwa lakini bado tatizo lipo.
  13. kizaizai

    Iringa Mjini Atmospheric temperature ni 16c

    Leo hapa mjini tumeamka na baridi ya 16 degree of centigrade, sijui Mafinga na Njombe hali itakuwaje.
  14. kizaizai

    Remix - Ney Muziki Gani, "Kisiasa Zaidi"

    Chorus DIAMOND Hivi nyie machadema, mnaeneza siasa gani? Mara nguvu ya uma, mara operation sangra sa ndo siasa gani NEY Hii ni CHADEMA Waasisi wa Mabadiliko Tushachoshwa kutwa ni Rushwa safisheni pale Magogoni DIAMOND Hata babu vijicent aliniambia Mwananchi anahitaji kupumbazwa Takrima...
  15. kizaizai

    Activation Code for Panda Antivirus Pro 2014

    Heshima kwenu wana JF, mwenye hizo activation codes pls anisaidie. Nimetafuta kwenye mtandao nimeshindwa kuzipata.
  16. kizaizai

    Condom Muhimu

    Condoms are actually great for the vagina Condoms are actually great for the vagina (Thinkstock photos/Getty Images) Apart from preventing unwanted pregnancies and spread of sexually transmitted diseases, condoms may help good bacteria in the vagina flourish, a new study has found...
  17. kizaizai

    Kichaka "BUSH" alipokuwa Meru, Feb' 2008

  18. kizaizai

    File zote kwenye desk top zimebadilika na kuwa Adobe reader.

    Nilikuwa nafungua file moja kupitia open with - choose default program- other programs. Sasa nilipochagua Adobe reader baadhi ya short cuts kama ant virus, browser na mengine mengi yamebadilika na kuwa Adobe. Naomba msaada wa kuyarudisha kama yalivyo kuwa.
  19. kizaizai

    Bachelor: Mbinu za kuosha vyombo.

    Mimi kupika siyo tatizo, kwani nifundi kupita wanaweke wengi tu, tatizo nikuosha vyombo. Mbinu gani nitumie ili vyombo vilivyotumika kupikia na kulia chakula visikae zaidi ya masaa 5 bila kuoshwa.
Back
Top Bottom