During the UNSC's meeting on women and peace and security, Pramila Patten reported that wartime sexual violence had increased by 50% in 2023 compared to the previous year.
Chronically underreported crime
The UN verified 3,688 cases of rape and other sexual violence committed in war in 2023...
Siku ya Lugha ya Kiingereza Duniani (World English Language Day) ni siku ambayo ilianzishwa na UNESCO kwa lengo la kusherehekea umuhimu wa lugha ya Kiingereza kama mojawapo ya lugha za kimataifa zinazotumiwa kote ulimwenguni.
Siku hii hutambuliwa kila mwaka tarehe 23 Aprili, ambayo pia ni...
Taasisi ya kimataifa ya utafiti wa masuala ya amani na usalama SIPRI, imesema matumizi ya kijeshi kote duniani yameongezeka kwa asilimia 7, ikiwa ni sawa na dola trilioni 2.43 kwa mwaka 2023
Taasisi hiyo ya SIPRI iliyoko mjini Stockholm, Sweden, imesema ongezeko hilo la asilimia 7 ni kubwa...
Ecuadoreans have begun voting in a referendum on proposed tougher measures to fight gang-related crime as the country faces rising violence that has seen two mayors killed in a week.
The majority of 11 questions posed to voters on Sunday focus on tightening security measures. Proposals include...
Waswahili wanasema Mtu akipata Mtoto kuna namna hujikuta akibadilika na kugundua baadhi ya Mambo ambayo hapo awali hakuwahi kuyajua wala kuambiwa na waliomtangulia kwenye Malezi
Mtu mmoja aliniambia ukipata Mtoto/Watoto Maisha yako yanakuwa na Hofu mara kwa mara ukiwaza kama Ukifa mapema Maisha...
Baada ya misukosuko ya Serikali na Hospitali binafsi kwenye Huduma za Afya kwa Wanachama wa Bima ya Taifa ya NHIF kuna kama utaratibu umeibuka wa kunyimwa baadhi ya Dawa kwa kigezo kwamba hazipatikani kwenye Bima
Sasa Me natamani kufahamu Hospitali wanaponiambia Dawa fulani siwezi kuipata kwa...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Said Othman Yakub kuwa Balozi wa Tanzania nchini Comoro. Balozi Yakub anachukua nafasi ya Balozi Pereira Ame Silima ambaye amemaliza muda wake.
Uteuzi huu unaanza mara moja.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linamshikilia mtoto wa umri wa miaka (12) kwa tuhuma za kumlawiti mwanafunzi wa darasa la nne (10) katika shule moja iliyopo Makambako mkoani Njombe.
Hayo yamebainishwa leo Aprili 13, 2024 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Mahamoud Banga zungumza na waandishi wa...
Takriban watu milioni 55 wanakabiliwa na kitisho cha njaa katika kanda ya Afrika Magharibi na Kati kutokana na kupanda kwa bei za vyakula.
Taarifa ya pamoja iliyotolewa na Shirika la Mpango wa Chakula duniani WFP, Shirika la kuhudumia watoto UNICEF na lile la Chakula na Kilimo, imesema kuwa...
Haiti hatimaye imeunda rasmi Baraza tawala la mpito lililopewa jukumu la kujaza pengo la uongozi nchini humo na kurejesha hali ya utulivu kufuatia ghasia zilizozuka za magenge ya kihalifu.
Amri ya kuundwa kwa baraza hilo imetangazwa siku ya Ijumaa kupitia gazeti rasmi la "Le Moniteur", mwezi...
Serikali ya Kijeshi imepiga Maarufu Vyombo vya Habari kuripoti Matukio ya Vyama vya Siasa na Mashirika ya Kiraia baada ya kusitisha Shughuli zote za Kisiasa Nchini humo hadi pale itakapoamuriwa tena ikidaiwa ni kwa ajili ya kulinda Utulivu wa Umma
=========
Mali -- In a deepening crackdown...
Kila Mwaka, Binadamu wanazalisha kati ya tani bilioni 2.1 na 2.3 za taka ngumu.
Takriban Watu bilioni 2.7 hawapati Huduma ya ukusanyaji taka, ambapo bilioni 2 kati yao wanaishi maeneo ya Vijijini.
Bila hatua za dharura, uzalishaji wa taka ngumu kila Mwaka utafikia tani bilioni 3.8 ifikapo...
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch limeitaka Somalia kutupupilia mbali marekebisho ya katiba ambayo yanalenga kupunguza umri wa utu uzima kisheria, likidai kwamba mageuzi hayo yatadhoofisha haki za watoto.
Mabadiliko yaliyopendekezwa na ambayo yatajadiliwa...
Maafisa wa tume ya uchaguzi nchini Afrika Kusini Alhamisi walisema kwamba wamemuondoa rais wa zamani Jacob Zuma kwenye kiny’anganyiro cha uchaguzi wa mwezi Mei, na hivyo kuzua mvutano katika maandalizi ya uchaguzi huo.
Nchi hiyo itafanya uchaguzi mkuu tarehe 29 Mei, uchaguzi ambao unatarajiwa...
Mahakama ya Wilaya Kiteto,
Imemhukumu MAMBE MOHAMED MAMBE, Mwenyekiti wa Kijiji cha Nasetan, Kata ya Engusero, Wilaya ya Kiteto Mkoa wa Manyara.
Mshtakiwa ametiwa hatiani na kuamriwa kwenda Jela miaka minne au kulipa faini ya shilingi 1,000,000/= kwa makosa ya kuomba na kupokea hongo kiasi cha...
Inaelezwa Serikali imetafuta Kampuni kutoka Dubai ili kuipa tenda ya kuendesha Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi Jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ushirikiano wa Umma na Binafsi (PPP), David Kafulila, amesema DART itasaini makubaliano Mwezi ujao na Kampuni ya Emirates National...
Mahakama ya Wilaya ya Mbulu imemhukumu MELKIADI ZAKARIA TLEHEMA aliyekuwa Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Hayloto kata ya Nambris, Wilaya ya Mbulu Mkoa wa Manyara.
Mshtakiwa ametiwa hatiani kwa makosa mawili ambayo ni Ubadhirifu na Matumizi Mabaya ya Madaraka, makosa hayo ni kinyume na kifungu cha...
WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Rais Samia Suluhu Hassan alimsihi kuacha kujibizana na watu mitandaoni na badala yake asimamie falsafa ya R4.
Nape ameyasema hayo leo Machi 27, 2024 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, katika kilele cha...
Ukarabati wa Barabara ya Tegeta A (Kwa Bedui) umeanza baada ya Wananchi kulalamika Ubovu wa Barabara hiyo ambayo imekuwa kero kwa Watumiaji kwa zaidi ya Miezi mitano
Viongozi wetu mpaka tuwashtue kidogo ndio wakumbuke kwamba tumewaajiri
========
Malalamiko ya Awali: KERO - Barabara Tegete A...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba imemhukumu NASWIRU MPENDEKELAKI, Mwalimu wa Shule ya Msingi Kahaazi na mmiliki wa Mpendekelaki stationary.
Mshitakiwa ametiwa hatiani na kuamriwa alipe faini ya shilingi 500,000/= au kwenda jela miaka 2 kwa kuomba na kupokea hongo ya shilingi 300,000/= kinyume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.